TANZIA Anne Rwigara afariki dunia. Ni dada wa Diane aliyejaribu kugombea Urais dhidi ya Kagame. Mama asema kifo hicho ni fumbo

Tafsiri yake ya kusaliti nchi ni ipi?
 
Niliwahi kusikia kuwa PK ni pandikizi la CIA! Analinda maslahi ya US kule Congo. Na hata siku moja hutasikia US imemsema PK!

Kwa wale wanaomfahamu sijui kama ni kweli.
Maslahi ya US huko Congo yanayolindwa na Kagame ni yapi?
Sababu zipi za msingi US wamtumie Kagame badala ya kwenda moja kwa moja DRC?
 
Mbona Hamas hawataki kuheshimu mamlaka ya Israel??
 
Wauwajiiii @ work mmh hiinchihatabodatunaogopaaaa
 
Hii ndio moja ya sababu ya Mimi binafsi kutokukubaliana na tawala nyingi za ki-Afrika. Bara la Afrika Lina Tawala nyingi sana za kidhalimu, kiasi kwamba haziwezi kuvumilika.
 
Kawaida ukiona mtu analeta hofu unamfinya tu kimtindo maisha yanaenda.
Seriously?
Unavyoona wewe kweli hawa Wanawake wa familia hii wamekuwa ni kitisho cha Usalama wa nchi ya Rwanda kiasi cha kufikia hatua kwamba wanastahili kuwa assassinated ?????? Is it??????????
 
Doubt kama Kagame anahusika, Kagame alimwachia zamani sana na kufutiwa kesi zote, na alihamia US miaka mingi sana iliyopita na alishaacha kujihusisha na siasa pia, sioni connection yeyote
 
Kuna nafuu kidogo asee Rwanda ni zaidi ya jehanamu
Ni kweli kabisa unachosema.
Mgeni ukifika Rwanda kuna Polisi wa Siri, wenyewe Wanyarwanda wanawaita kwa jina la kifupi SEPO (yaani Secret Police Officer) ambao wanakufuatilia kila mahali unapokwenda ili kujua kwamba umeenda kufanya nini huko. Wanataka kujua kwamba unajihusisha na siasa za kumkosoa Paul Kagame au la.
 
Doubt kama Kagame anahusika, Kagame alimwachia zamani sana na kufutiwa kesi zote, na alihamia US miaka mingi sana iliyopita na alishaacha kujihusisha na siasa pia, sioni connection yeyote
Je, Unamfahamu vizuri Paul Kagame pamoja na mitandao yake ya kuwaangamiza Wapinzani wake hata wale waliopo nje ya Taifa hilo la Rwanda????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…