Anne Kansiime anavyotengeneza pesa

Anne Kansiime anavyotengeneza pesa

Kuna ile moja kapewa offer bar....asieee aliagiza vitu vingi......mwe mpaka waiter akamuuliza vyote hivyo....akamjibu wew ndo unalipa....yule mwanamke ni noma...
 
"a man like you with your all stamina. walking around with a toy phone...it is embarrassing!!!"

You are talking to me police for stealing a toy phone? Police will even arrest you for wasting their time ..ahaha
 
Kuna ile moja kapewa offer bar....asieee aliagiza vitu vingi......mwe mpaka waiter akamuuliza vyote hivyo....akamjibu wew ndo unalipa....yule mwanamke ni noma...

Hahaha "Excuse me!! Am taking water because I bought it myself. When someone offers me a drink, I've to improve my standards, so take a note" uwiiiii alivyoagiza sasa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mwanzoni kabisa kwenye ile comedy yake aliyemzingua yule selaa aliyempigia mbinja na kutaka namba
Nilijuaga ni MUHAYA!
 
Huyu dada yuko vizuri. Ila alichoniudhi au walichoniudhi waandaji wa show yake ya kesho kutwa 2 Aug 2014 tu ni kuongeza entrance fee. Ushauri ni kurudisha kile cha 50...
 
Hahaha "Excuse me!! Am taking water because I bought it myself. When someone offers me a drink, I've to improve my standards, so take a note" uwiiiii alivyoagiza sasa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Aliagiaza mpaka mhudumu akabaki mdomo wazii
 
Ana lafudhi ya kihayaa

Kweli kabisa ndo mana nduli Idi Amin Dada alichukua mkoa wa Kagera akasema ni sehemu ya Uganda.....
Sasa naanza kukubali kua Kagera sio na wahaya kwa ujumla sio sehemu ya Tanzania sema ni ubabe wa Julius Nyerere kuchukua ule mkoa!.
 
Hahaha "Excuse me!! Am taking water because I bought it myself. When someone offers me a drink, I've to improve my standards, so take a note" uwiiiii alivyoagiza sasaSent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hahahaaaaaa..........kabisa.........
 
Hahaaa alipopewa nyingine yupo 'at least....!!!'. Aiseee...kansiime is something else

Kuna moja kasingizia kugongwa eti ni atempted so jamaa ilibidi amlipe.na lift juu
 
Mitanzania ni mijinga sana mi inaniudhi sana kwa kupenda kushobokashoboka, acheni shobo bana.
 
Police will even arrest you for wasting their time dah yule bidada ni shida , anamlalamikia jamaa kampotezea mda kaiba simu kumbe toy, mda wote huo angekuwa ameshaiba sana na kutengeneza pesa dah

Hahahahahahaha kuna nyingine kaenda kumpiga mkwara mwanamke anaetembea na mume wake...akaanza kumuuliza kama ana bima yoyote kwanza
 
Hahahahahahaha kuna nyingine kaenda kumpiga mkwara mwanamke anaetembea na mume wake...akaanza kumuuliza kama ana bima yoyote kwanza

Kwikwikwi anavyomtishia sasa kama anampiga na style zake sijui ndo kung fu mwenyew, kavaa na gloves kabisa hahaha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahahahahahaha kuna nyingine kaenda kumpiga mkwara mwanamke anaetembea na mume wake...akaanza kumuuliza kama ana bima yoyote kwanza

Ahaaaha naikumbuka, anamuuliza demu is there any hospital near by where you can get immediate medical attention? Sasa yule demu haelewi kansiime ana maanisha nini akamuelekeza hospital kumbe kansiime alikuwa anataka kumpiga so anauliza kama kuna hospital karib ili akimpasua awez kupata matibabu harak duh hatar sana

Dou you have any health insuarance lika AAR? Halaf anamuuliza have u ever been to martial arts aaah inachekesha sana
 
Back
Top Bottom