TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Nimegundua watu wengi sana mnaamini kwamba mtu anaefanya mambo mabaya tu ndio nayeye hua anapatwa na mabaya! Kwamba eti ukichepuka na wewe wako ataliwa..!!
Guess what?
Maisha hayako hivyo! Hili jamaa linaweza likachepuka mpaka likazeeka na lisipate janga lolote, wakati kuna watu hata hawajawahi kuchepuka lakini kila siku mabalaa left right and center.
Mi nafikiri we ukiona kuchepuka ndio mwendo we chepuka tuu, kwani nini bana.? Maisha haya ata uwe malaika bado tabu ziko palepale na mwisho wa siku utakufa tuu so enjoy as much as u can.