Anne Makinda anunua nyumba kwa Tsh. Milioni 900, Dar

Angalia picha ya kuchanganya udongo wa muungano nasikia yeye ndo kashika vifaa. Kama alikwisha ingia kwenye connection kipindi hicho mpaka leo ana connection unategemea akose mamilioni? Mi naliona kama mfano wa kuigwa tujifunze kuwekeza badala ya kuendekeza anasa la sivyo tutawapachika watu dhambi wasizokuwa nazo. Na angekuwa kabila fulani uzi ungesema Makinda ana akili ya kutafuta pesa.
 

Mbana matumizi kweli kweli
 
Huku kwetu hali iko hivi


 
Yaani tangu aseme kuwa atakuwa wa mwisho kuamini Mbowe ni gaidi mmeanza kumshambulia!

Mwacheni!
Mbona JK hamumsemi?
 
Assuming amepangiwa kuishi miaka 77 Kama isemavyo BIBLIA , atakaa humo ndani kwa muda gani?
Hiyo hela angewasaidia watoto wanaoteseka kwenye vituo vya kulelea watoto si njia yake ya Mbinguni ingekua tambarare.....
Asking for a friend. Huyu mama ndio mmiliki wa mabasi ya SUPER FEO?
Jana nimeona Super feo mpya zaidi ya sita Miembe sana kibaha
 
Kwani mtoa mada hajui kwamba viongozi wa ccm ndio wanaofaidi keki ya nchi hii?!
 
Chini ya ccm usitegemee uzalendo.
 
Sasa mbona unaogopa kumtaja huyo mtoto?
 
Ungeanza kutujuza ameanza kupata uteuzi akiwa na mikaka mingapi serikalini, then jumlisha Ubunge na miaka yote aliyoshika nyadhifa mvalimbali. Hivyo ni vijipesa!
 
Mama aliwekeza kwenye kilimo na ufugaji huyo,
Plus kiinua mgongo cchake, na isitoshe ana kopesheka kwenye taasisi za fedha kulingana na Mali alizonazo
 
Bila picha ya nyumba na ukumbi itakuwa ni majumgu. Weka picha zake na documents za manunuzi au umiliki.
 
Mukopo kwenye mabenki hawakopeshi,!?Jibu hapo kwanza!
 
Makinda anakaribia miaka 90 kwa umri sasa hayo majumba ya nini?
Unaonekana ukipewa madaraka utazika kizazi chako cha sasa na vijavyo kwa sababu kauli yako hii inaonyesha unaubinafisi wa kupindukia kiasi cha kuwa na husuda dhidi ya uendelevu wa utu.

Nalazimika kukuombea kwa Mungu ili uwaze na kutenda sustainably!!!
 
Hiyo pesa kiduchu sana kwa mtu aliyekuwa Spika wa bunge,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…