Anniversary ya miaka 15 na mke wa mtu

Anniversary ya miaka 15 na mke wa mtu

Duh 15yrs? Sasa si muachane tu na hizo ndoa zenu mhalalishe huo uchepukaji uwe ndoa? Na huenda hata mke wako na mume wake mchepuko wako wanapendana pia sasa why don't you do cross multiplication? 🤔
 
Waatuuuu,

Ule mchepuko wako wa kipindi kile bado mnaendelea au mmeachana...!.!??😅😅

Kilichojificha/kilichofichwa kina hamu na ushawishi mkubwa wa kuonwa/onjwa/kuliwa halafu ni kitamu vs kilicho wazi/free/ available..
Hahah...
Mchepuko dawa yake ni kuuhalalisha tu uwe njia kuu...we si unaona hata serikali inapambana kuongeza upana wa barabara!
 
Hahah...
Mchepuko dawa yake ni kuuhalalisha tu uwe njia kuu...we si unaona hata serikali inapambana kuongeza upana wa barabara!

Bafana Bafana...!

Kuna siku jirani mwenye ugwadu alitaka kunifanya mchepuko baada ya kushikwa na ugwadu...

Kaja nigongea mlangoni usiku wa manane anaazima pasi.....!!😳😳😳

Nikamwambia imeeksipaya 😜

Nikavuta shuka nikaendelea kulala hadi asubuhi.
 
Ungempa ile ya mkaa yenye kijogoo kwa mbele akapambane nayo huo usiku mnene...

By the way Kasinde kwa mahaba uliyoumbwa nayo, wafaa sana kuwa njia ya kando 🤸🤸🤸
 
Eti njemba nayo ina mke wakati mke hafanyi chochote bila ruhusa ya mchepuko. Mume anataka papuchi leo...,,usimpe si unajua tuna kutana weekend? Mwambie wewe unaumwa tukishakutana weekend ndiyo unaweza kumpa 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂kubabeki
 
Ungempa ile ya mkaa yenye kijogoo kwa mbele akapambane nayo huo usiku mnene...

By the way Kasinde kwa mahaba uliyoumbwa nayo, wafaa sana kuwa njia ya kando 🤸🤸🤸

Aahahahahahahaa

Na nsivyopenda majukumu wala sikatai....

Cha muhimu ntqyekuwa mchepuko wake asiwe mbahili tuu... sitaomba hela ila ajiandae kunigharamia starehe zangu ndogondogo....

Kusafiri nchini, going places taste new food, out for dancing and talking, cudling walking, reading for each other....

When my mood is on i love cooking, he has to be there wait for my food and eat it awhole even if wont taste that delicious..😅

Sasa tukiingia uwanjani kwenyw mieleka ajiandae maana sinaga lelemama mtima ukiwa wima 😜😜 nyege hadi utosini akinishika ncha ya nywele tuu napiga uyowe huooo aahahahahahahaa

Ngoja nipunguze wizi, watu wasitoroke makwao miaka 15.
 
Eti njemba nayo ina mke wakati mke hafanyi chochote bila ruhusa ya mchepuko. Mume anataka papuchi leo...,,usimpe si unajua tuna kutana weekend? Mwambie wewe unaumwa tukishakutana weekend ndiyo unaweza kumpa 😂😂😂😂😂😂

Hapo kachoropoa mimba tatu zezeta hilo halijui chochote hahahahahaha nacheka kama mazuri!!!!
😅😅😅😅😅 embu imagine na wewe....15 fckn yrs si mchezo
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Nimechoka kabisa aisee 😂😂😂😂 anniversary ya ndoa 17 years ya mchepuko 15 years!!!! 🤣🤣 mchepuko unaheshimiwa zaidi ya mume na si ajabu mapigo yake ni ya kihuni huni ili aikomoe K 😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅 embu imagine na wewe....15 fckn yrs si mchezo
 
Duh 15yrs? Sasa si muachane tu na hizo ndoa zenu mhalalishe huo uchepukaji uwe ndoa? Na huenda hata mke wako na mume wake mchepuko wako wanapendana pia sasa why don't you do cross multiplication? 🤔
Kuna siku niliskia tukio kama hili clouds mpka wakabadilishana mwenyr mke akaondoka na mke wa jamaa na yule jamaa akaondoka na huyu mdada.
Yan nawaza ukuu wa Mungu maana naona alivokaa huko juu anavotizama yanayoendelea , kama angekua na sifa ya kibinadamu anazima tu switch ya hewa tunayovuta tupotee tu maana hakuna namna
 
Eti njemba nayo ina mke wakati mke hafanyi chochote bila ruhusa ya mchepuko. Mume anataka papuchi leo...,,usimpe si unajua tuna kutana weekend? Mwambie wewe unaumwa tukishakutana weekend ndiyo unaweza kumpa 😂😂😂😂😂😂
Daa
 
Lau Kama ningekua sijaoa sijui ingekuaje kwa ipande wangu kuhusu ndoa, maana mada za hapa jf Ni dhahiri bila Shari swala la ndoa halitakua lepesi kwa ambae hajaingia huko kuingia.
Mada zinavunja moyo mda wote unaeza rudi home ukanza mwangalia mwezio vibaya
 
Muhimu sana washel lazma ipakwe grisi kidogo
Yan uanweza ukaangalia story za jf ukajikuta unamtizama jamaa ako na kujiuliza hivi kwel nae hana ambae wanaenda kufikisha 20yrs of anniversary. Yan dunia ina mengi
 
Naona unajisifu kula mke wa mtu for 15 solid years. Jiandae kufumuliwa linda brother
 
Bro wivu yani kama yote. Kwanza hawezi toka na mumewe out bila ya ruhusa yangu. Kuna wakati tunagombana ndugu wanatuweka chini kutupatanisha.
Sasa mkeo anekukosea nini kikubwa mpaka uwe na mchepuko muda mrefu hivyo? Na huyu mchepuko wako mumewe amemkosea nini?
 
Back
Top Bottom