Anniversary ya miaka 15 na mke wa mtu

Ebwana kama hivyo nimekubali mzee wa kazi.

Kwahiyo ni alikua wako kabla ila maisha yakafosi aanze kuolewa na wewe baada ya kujiunga vyema ukamrudia au ilikuaje?

Hapana chief tumeanza ku date wote tukiwa na miaka mitano kwenye ndoa. Tumeenda mbali sana mpaka ndugu zake na mama ananifahamu. Kuna shughuli tuna hudhuria kama couples.
 
Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake........

Mwanadamu anapoachana na matumizi ya fahamu zake anajiweka karibu na mabalaa makubwa pasi na yeye kujua.....Mungu ametupa akili na fikra ili vituongoze kwa faida yetu.......lakini unaporuhusu mahaba yaamue hatima yako jua upo karibu na anguko lako....

DUNIA MSONGAMANO.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…