Ngoja nizifafute napenda sana comed za huyu dada aisee
If your not right...go left,,
Kuna ile moja kapewa offer bar....asieee aliagiza vitu vingi......mwe mpaka waiter akamuuliza vyote hivyo....akamjibu wew ndo unalipa....yule mwanamke ni noma...
Hahaha "Excuse me!! Am taking water because I bought it myself. When someone offers me a drink, I've to improve my standards, so take a note" uwiiiii alivyoagiza sasa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mwanzoni kabisa kwenye ile comedy yake aliyemzingua yule selaa aliyempigia mbinja na kutaka namba
Nilijuaga ni MUHAYA!
Ana lafudhi ya kihayaa
hahahaaaaaa..........kabisa.........Hahaha "Excuse me!! Am taking water because I bought it myself. When someone offers me a drink, I've to improve my standards, so take a note" uwiiiii alivyoagiza sasaSent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nakumbuka bay one get one free
Hahaaa alipopewa nyingine yupo 'at least....!!!'. Aiseee...kansiime is something else
Police will even arrest you for wasting their time dah yule bidada ni shida , anamlalamikia jamaa kampotezea mda kaiba simu kumbe toy, mda wote huo angekuwa ameshaiba sana na kutengeneza pesa dah
Hahahahahahaha kuna nyingine kaenda kumpiga mkwara mwanamke anaetembea na mume wake...akaanza kumuuliza kama ana bima yoyote kwanza
Hahahahahahaha kuna nyingine kaenda kumpiga mkwara mwanamke anaetembea na mume wake...akaanza kumuuliza kama ana bima yoyote kwanza