Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Unashangaa Annunaki kuumba kiumbe amabae ni dhaifu kuliko yeye ili awe msaidizi wake ila hushangai Mungu mwenye kujua Kila kitu, mwenye uwezo wa kuumba Kwa kunena
Kwahiyo Kati ya Annunaki na Mungu mwenye uwezo wa kuumba kwa kunena ni Nani aliyemuumba mtu?
 
Taarifa ulizoleta ni za kufikirisha mno, lakini kwa ufahamu wako ulishawahi kukutana na uchimbaji wa dhahabu unaotambulika kama open pit, unaweza kukazia hoja yako kwa aina hiyo ya uchimbaji?
 
So you thought I would support nonsense,no way.Huwa mimi I call a spade a spade,sipindishi.Na kwanza ni vizuri kaniita,kwa kuwa I believe imesaidia wengi kutopotoshwa.
 
Na hilo ndio tatizo people they think wapo alone while not even among themselves.

Another issues ni watu wengi hudhani planets ni tisa tu katika ukanda wao, while ukivuka Earth zipo lots of planets. Kuna planets ambazo ni full water, dunes, cactus, plains, glass, only night, only day, cold, hot, ice, with gravity, without gravity, plea animals and so many.

Earth consist all of those! Ukiangalia hapa utafahamu alots of trials, plans, build and errors zilikuwapo kuweza kutengeneza kitu kimoja chenye consist ya mengi.
 

Unamaanisha nn unaposema ukivuka Earth?
 
So you thought I would support nonsense,no way.Huwa mimi I call a spade a spade,sipindishi.Na kwanza ni vizuri kaniita,kwa kuwa I believe imesaidia wengi kutopotoshwa.
Hahaha.duh..haya kaka..
 
Kuna miamba hapa dunian ikipimwa umri wake mingne ina hadi 3.2bilion years..sasa unaangalia...hyo lapse of time unasema..heee..
 
Nisamehe mkuu Kwa kumwita huyo jamaa Kwenye mada za magreat thinkers
si nikajua akipitia hapa atapata funzo na kuongeza kitu nikijua atabadilika kumbe ule ujinga wake niliomuona nao Kwa maada zake Ndio anaundeleza hapa!

Nimefanyanga mistake kupingianga mbusi gitara
😁😁😁😁🔥
 
Mkuu bado nina maswali kadhaa ila kwa kuheshimu uliyoyasema kwamba hutokuwa na majibu basi nafanya kama ulivyoshauri nimuachie mtoa mada.

Ila mimi siulizi kwa kubisha bali nauliza kwa kujifunza
 
kitabu cha Daniel Sura ya 1-6 kina model yote ya yaliyopita, yaliyopo na yajayo.

Nabuchadnezda, mfalme na Mwamba mwenyewe wa Babeli pamoja na wachawi, wasoma nyota, wanajimu na wenye hekima aliowategemea alikiri mara kadhaa kwamba yupo Mungu muumba wa mbingu na nchi na vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.

Ukipata wasaa pitia andiko hilo ujazie maarifa ya yaliyopita, yaliyopo na yajayo. Utafurahi!
 
Mkuu bado nina maswali kadhaa ila kwa kuheshimu uliyoyasema kwamba hutokuwa na majibu basi nafanya kama ulivyoshauri nimuachie mtoa mada.

Ila mimi siulizi kwa kubisha bali nauliza kwa kujifunza
Pamoja Mkuu, acha tuendelee kufatilia mada hadi mwisho, inawezekana mleta mada akajibu vizuri maswali yako kwakuwa alijiandaa kabla
 
Wewe ndo una bla bla ubongoni. Huu ulimwengu uliumbwa na baba yako?

Hujui hata nguvu iliyokuamsha asubuhi ya leo chanzo chake ila unakuja na bla bla za kila kitu kina chanzo, MUNGU hayupo bla bla bla
[emoji16][emoji16][emoji16] kwa hiyo ulimwengu umeumbwa na Mungu nae mungu kaumbwa na Nani !? Aliye muumba mungu nae kaumbwa na Nani !? Acha ujinga Mungu Ni mythology Hakuna kitu Kama hicho
 
Naomba unithibitisbie ukweli wa haya maneno.

Kisha naomba unijibu maswali yafuatayo :

1. Waliabudiwa na nani ?

2. Anunaki ni jinsi gani ? Je ni viumbe au nini hasa ?

3. Ni nani wa kwanza kuelezea habari za Anunaki na huyo wa kwanza habari hizo alizipata wapi ?
Annunaki walitawala maisha na mifumo ya imani ya watu wa kale waliojulikana kama Mesopotamia, lakini ambao kwa sasa wanajulikana kama Tigris-Euphrates river system. Je walikuwa Mungu? hili suala ambalo linazua mkanganyiko kwenye hii saga.
4. Sasa ni kina hasa ? Kwa mujibu wa maelezo yako inaonekana walikuwa wengi. Kama ni wengi ulikuwaje muafaka wao mpaka kufikia kumuimba mwanadamu kama unavyo dai...?


5. Imakuwaje maneno haya yanaitwa ya kitafiti lakini hayana ushahidi wowote kuyathibitisha ?

6. Walijuaje kama hao Anunaki walitokea katika Sayari hiyo ?

7. Hii idadi ya miaka 3,500 nayo wameijuaje ?
8. Huo ushahidi ulio patikana uko wapi na sisi tuushuhudie ?

9. Hadi milenia hiyo huyo Anu alikuwa anafanya kazi gani ? Je nia kazi ya uumbaji au ?
Viumbe hao walikuwa na ujuzu mkubwa katika genetic manipulation, hivyo kwa kutumia ujuzi huu walifanya majaribio mengi (proto-human) ya kumtengeneza binadamu wa sasa(modern man) kwa kutimia teknolojia ya human cloning. Kivipi?, ntaelezea mbeleni.
10. Unaweza kuniambia mtunzi wa hii habari ni nani ? Yaani hizi habari anazisimulia mtu aliyewaona hawa viumbe au nani msimuliaji wa kwanza juu ya habari hizi ?

Narudi kuendelea hapa nilipo ishia....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…