Hii annex (attached) kutoka kwenye report ya Umoja wa Mataifa ndiyo inayomsumbua Kagame. Kwani heshima yake haipo tena kutokana na hii report. Atahangaika sana lakini kwakweli kimeishasanuka maana wazungu huwezi wambia kitu wakishapoteza trust na wewe. Anajaribu kuikataa kwa nguvu zake zote kama siku zote anavyokataa kushiriki mauaji ya kimbali. Sorry wana-JF kama ni pollution of information, kwa maana kama hii annex mlikuwa mmeishaiona humu ndani maana binafsi nilikuwa sijaiona. Chanzo ni Aljazeera http://www.aljazeera.com/indepth/opinion/2012/07/20127121254429443.html.