Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

mkuu ile pyramidi kubwa nimeingia ndani.juu kbs kn kichumba na kina km meza,then kabla ya kwenda juu ,kwa chini pia kn shimbo limeenda mita kadhaa. 2010 nilitembelea mji wa giza.naandika nilichokiona kwa macho

Hii mada inanipa mwanga zaidi ya kile nilichoona misri
 
nami nasubiri atupatie source bt i was there 2010. Nina hadi picha nikiwa hapo el giza,
Hongera Mkuu Kwa kufika huko, ila kiuhalisia yale madubwasha ni makubwa sana, haiingii akilini kuwa yalijengwa Kwa main purpose ya kuhifazia pharaohs tu peke yake, hebu we uliefika Kwa jinsi ulivojionea na Kwa Akili ya kawaida ya teknolojia ya zamani unahisi ingewachukua miaka mingapi ili kujenga pyramid 1 ili lije kutumika kama kaburi?

Maana tukisema main purpose ilikuwa yatumike kama makaburi inawezekana huyo pharaoh alie madarakani akazaliwa na hadi akafa na asije kulitumia kaburi lake maana litakuwa bado halijakamilika na linaendelea na ujenzi

ila nachoamini pharaoh wamekuja kuyatumia kama makaburi Yao baada ya kuyakuta tu yana exist na watu hawajui Yana kazi Gani na ataka kama walikuwa wanajua yalikuwa na kazi gani basi wakajua hayana kazi tena, Sasa Kwa uzuri wa hizo pyramid na uspecial wake pharaoh wakaamua kuongezea Thamani maiti zao Kwa kuzikwa mle ndani

ila ukweli ni kwamba Yale madubwana ni makubwa sana kiasi kwamba watafiti hawajui ata yanaishia wapi na yanaelekea wapi, ila watalii ndio wanaishia kwenye maeneo ambayo yanafikika kirahisi then zoezi la utalii linaishia hapo

Na Kumbuka pyramid hazipo Egypt pake yake yapo hadi huko America kusini na huko kulikuwa hakuna ma pharaoh, je na huko yalikuwa yanatumika kama makaburi? Maana huko hakuna mummies/mabaki ya watu ambao unaweza kusema hapa lilikuwa kaburi
 
leo ndo nimeanza kufuatilia huu uzi ... endelea kushusha madini
 
Religion ni kwa watu wanaogopa moto kama ww ulivo kuwa.na kiwa mlokole sio majaribio ya kujiusisha na sprliritual reamls. Viumbe kutoka juu waliwafundisha watu mpaka ritual .
Ok do you beleibe in souls?
 
mzee una nondo
 
Kitu ambacho mpaka Sasa natamani nijue man Ni Nani mkali au mkuu mkubwa wa kila kitu kwa vyote yaaani!!
Na maanisha aliyewaumba hao miungu wote akina anunakki(Yesu,Allah,budhaa,etc..) Ni Nani huyo au yupo nje ya fikra zetu?
We jamaa unafuata fuata mtu kipofu kama chawa ,haya shauri yako ..
 
SEHEMU YA KUMI

THE MOON, NASA & THE ANNUNAKI



Shmitt's rejected patch, it wood seem based on a previous Apollo mission when they discovered a stonehenge-like structure.

Mnamo July 1969, mtu wa kwanza alifika mwezeni (kama walivyosema NASA, japo siyo kweli), na Neil Armstrong alinukuliwa akisema "Ni hatua kubwa sana hii kwa mwanadamu."

Tumekuwa tukisikia na bado tunasikia stori nyingi kwamba mtu alifika na kutua mwezini na kutembea kabisa mwezini. Naweza sema mtu alifika mwezini mara nyingi, lakini vile vile naweza kusema filamu na picha zilizo onyesha mtu akifika mwezini zilikuwa faked. Kwa nini, ni kwa sababu zifuatazo:

USA alikuwa akishindana na Russia (cold war), hivyo hili aweze kumshinda Mrusi ilibidi atengeneza tukio la kwenda mwezini tena studioni kwa kutumia Apollo crew( iliwahusisha Andrew Collins, Neil Armstrong pamoja na Edwin Buzz Aldrin). Watu hao wote waliitaji ushawishi wa hali ya juu ili kushiriki mpango huo.

Serikali ya Marekani ilikuwa tayari kugharamia gharama zozote zile ili kutimiza mpango wao na kuhakikisha tukio hilo linarushwa moja kwa moja kupitia kwenye runinga za taifa na dunia kwa ujumla bila kujali wanasayansi wa anga (Astronauts) watasema nini kuhusu tukio hilo na siri zote ambazo NASA walikuwa wakizijua.


NASA walikuwa wanafahamu kuhusu ancient structures, track marks & mining all over the moon, hivyo wasingeweza kurekodi filamu na kupiga picha ambazo zingeleta utata wakati wa kuandaa tukio hilo (japo walijichanganya kidogo).

.

Katika video fupi, Buzz Aldrin alitufanya tujue kwamba human race ni kitu kikubwa sana tofauti na tulivyofahamu hapo kabla, hii ni wakati aliposema:

"We Aliens, we certainly are part of a magnificent race." .

Kama ilivyotabiliwa na wataalamu wa NASA, Apollo 11 LEM (Luna Excursion Module) ilitakiwa kurushwa kwenye designated landing zone ambako hakuna structures yeyote, lakini ilikwenda mbali sana hadi sehemu yenye structures.

Wakati Neil na Buzz wanatoka nje na kutembea mwezini, mmoja wao alisema hivi, "Wow, what is that there?".

Hawakuweza kuamini kile walichokiona, na waliendelea kufanya upelelezi kinyume na maelekezo kutoka Mission Control, nani aliwaambia haya yafuatayo:

"Yes, we know about that, go back the other way, back the other way."




Above, a still from motion reel, followed by a fake moon picture-notice the multiple light sources.


On the Medical chaneli, Neil alirekodiwa akisema, "They are on the opposite side of the crater from us and they are watching us."(Je walikuwa hakina nani hao?, utawafahamu).

Buzz pia ameripotiwa akisema LEM ilikuwa ikifuatiliwa na kile tunachoweza kukiita Unidentified Flying Object(UFO).

Baada ya kurudi duniani kutoka mwezini Apollo 11 crew wote walijiuzuru haraka sana. Kwa nini? Kwa sababu hawakutakiwa kufanya tena uchunguzi na kutoa siri yeyote kwa kile walichokiona kutokana na kula kihapo cha siri.

Katika video fupi hapa chini Neil anasikika akisema kuwa ni matumaini yake kuwa ipo siku NASA itabadili sera zake na kuondoa usiri kuhusu sera hizo.





AS20 from frame 9625, Rev 15 NASA Apollo 15 mission showing high resolution image of alien craft on the moon.


Picha zilizo chukuliwa na Apollo 15(zikiwemo hizo hapo juu), kutoka mbali kidogo na upande wa mwezi ambao hautazamani na dunia, wachambuzi wa picha hizo, wamesema zinaonyesha uwepo wa ancient spaceship.


Hii document ya siri kutoka NASA.

Kwa kuwa haionekani vizuri, kile kilichoandikwa nimekinukuu:

"Subject: Future Apollo Mission Regarding the discussions of the BLANK subcommittee on the January 27, BLANK on the subject of the future Apollo missions viability, it was determined that missions 18, 19 and 20 would be canceled due to evolving budgetary constraints in the BLANK and BLANK sectors

Those in attending and voting included: BLANK on November 14, BLANK following the directive of BLANK, BLANK the mission status of has been altered.

The revised status shift from cancellation to postponement.

Potential dates of mission reinstatement include: BLANK and if orders to redeploy are received by BLANK, we can confidently expect to lunch BLANK on or before BLANK.

Please refer to the memorandum enclosed herewith outlining of reservations of General BLANK And Colonel BLANK support materials on the subject of security including photographic reconnaissance files requested are forthcoming, expected by BLANK."


Uchunguzi wa ziada kwa kutumia aerial photography of the fuselage ulifanywa na Apollo missions 16 na 17, ulionyesha kwamba ilikuwa fuselage. Ilisemekana kwamba Apollo 17 ingekuwa mission ya mwisho, lakini kama unavyoona hapa chini kwenye picha, Apollo missions 18, 19 na 20 ziliendelea.


In 1962, Carl Sagan addressed the American rocket association in Los Angeles and stated"We better be ready to meet someone else on the moon." Hii inaweza kuwa sababu ya Apollo astronauts kuambatana na ulinzi mkali wa kijeshi.

Kutokana na nadharia, Apollo 20 walifika mwezini tarehe 16 August 1976, miaka minne baada ya official Apollo mission. Kituo chao kilikuwa ni Delporte, a lunar impact crater on the moon's dark side.


Crew members wa Apollo 20 walikuwa ni, William Rutledge(US), Leona Synder (US) na Alexei Leonov kutoka USSR, na mpango wao ulikuwa ni kufanya upelelezi kuhusu uwepo wa alien spaceship iliyotambuliwa na Apollo 15 ya mwaka 1971(Apollo 15 rew ilikuwa ni David Scott, Alfred Worden na James Irwin).


Huyu Leonov ndiye mnajimu wa kwanza kutembea mwezini March 18, 1965 kwenye Apollo-Soyuz mission, joint space mission ya kwanza kati ya USA na Soviets.


Inside shot of Apollo 20 showing joint US-Russian mission.


Kama tunaweza kumuamini William Rutledge (Apollo 20 mission), astronauts walitembelea mji wa kale na alien spaceship kwenye mwezi. Waliweza kukusanya baadhi ya alien gadgets from the ship na kumleta mmojawapo wa marubani wawili wa alien(waliokutwa wamefariki) to their Lunar Module.

The pilot was female(kama anavyoonekana picha ya mwisho), covered in a type of wax & in an excellent state of preservation(ambaye inasemekana ni Annunaki).




According to Apollo 20, kwenye picha hii inasemekana ni ANNUNAKI.
 
Well..hata kama details ztakua znakosewa etc..ila naamin..huu ulimwengu haukutengenezwa kirahis rahis tu et siku moja lets make a man n all creation..naamin watu walikaa wakaumiza sana vichwa..na yalikuepo majaribio mbalimbal..na ndomana mpaka leo..vitu haviko perfectly done..thats y we get sick..we die..wanazaliwa vilema..wanaziliwa wengne hawako compartible na weather etc....naamin pia huu ulimwengu ni wa mda mref saaana kuliko tunavyodhan..perhaps bilions of yeears .pia naaamin we are not alone kwenye hili li universe...pia naamin..we where made by some1 very intelligent amd special...na naamin hii dunia ina siri nying sana na waapo wanaozifaham na usiri huo ndo unakeep hii dunia safe or dumb...pia naamin kuna uwezekano human alipunguzwa uwezaa na maarifa tofaut na yule original..ili ulimwengu huu uwe salama...pia naamin kuna wanadam wanaish foreva..walikuepo na wapo wna waataendelea kuwepo..hao ndo waangaliz wa ulimwengu huu..ni kama keepers...wana monitor..wapo hapa dunian..tunaish nao ila hatuwajui ilaa wao wanajuana
 
Tena wametengeneza morons wa Shetani kwa makusudi maovu ya kuwatenganisha Wanadamu na Mungu wao.
Una elimu gan ndugu...well..navyojua mm..ukiwa uliielewa vzur sayans na pia ukasoma soma vitabu vya dini..both...pia ukasoma hiz maandiko mengne ya udadis..utakua mahala pazur snaa ku argue....na sio tu kushutumu ooh uongo mara ushetan..funny enuf...hata hiz dini ambazo tumezaliwamo..ni tuliletewa tu from..somwea...kama ni mkristo shukuru ulizaliwa mazingira ya kikikristo ndomana ukawa na knowledge hyo..umgezaliwa mazingira ya kiisilam pia ungekua muslim na pia ungekuja hapa kutetea hivyo hvyo kwa upande mwingng...jus see how faith n religion is powerful..so usijinyime kupata knowledge mpya..use logic na elimu uliyonayo kuchambua mambo.
 
Mkuu ukishaona akil ndogo usisumbuke. Yaan hapo unapigia mbuz gitaa...mtu kazaliwa kakuta wazaz wake wako dini fulan iliyokuja na meli unadhan kichwa hko kitakia tayar kupokea knowledge mpya hata kwa kusikiliza tuu?..sia ajab atakwambia ni ushetan?... Ndo walioishia hapo...lakin kutumia logic na maarifa ni mwiko..na ndo hapo unaiona power ya faith n religion ilivyoishika dunia...achana nao hao mkuu
 
wewe Mathanzua Wacha janja janja nimekuuliza wewe unaamini katika Mungu Gani mbona hujibu?
Sidhan hata kama.anajua anaamin katika mungu gan.sabab knowldge yake ni shalow sana ..ni ya kubahatisha tu..wanadam weng wa sasa hawamjui aliewaumba...wanabahatisha tu na kumnafikia hata huyo wanaeamini ndiye ili tu kupata nafas huko walikoahidiwa..lakin kiuhalisia wala hawampend ma kumfaham..jarib tu kuwauliza je ..unaweza kufa kwa ajilo ya Mungu wako..? Utaskia. Majib..tena bora ya muslim..some can..ila upande wa pil huu..atakutolea jusification nyiing na maneno meeng ya vifungu..ohh.." usimjarib bwana mungu wako"..hahahah
 
Nani kakuambia kila kitu lazima kiwe na mwanzo,sio lazima.Hayo ni mawazo potofu kabisa.God Almighty has no beginning,ndivyo alivyojifunua kwetu.He has been and He will be.He is all powerful and Omnipresent and many many other attributes.
Hahah.mlokole katika ubora...yaam hata kufikir kivingne anaona kama dhambi atachomwa moto....bwana duma huyu jamaa usingemuita hapa..naona ni akil ndogo hiz za kina shila.hahahahah
 
Hahah.mlokole katika ubora...yaam hata kufikir kivingne anaona kama dhambi atachomwa moto....bwana duma huyu jamaa usingemuita hapa..naona ni akil ndogo hiz za kina shila.hahahahah
hahahahaha huyu jamaa hua tuna tifuana kweli kweli kwenye maswala ya dini ni mlokole flani brain washed sana,
Kiasi kwamba hua aninifurahisia sana kwenye baadhi ya maada yeye Kila kitu kizuri Duniani huita ni mpango wa Lucifer Hata kama ni vumbuzi yenye faida huishia kuiponda hua ananishangaza sana kuponda technologies mbali mbali huko akitumia vifaa na device za tech kama simu yake iliyotengenezwa na maajent anaodai ni wa Lucifer kutype Pumba za kumponda huyo huyo Lucifer
What a joke
😁😁😁😁😁πŸ”₯
 

Siasa mbaya sana
Tutor B
obelisk
Anigrain
Norshad
Dumas the terrible

Ila baadhi ya videos naona zimeshindwa kuwa uploaded ,ila ntajitahidi nione kama zitakubali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…