TANZIA Anne Rwigara afariki dunia. Ni dada wa Diane aliyejaribu kugombea Urais dhidi ya Kagame. Mama asema kifo hicho ni fumbo

Huyu jamaa fake sana anaua hata ma binti ? Angemuacha tu ampe changamoto sio mvaya mbona m7 anakubali wapinzani ? Anaeua kwa upanga.....ipo siku yake
 
Du kumbe ni hatari hivyo?
 
Madini ya Kongo yamemfanya Kagame awe mtu hatari sana. Laiti Kongo ingekuwa na serikali thabiti; ndiyo madhara ya kuwa na viongozi wabinafsi kama Mobutu. Aliua nchi nzima na sasa raslimali zake zinaliwa na Kagame.
East Africa ni kama imelaaniwa yote ukitoa Kenya
 
Du kumbe ni hatari hivyo?
Ukiwa Rwanda usithubutu kumsema vibaya Paul Kagame.To be in the safe side, yaani unatakiwa kuacha kabisa kumzungumzia Paul Kagame au utawala wake, kwa sababu kufanya hivyo ni kujikatia tiketi ya kifo. Hali kama hiyo pia ipo sana katika nchi ya Zimbabwe, hususani kwenye miji mikubwa kama vile Harare na Bulawayo. Hali ilikuwa mbaya zaidi wakati ule wa utawala wa Rais Robert Mugabe, maiti za watu wakosoaji wa utawala wa Bw. Robert Mugabe zilikuwa zinaokotwa mitaani karibu kila siku hali ambayo ilisababisha wananchi wengi kuitoroka nchi hiyo ya Zimbabwe na kukimbilia nchi jirani ya Afrika ya Kusini.
 
Viongozi Africa 96% wamelaaniwa na MUNGU ndiyo maana hatuendelei
 
Kuna mwanasiasa siku ya kufakwake atatapatapa sanaa atatoa ulimi kama kinyonga na wataukata kwa msumeno ili asitishe kwenye jeneza. Atatoa macho kama kabanwa na mlango watamtoa macho kwa kulabu na kumfumba hivyo atakuwa kama bibi kizee kwenye jeneza. Kutokana na urefu wake jeneza ili lisiwe refu watamkata miguu kwa chainsaw
Atazikwa usiku wa manane
 
Kawaida ukiona mtu analeta hofu unamfinya tu kimtindo maisha yanaenda.
Na wewe unayefinya wengine nawe siku yako ipo nawe utafinywa na wengine au Mungu na mwisho wa siku pia maisha yataendelea vilevile.

No one is immortal and no one is indispensable anywhere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…