Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee...mahafali wapi tuje?Siku ya jumamosi tarehe 5/6/2021 tutakuwa tunaazimisha miaka 15 ya mahusinano na mchepuko wangu. Kila mmoja ana ndoa yake ila tumebarikiwa kuishi kwa miaka 15 tukiwa kwenye mahusiano bila ya kushtukiwa. Tunaomba support yenu wadau.
Komaa umjue Mchepuko wa mkeo,huenda yeye amekuzidi miaka na mchepuko wake bila wewe kumstukia.Siku ya jumamosi tarehe 5/6/2021 tutakuwa tunaazimisha miaka 15 ya mahusinano na mchepuko wangu. Kila mmoja ana ndoa yake ila tumebarikiwa kuishi kwa miaka 15 tukiwa kwenye mahusiano bila ya kushtukiwa. Tunaomba support yenu wadau.
Huyu ina maana hata kanisani au msikitini haendi kwa muda wa miaka 15,au hata kama anaenda ni katika tu kuonekana na yeye anaabudu,ninavyojua mimi kabla ya kuingia kwenye ibada yoyote lazima kwanza ufanye toba ndio uendelee,sasa huyu yeye alikuwa anafanya toba gani wakati ana mchepuko kaushikilia kwa miaka 15 na bado hana mpango wa kuuacha...!Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake........
Mwanadamu anapoachana na matumizi ya fahamu zake anajiweka karibu na mabalaa makubwa pasi na yeye kujua.....Mungu ametupa akili na fikra ili vituongoze kwa faida yetu.......lakini unaporuhusu mahaba yaamue hatima yako jua upo karibu na anguko lako....
DUNIA MSONGAMANO.......
Eeeee,yaani hadi ndugu wanajua ufuska wenu???sio bure kuna shida mahaliBro wivu yani kama yote. Kwanza hawezi toka na mumewe out bila ya ruhusa yangu. Kuna wakati tunagombana ndugu wanatuweka chini kutupatanisha.
Kwa hiyo unajitafunia km mkeo vile dah!!!,Dunia haina huruma.Mambo ya ofisini aisee tulianza mdogo mdogo
Mwambieni awe anatembea na mafuta kabisa,kuna siku yaja atakapoinamishwa na kisha kuingiziwa mashine kinyume na maumbile a.k.a kutatuliwa marinda.Mke wa mtu sumu.Kamati ya wachepukaji Tanzania imekuandalia noble prize kwa hilo.
Tunakutakia kila la kheri kwenye shughuli yako hiyo tar 5th May 2021.
Ni ziaidi ya mke aiseeKwa hiyo unajitafunia km mkeo vile dah!!!,Dunia haina huruma.
Eeeee,yaani hadi ndugu wanajua ufuska wenu???sio bure kuna shida mahali
Mkeo nae itakua hivo kuna jamaa linakula utamu wa vanilla tu....Ni ziaidi ya mke aisee
😀Michango.Support ya nini?