Anne Makinda anunua nyumba kwa Tsh. Milioni 900, Dar

Sasa mtu alikua mfanyakazi wa serikali tena wa ngazi za juu kwa miaka mingi pesa hizo hakosi
Kwenye nafasi alizoshika karibia kila kitu alikua anahudumiwa na serikali
Mbona walim mtaani huku wanapostaaf na wao wanaporomosha mijengo hamsemi πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ au makinda inashtua kidogo 900 paref hahahaa
 
Niite nifanye interview Mkuu ksk

Niondoe na kwenye Hiko Chama ulichokitaja
 
Wizi unauita ni maarifa!? 😳😳😳
Kwa sababu nahisi zilikokwapuliwa ni kwenye minyororo ya akaunti za Mafisadi nahisi huko kuna Pengo la hayo Matrioni

Ni maarifa ndio kumnyang'anya Fisadi
 
Mkuu:
Yupo wapi hapo tuonyeshe tafadhali.

 
Watu wengine hovyo sana wanaamini wasivyoviona. Kidoti si sehem ya hii familia?
 
Makinda yupo Serikalini na ngazi za juu zamani katumia akiba
 
tafuta hela acha kujadili pesa za mwanamke kazipataje
 
acha wivu wa kike , na ww nunua. Au ndo wamwonea wivu spika mstaafu!!!?
 
Tutumie akili angalau kidogo ,unamshangaa mtu aliyetumikia nafasi za juu serikalini kununua nyumba ya m900?yaani unaona ni nyingi sana?
 
haya yote yanakuja leo baada ya yeye kusema "nitakuwa wa mwisho kuamini kama mbowe ni gaidi"

kijana endelea kutumikia tumbo lako bila kujua unaandaa uwezekano wa wewe na kizazi chako kurudi utumwani,na safari wahusika sio waarabu ni weusi wenzio CCM
 
Masikini huamini kua kila tajiri ni ameiba tu,umasikini mbaya sana aisee.
 
Amekuwa mbunge kwa miaka Arobaini na pia amekuwa spika wa Bunge ana vyeo lukuki pia amekalia vyeo vingi Sana hivyo kwa nafasi alizoshika plus ujasilia Mali alonao hicho kiasi cha kawaifa sana
 
Umbea. Ujumbe wake wa bodi mbalimbali unaweza kumpatia hizo hela. Na ukumbuke huyo ni
Mfanyakazi wa siku nyingi serikalini kwa vyeo vya juu hivyo unaweza kuta alikuwa ana save au kakopa.
kasevu Milion 900? sio kwa mishahara ya bongo labda mkopo
 
Sasa hayo si maisha binafsi,tukianza kufuatilia kila mtu anachonunua itakua taabu.
 
Huyo mama yupo serikalini tangu enzi ya Kambarage, akose huo mpunga kweli??
 
Superfeo yuko Mwamba Omari Msigwa,Felician Msigwa na Msigwa mwingine.Hiyo ya Makinda kumiliki superfeo labda utuletee Memarts tuone share.Superfeo ni brand ya akina Msigwa
 
Ufisadi Tanzania kuisha ni kama kusema maji yaishe Bahati ya Hindi
 
Kuingilia Maisha binafsi ya mtu sio vizuri.Heshimuni watu basi Hao ni Wazazi wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…