Anne Kilango: Rais Samia anajenga sana nchi, Dar imejengwa mno, Dereva wangu alishindwa kuendesha gari tukaomba dereva mzoefu

Madereva wa mikoani huwa wanapata changamoto kuendesha gari jijini dar, lazima upate mwenyeji anayezijua barabara za jiji
 
Wanajijua ni wabunge wa mchongo hivyo ni UCHAWA kwenda mbele ili "Dili" zao ziende.
 
Pale mwakilisha kero za wananchi anapokuwa kero kwa wananchi.
 
hapo kuna 2 aidha huyo unayemuita dereva siyo dereva na hajui kuendesha kwa kufwata sheria za barabarani au kuna chaos barabarani na siyo kweli kwamba mji umejengwa, kwa maana kama mtu ni dereva ina maana unazijua sheria za barabarani utashindwaje kuendesha ? i mean, whats so difficult kama kuna vibao vya alama barabarani vinavyoonyesha kona, taa, faraja, zebra crossing etc.

dereva unaweza ukamtupa tokyo leo hii na akaendesha ije kuwa dar? bottom line ni raihisi zaidi kuendesha mji ulipangwa na kujengeka vizuri klk mji wenye chaos, hivyo kama dereva hawezi kuendesha dar basi miundo mbinu ya dar ndio taitzo na ni hovyo na siyo kosa la dereva ...
 
Unaangalia hayo mambo ya CCM yakusaidie nini wewe na sisi hapa???! aaah!
 
Here we go again—msimamizi wa Serikali arejea kwa kishindo kwenye role pendwa ya kumuimbia mtawala nyimbo za praise and worship!
 
Tz ni channel ya vichekesho kweny hii jumuiya ya EAC
 
UBunge ushakuwa fadhila toka CCM!
Kuna watu ni wabunge vipindi 3 (miaka 15) na hamna jipya!

Ukiangalia kinachoendelea pale ni kumsifu mheshimiwa muuaji!
 
Sasa kusafiri kwenyewe mwisho wako ni hapo kwenu maswa utaweza vipi kuelewa kinachozungumzwa??
SGR Lot no 3 Makutupora -Tabora ujenzi umesimama na Waturuki wamefunga makambi baada ya serikali kukosa fedha za kuendeleza ujenzi.. hiyo habari unayo umpenyezee Kahaba Chura ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…