Kiuhalisia Tanzania imeendelea kuwa ngumu sana! Vitisho na hofu kwa wananchi zimekuwa kubwa sana
Unaogopa kusema kitu kwa hofu ya kutekwa Mungu atusaidie sana tuondoke huku.
Mama Tibaijuka naye kasema ukweli mtupu maana matukio ya namna hii ni lazima tu yatazalisha ugaidi mkubwa sana na hata chuki kali ndani ya nchi
======================
Utekaji bila kukomeshwa utazaa ugaidi. Ni hatari kubwa kwa amani yetu. Mtu akikosea apelekwe polisi na mahakamani. Haki itawale. La sivyo tunacheza na moto utatuangamiza sote. Tujitafakari na Tujisahihishe.
Unaweza kuuliza inanukaje na pengine unadhani ni baada ya kuhifadhiwa muda mrefu kwa utaratibu usio sahihi...kwenye mada hii sina maana hiyo
Damu ya mtu ina harufu yake, harufu ya kushangaza harufu yenye kuvuta kwa namna ya ajabu kabisa...hii ni damu ile ambayo mhusika wake amekatishwa maisha yake kwa namna dhalimu
Wauaji ndio wahanga wakubwa wa hili jambo, damu ya marehemu huwanukia, huwavuta na ili waweze kuwa sawa hutamani kuua tena, nafuu yao ni kupata ile harufu, hawa ndio wale serial killers
Kuua mnyama ni tofauti kabisa na kuua mtu na sababu yake ni moja tu..binadamu ana utashi...
Sasa nilicho na uhakika nacho ni kuwa
1. Akitokea mtu aka sponsor suicide bombers, watajitokeza vijana wengi! Kila mmoja amekata tamaa na haya yanayoendelea.
Kama wapalestina wanavyopenda kujilipua! Wamekata tamaa!