annex inayomchanganya akili Bwana Paul Kagame

annex inayomchanganya akili Bwana Paul Kagame

kabindi

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
333
Reaction score
120
Hii annex (attached) kutoka kwenye report ya Umoja wa Mataifa ndiyo inayomsumbua Kagame. Kwani heshima yake haipo tena kutokana na hii report. Atahangaika sana lakini kwakweli kimeishasanuka maana wazungu huwezi wambia kitu wakishapoteza trust na wewe. Anajaribu kuikataa kwa nguvu zake zote kama siku zote anavyokataa kushiriki mauaji ya kimbali. Sorry wana-JF kama ni pollution of information, kwa maana kama hii annex mlikuwa mmeishaiona humu ndani maana binafsi nilikuwa sijaiona. Chanzo ni Aljazeera http://www.aljazeera.com/indepth/opinion/2012/07/20127121254429443.html.
 

Attachments

Hakuna mashaka hiki ndicho kinamsumbua PK.Nimeisoma taarifa yote kwa kweli hii taarifa is self explanatory and Baba HIS EXCELLENCY PAUL KAGAME HAS NO DEFENCE.He is left naked.
 
Duh mkuu wewe jembe, hili lingoma linatoa maubishi yote ya PK
 
Sijui kwanini Dr. Slaa anamkumbatia huyu muuaji!

Slaa hajamkumbatia kagame wala kumsifia, ameweka wazi kwamba JK needs to walk the talk hapa nyumbani, he should practice what he preaches
 
Kwani slaa na kagame wanaundugu?

"Nchi ngumu hii"
 
Dr. Slaa alichosema ni kwamba jk awakalishe pk na waasi ili waptane, si wakae wenyewe!ni kwamb maadui wa2 hawawez kukaa wakapatana bila kuwepo na mpatanishi!
 
ZeMarcopolo; Sijui ni kwanini unapenda watu wakuone huna akili?
 
Last edited by a moderator:
Sijui kwanini Dr. Slaa anamkumbatia huyu muuaji!

The big question kwangu ni---- how can this continue while USA pretends to be a big brother of the world?? and have serious business in DRC and Tanzania??

We have some serious problem here... Pamoja na kumuunga mkono JK, nina wasiwasi sana na kuvurugwa ili wazungu wakombe kila kilichopo
 
Wengi wenu hamjasoma hiyo report ndio maana mnaropoka. Na hilo ndio kosa kubwa wanalofanya vijana wa siku hizi, kuchagua upande bila kutafuta taarifa. Kama Huna muda au hamu ya kusoma doccument nzima, basi nenda kwenye paragraph ya 26. Soma kuanzia hapo halafu itafakari kauli ya Dr. Slaa.

Wengi wenu hamjui kinachoendelea. Jengeni tabia ya kusoma na kudigest...
 
Sijui kwanini Dr Slaa anamkumbatia huyu muuaji!

Eti nasikia kwamba ukiwa mpinzan basi unatakiwa upinge kila jambo hata kama lina ukweli, Slaa anampinga Kikwete kwa vile anajuwa kuna misukule itakayomuunga mkono!
 
Eti nasikia kwamba ukiwa mpinzan basi unatakiwa upinge kila jambo hata kama lina ukweli, Slaa anampinga Kikwete kwa vile anajuwa kuna misukule itakayomuunga mkono!

Wanachofanya ni sawa na kutoboa boat wanayosafiria.
Slaa ni mroho wa pesa na Madaraka. Hiyo report kuanzia para 26 inaelezea jinsi serikali ya Kagame invyodeal na waroho kama Slaa...
 
Dr. Slaa alichosema ni kwamba jk awakalishe pk na waasi ili waptane, si wakae wenyewe!ni kwamb maadui wa2 hawawez kukaa wakapatana bila kuwepo na mpatanishi!
Ni nini kinatangulia mpatanishi au dhamira ya kupatana kwa wanaogombana
 
hiyo ndo inaitwa 2 in 1 PK aluke na iyo Annex sasa
 
annex inayomchanganya akili Bwana Paul Kagame
Hii annex (attached) kutoka kwenye report ya Umoja wa Mataifa ndiyo inayomsumbua Kagame. Kwani heshima yake haipo tena kutokana na hii report. Atahangaika sana lakini kwakweli kimeishasanuka maana wazungu huwezi wambia kitu wakishapoteza trust na wewe. Anajaribu kuikataa kwa nguvu zake zote kama siku zote anavyokataa kushiriki mauaji ya kimbali. Sorry wana-JF kama ni pollution of information, kwa maana kama hii annex mlikuwa mmeishaiona humu ndani maana binafsi nilikuwa sijaiona. Chanzo ni Aljazeera http://www.aljazeera.com/indepth/opi...254429443.html.


Duh nimeisoma hiyo report. It is no wonder Kagame anaweweseka.​
 
Yaani Kagame alishapigwa kidole cha jicho siku nyingi sana....! Na ni kutokana na hii report ya June 2012, ndipo SADC ilipendekeza kuwe na Intervention Brigade na UN ikakubali...!
 
Back
Top Bottom