Anniversary ya miaka 15 na mke wa mtu

Anniversary ya miaka 15 na mke wa mtu

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,012
Reaction score
817
Siku ya jumamosi tarehe 5/6/2021 tutakuwa tunaazimisha miaka 15 ya mahusinano na mchepuko wangu. Kila mmoja ana ndoa yake ila tumebarikiwa kuishi kwa miaka 15 tukiwa kwenye mahusiano bila ya kushtukiwa.

Tunaomba support yenu wadau.


1622612564361.png
 
Ebwana kama hivyo nimekubali mzee wa kazi.

Kwahiyo ni alikua wako kabla ila maisha yakafosi aanze kuolewa na wewe baada ya kujiunga vyema ukamrudia au ilikuaje?

Hapana chief tumeanza ku date wote tukiwa na miaka mitano kwenye ndoa. Tumeenda mbali sana mpaka ndugu zake na mama ananifahamu. Kuna shughuli tuna hudhuria kama couples.
 
Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake........

Mwanadamu anapoachana na matumizi ya fahamu zake anajiweka karibu na mabalaa makubwa pasi na yeye kujua.....Mungu ametupa akili na fikra ili vituongoze kwa faida yetu.......lakini unaporuhusu mahaba yaamue hatima yako jua upo karibu na anguko lako....

DUNIA MSONGAMANO.......
 
Back
Top Bottom