Uswahiba wa Prof. Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini tena?

Ila wewe unayechekea na kishadadia unyanganyi wa vitonetone vya wanyonge utabarikiwa, au vipi?!!!

Huku unabariki pesa za wizi ulizochangiwa na singasinga mwenye puto tumboni uliyemfunga! Pamoja na mnazodokoa serikalini kwa kisingizio cha chama dola.
 
Ni dhambi kubwa kuchangisha 200 za watu maskini halafu makamu mwenyekiti unanunua PRADO la Tsh milioni 160 wakati huohuo wa uchangishaji.
Hakuna dhambi yoyote na hata baadhi ya viongozi wetu huku hufanya hivyo.Waamini tunachangishwa then Mchungaji anaenda kununua suti na Gari kali la kuenezea injili.
 
Uswahiba wa Prof. Anna Tibaijuka, Maaskofu na Tundu Lissu ulianza lini? Usafi wao ulianza lini? Kipi kimewaunganisha na Lissu kuwa kitu kimoja tena?

View: https://youtube.com/shorts/lFQ95FpGu9k?si=jRhZ9lmI9hgWrxTL

Alichokuwa akikiongoe Lissu haukuwa uadui personal bali alikuwa akiweka wazi mambo yaliyotokea, what's wrong with that unless kwenu nyie chawa ambapo huwa mkiambiwa ukweli mnachukulia kila jambo personal wakati ni process tu za kunyoosha yale yasiyo sawa. Personally they've never been enemies.
Vyombo vya ulinzi na usalama vina kila sababu ya kuibua jinai hata za zamani unless kama vinaogopa kuwa kuna mabosi wao ambao bado wako ndani ya mfumo nao wataguswa, kuhusu kuwa mtu aliyewahi kushukiwa hata kama hakuwa officially charged ila baadaye akarudi kwenye haki kama alivyofanya Polepole we say better late than never.
Imagine pamoja na yote hayo hauzungumzii maovu yanayotokea kipindi hiki ambapo watu wanatekwa, wanafirwa na wanauawa huku Samia akiwachamba hao wahanga na familia zao kwa kejeli za kifo ni kifo tu.
 
Wewe jamaa una akili ndogo sana
Ndo maana mnapiga kelele ml 20 za heche na kubariki ufisadi unaoibuliwa Kila siku na CAG
Nyie watu mtalaaniwa na vizazi vyenu haki nawapia

Huyo Kavulata, hakika ni nyumba ya shetani. Hakuna wakati alipowahi kuwaza , kunena au kutenda mema. Wakati wote huwaza na kufurahia uovu!! Na kwenye hilo kundi, kapo na kale kanakojiita Dr wa Manesi. Hao, ni aheri hata Tlaatlaah, mara chache sana anarudiwa na akili, unaweza kuona ameandika jambo jema, lakini hawa wawili, bila shaka wana mkataba wa kudumu na shetani. Hakika, kwa sababu Mungu, ni Mungu wa haki, na kwa sababu ya wao kufurahia binadamu wenzao kuuawa, kutekwa na kudhulumiwa haki, laana itatembea juu yao na vizazi vyao ili wajue kuwa shetani wanayemtegemea, siku zote lengo lake ni kumwangamiza mwanadamu.
 
Kwani wewe kuwa chawa wa samia na Abdul umeanza lini?
Lini umesikia Lissu amewaomba Tibaijuka na maaskofu kwa hotuba yake ile bungeni? Kipi kimewafanya wawe marafiki tena bila Lissu kuungama dhambi zake? Jibu kaka tu usirukeruke. Kama huna jibu sema hivyo tu.

Unataka kusema Samia ndiye kaja kufuta ufisadi wa Tibaijuka na maaskofu na mapadre, au Samia ndiye kawafanya Lissu awafutie ufisadi wao?

Unajua Kikwete ndiye kawateua Tibaijuka na Samia, inawezekana Tiba na Samia wana ugomvi wao wa pembeni sisi hatujui. Katika hali ya kawaida Tiba ndiye alipaswa kufurahia mwanamke kuwa Rais, lakini mambo ni kinyume chake, kuna nini?
 
Alichokuwa akikiongoe Lissu haukuwa uadui personal bali alikuwa akiweka wazi mambo yaliyotokea, what's wrong with that unless kwenu nyie chawa ambapo huwa mkiambiwa ukweli mnachukulia kila jambo personal wakati ni process tu za kunyoosha yale yasiyo sawa. Personally they've never been enemies.
Vyombo vya ulinzi na usalama vina kila sababu ya kuibua jinai hata za zamani unless kama vinaogopa kuwa kuna mabosi wao ambao bado wako ndani ya mfumo nao wataguswa, kuhusu kuwa mtu aliyewahi kushukiwa hata kama hakuwa officially charged ila baadaye akarudi kwenye haki kama alivyofanya Polepole we say better late than never.
Imagine pamoja na yote hayo hauzungumzii maovu yanayotokea kipindi hiki ambapo watu wanatekwa, wanafirwa na wanauawa huku Samia akiwachamba hao wahanga na familia zao kwa kejeli za kifo ni kifo tu.
Jinai haifutwi kwa kurudi kwenye mstari. Lissu alitaka wawajibishwe kwa kuanza na Waziri Mkuu wao, maana yake ugomvi ulikuwa mkubwa sana kati yao na Lissu.
 
Ila wewe unayechekea na kishadadia unyanganyi wa vitonetone vya wanyonge utabarikiwa, au vipi?!!!
Sikiliza wewe kenge kati ya watu wanachangia tone tone hakuna anayelazimishwa wanatoa kwa mapenzi Yao na chama chao wenyewe. Kama unawapenda hao wanyonge mbona hukemei wanyonge wanaotyoa kwenye makanisa ya kiroho?
Mwamposa alitangaza sadaka ya jimalize pale kawe watu walitoa mpaka shilingi ya mwisho na kutembea kwa miguu mbona hatujasikia ukibinua makalio na kuwasemea?
Unataka kusema Yale matrilioni ya CAG siyo ya wanyonge ila tone tone ndo za wanyonge?
Si yule mwenye kichwa kama boga alisema tone tone ni kwa akili ya kununulia ebola? Sasa hizo anazovhukua heche ni zipi?
 
Jibu ni rahisi tu mtoa mada; Imani, jinsi na ukanda wa Samia baaasi. Ni hivyo tu ndo hawavipendi na ndo maana wameungana kwa sababu hizo.
Hapana sio kweli, Hii agenda inatumiwa na waislamu na Samia kutugawa kwa Maslahi yake na familia yake.
 
Sikiliza wewe kenge kati ya watu wanachangia tone tone hakuna anayelazimishwa wanatoa kwa mapenzi Yao na chama chao wenyewe. Kama unawapenda hao wanyonge mbona hukemei wanyonge wanaotyoa kwenye makanisa ya kiroho?
Mwamposa alitangaza sadaka ya jimalize pale kawe watu walitoa mpaka shilingi ya mwisho na kutembea kwa miguu mbona hatujasikia ukibinua makalio na kuwasemea?
Unataka kusema Yale matrilioni ya CAG siyo ya wanyonge ila tone tone ndo za wanyonge?
Si yule mwenye kichwa kama boga alisema tone tone ni kwa akili ya kununulia ebola? Sasa hizo anazovhukua heche ni zipi?
Nikitaka kujibu, tena kwa kina tu, lakini nilipogundua kuwa kinachoongea ni kinyeo chako (sijui umepata wapi mafunzo ya kutumia kinyeo kuongea) na si kichwa basi nimekupotezea mazima.
 
Lini umesikia Lissu amewaomba Tibaijuka na maaskofu kwa hotuba yake ile bungeni? Kipi kimewafanya wawe marafiki tena bila Lissu kuungama dhambi zake? Jibu kaka tu usirukeruke. Kama huna jibu sema hivyo tu.

Unataka kusema Samia ndiye kaja kufuta ufisadi wa Tibaijuka na maaskofu na mapadre, au Samia ndiye kawafanya Lissu awafutie ufisadi wao?

Unajua Kikwete ndiye kawateua Tibaijuka na Samia, inawezekana Tiba na Samia wana ugomvi wao wa pembeni sisi hatujui. Katika hali ya kawaida Tiba ndiye alipaswa kufurahia mwanamke kuwa Rais, lakini mambo ni kinyume chake, kuna nini?
sitokosea nikisema wewe una akili fupi mno....nitajie hizo dhambi za lissu na huo ufisadi wake ili twende sawa......halafu bado unaendelea kujionyesha haupo sawa kifikra eti Tibaijuka asikosoe maovu ya serikali eti kwasababu Raisi ni mwanamke mwenzie,,mwishoni utasema waislamu wasimkosoe samia kwasababu ni muislamu mwenzao
 
Kuna utafiti uliwahi kuonesha kuwa Kuna watu uwezo wao wa kiakili unakuwa mkubwa kadiri umri wao unavyokuwa mkubwa. Nikiongezea kauli ya Generali Ulimwengu aliyowahi kusema akiwa Nkuruma hall kuwa " Viongozi wetu wanapokuwa madarakani wanakuwa miungu watu (godfathers) ila wakiwa nje wanaanza kujikosoa tena.

Unamkumbuka Mwandishi wa kitabu cha "My Purpose my Life" kilichozinduliwa na kupigiwa chapuo na Profesa mmoja maarufu sana katika Chuo kikongwe?
 
Back
Top Bottom