Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
yaani hii ndio PREVIEW ya next 5 years itakavyokuwa,Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Mkoani Kilimanjaro, Anne Kilango Malecela amesema kuwa Tanzania inajengwa kwa kasi na kwamba wananchi wanapaswa kuona ukweli wa maendeleo yanayofanywa na Serikali.
Akizungumza Bungeni leo, Malecela amesema: "Kalbla sijasema lolote, naomba niseme ukweli. Tanzania inajengwa, barabara zinajengwa mno. Tujaribu kusema ukweli… watu wengine wanasema kwasababu hawajasafiri kwenda nchi zingine. Mtu anasema hajaenda Kenya, mtu anasema hajaenda Uganda, mtu anasema hajaenda Rwanda wala Burundi… analalamika ooh! Hatujengi! Hapana. Serikali, naomba niseme ukweli, Rais Samia anajenga sana nchi."
Mbunge huyo pia alisisitiza maendeleo kwenye miundombinu ya barabara: "Naomba nizungumze uapande wa barabara, barabara zinajengwa. Watu mnaotoka Dar es Salaam, mimi ni mgeni pale, lakini nimefika Dar es Salaam, ikabidi dereva wangu ashindwe kuendesha gari langu tukaomba dereva mzoefu Dar es Salaam. Dar es Salaam imejengwa mno!"
Inatia hasira kiongoz anasimama halaf anaonge trashMbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Mkoani Kilimanjaro, Anne Kilango Malecela amesema kuwa Tanzania inajengwa kwa kasi na kwamba wananchi wanapaswa kuona ukweli wa maendeleo yanayofanywa na Serikali.
Akizungumza Bungeni leo, Malecela amesema: "Kalbla sijasema lolote, naomba niseme ukweli. Tanzania inajengwa, barabara zinajengwa mno. Tujaribu kusema ukweli… watu wengine wanasema kwasababu hawajasafiri kwenda nchi zingine. Mtu anasema hajaenda Kenya, mtu anasema hajaenda Uganda, mtu anasema hajaenda Rwanda wala Burundi… analalamika ooh! Hatujengi! Hapana. Serikali, naomba niseme ukweli, Rais Samia anajenga sana nchi."
Mbunge huyo pia alisisitiza maendeleo kwenye miundombinu ya barabara: "Naomba nizungumze uapande wa barabara, barabara zinajengwa. Watu mnaotoka Dar es Salaam, mimi ni mgeni pale, lakini nimefika Dar es Salaam, ikabidi dereva wangu ashindwe kuendesha gari langu tukaomba dereva mzoefu Dar es Salaam. Dar es Salaam imejengwa mno!"
Inatia hasira kiongoz anasimama halaf anaonge trash
Anadhani anaongea na kizazi cha 60s? Unafanganya in publick?
Ndugu zetu watalii karibuni Tanzania mjionee maajabu ambapo mtu kushindwa kuendesha gari hata kama barabara ni mbaya anaita maendeleo.Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Mkoani Kilimanjaro, Anne Kilango Malecela amesema kuwa Tanzania inajengwa kwa kasi na kwamba wananchi wanapaswa kuona ukweli wa maendeleo yanayofanywa na Serikali.
Akizungumza Bungeni leo, Malecela amesema: "Kalbla sijasema lolote, naomba niseme ukweli. Tanzania inajengwa, barabara zinajengwa mno. Tujaribu kusema ukweli… watu wengine wanasema kwasababu hawajasafiri kwenda nchi zingine. Mtu anasema hajaenda Kenya, mtu anasema hajaenda Uganda, mtu anasema hajaenda Rwanda wala Burundi… analalamika ooh! Hatujengi! Hapana. Serikali, naomba niseme ukweli, Rais Samia anajenga sana nchi."
Mbunge huyo pia alisisitiza maendeleo kwenye miundombinu ya barabara: "Naomba nizungumze uapande wa barabara, barabara zinajengwa. Watu mnaotoka Dar es Salaam, mimi ni mgeni pale, lakini nimefika Dar es Salaam, ikabidi dereva wangu ashindwe kuendesha gari langu tukaomba dereva mzoefu Dar es Salaam. Dar es Salaam imejengwa mno!"
Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Mkoani Kilimanjaro, Anne Kilango Malecela amesema kuwa Tanzania inajengwa kwa kasi na kwamba wananchi wanapaswa kuona ukweli wa maendeleo yanayofanywa na Serikali.