Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Unashangaa Annunaki kuumba kiumbe amabae ni dhaifu kuliko yeye ili awe msaidizi wake ila hushangai Mungu mwenye kujua Kila kitu, mwenye uwezo wa kuumba Kwa kunena
Kwahiyo Kati ya Annunaki na Mungu mwenye uwezo wa kuumba kwa kunena ni Nani aliyemuumba mtu?
 
hivi unajua process za uchimbaji wa Dhahabu Kuna hatua ukifika huitaji machine kufanya Kazi inahitaji manpower,Hata Leo licha ya kua na tech kubwa ila migodi inahitaji watenda Kazi wanaozama live kuitoa mule ndani then mashine zinatumika kuichanjua na kuichakata!
Taarifa ulizoleta ni za kufikirisha mno, lakini kwa ufahamu wako ulishawahi kukutana na uchimbaji wa dhahabu unaotambulika kama open pit, unaweza kukazia hoja yako kwa aina hiyo ya uchimbaji?
 
Hyo knowledge ya kuwa wew ni mwana wa Mungu umeitoa wap..kama ni kwa mtu mweupe bas hata hii ya hapa jukwaan imetoka kwa huyo huyo..tatzo mkuu una uelewa ule wa kilokole ni ngum sana kuelewana hapa...haya mambo ni mazito sana kwako mkuu..wewe hustahil hata kuwa hapa..huyu jamaa kafanya makosa sana kukuita hapa.. samahan kama nakukosea...
So you thought I would support nonsense,no way.Huwa mimi I call a spade a spade,sipindishi.Na kwanza ni vizuri kaniita,kwa kuwa I believe imesaidia wengi kutopotoshwa.
 
Tena ni very advanced robots wenye uweza wa kufanya creation yao wenyew..ndomana unaona madaraja..ndege..barabara..simu..umeme...very advanced robots mwenye kujua good or bad. Mwenye mwil wa nyama...that level ya intelligence ni beyond..ila naamin mwanadam itafika point ataweza fanya high tech kama hzo..ni swala la muda tu

People wanaamin we are alone kwenye hil li universe..hahah..
Na hilo ndio tatizo people they think wapo alone while not even among themselves.

Another issues ni watu wengi hudhani planets ni tisa tu katika ukanda wao, while ukivuka Earth zipo lots of planets. Kuna planets ambazo ni full water, dunes, cactus, plains, glass, only night, only day, cold, hot, ice, with gravity, without gravity, plea animals and so many.

Earth consist all of those! Ukiangalia hapa utafahamu alots of trials, plans, build and errors zilikuwapo kuweza kutengeneza kitu kimoja chenye consist ya mengi.
 
Unamaanisha nn unaposema ukivuka Earth?
 
So you thought I would support nonsense,no way.Huwa mimi I call a spade a spade,sipindishi.Na kwanza ni vizuri kaniita,kwa kuwa I believe imesaidia wengi kutopotoshwa.
Hahaha.duh..haya kaka..
 
Na hilo ndio tatizo people they think wapo alone while not even among themselves.

Another issues ni watu wengi hudhani planets ni tisa tu katika ukanda wao, while ukivuka Earth zipo lots of planets. Kuna planets ambazo ni full water, dunes, cactus, plains, glass, only night, only day, cold, hot, ice, with gravity, without gravity, plea animals and so many.

Earth consist all of those! Ukiangalia hapa utafahamu alots of trials, plans, build and errors zilikuwapo kuweza kutengeneza kitu kimoja chenye consist ya mengi.
Kuna miamba hapa dunian ikipimwa umri wake mingne ina hadi 3.2bilion years..sasa unaangalia...hyo lapse of time unasema..heee..
 
Hyo knowledge ya kuwa wew ni mwana wa Mungu umeitoa wap..kama ni kwa mtu mweupe bas hata hii ya hapa jukwaan imetoka kwa huyo huyo..tatzo mkuu una uelewa ule wa kilokole ni ngum sana kuelewana hapa...haya mambo ni mazito sana kwako mkuu..wewe hustahil hata kuwa hapa..huyu jamaa kafanya makosa sana kukuita hapa.. samahan kama nakukosea...
Nisamehe mkuu Kwa kumwita huyo jamaa Kwenye mada za magreat thinkers
si nikajua akipitia hapa atapata funzo na kuongeza kitu nikijua atabadilika kumbe ule ujinga wake niliomuona nao Kwa maada zake Ndio anaundeleza hapa!

Nimefanyanga mistake kupingianga mbusi gitara
😁😁😁😁🔥
 
Mkuu me sifanyi ligi ya ubishani nadhani hapo ndio tunaposhindwa kuelewana na nikasema me nafunga huu mjadala, nilikwambia Kuwa nitajibu Kulingana na ujuzi wangu mdogo kuhusu uchimbaji wa dhahabu lengo likiwa ni kukupa mwanga ili kama upo kwa ajili ya kujifunza basi utatafuta namna ya kujiongezea elimu Kwa wajuzi zaidi

Kuhusu kusema Ina connection na binadamu ni kwa sababu tuliongelea technology ambayo ata Leo ipo ila haitumiki ispokuwa rasilimari watu ndio ambao wanatumika

lakini pia nimegusia Kuwa uchimbaji wa dhahabu una involve nguvu za giza na viumbe wengine, kwahiyo Kwa Akili tu ya kawaida ulipaswa kuelewa kuwa hao viumbe wengine ndio kama hao Annunaki, na inajulikana kwamba lengo la kuajiri au kutengeneza msaidizi ni kurahisisha shughuri zako ili ziishe Kwa wakati na upate muda wa kufanya shughuri zingine

Kuna sehemu nilitolea mfano kama unahoji Annunaki kuumba kiumbe dhaifu kuliko yeye ilihali yeye ana uwezo mkubwa je uliwahi kujiuliza Kwanini Mungu aliumba Malaika ili wawe wasaidizi wake ilihali ye Anajua kila kitu,Anaona Kila sehemu,Anaumba Kwa kunena na mkamilifu kwa kila kitu Sasa kulikuwa na haja Gani ya kuumba Malaika ili wamsaidie kazi zake ilhali uwezo wake hauna limitations?

Kwahiyo sio kwamba Annunaki walishindwa kuchimba tu wenyewe dhahabu inawezekana ingewachukua muda mrefu zaidi, inawezekana walikuwa wachache na kama ni kweli kuwa dhahabu Ina connection na kiumbe na sio technology katika uchimbaji wake basi iliwalazimu wao kama wao kuingia kwenye tunnel na kuchimba Sasa ili wawe wengi na project iishe Kwa wakati wakahitaji msaidizi (mawazo yangu)

Kwa kujibu hivo naomba utunze maswali Yako kama alivosema mleta mada na akimaliza andiko lake then uliza na inawezekana akakujibu Kwa ufasaha zaidi kuliko sie ambao pia ni wasomaji kama wewe ulivo, Kwa uwezo wangu Mzee mwenzangu nimeishia hapa na sitokuwa na majibu tena ya maswali Yako. Enjoy Uzi mkuu
Mkuu bado nina maswali kadhaa ila kwa kuheshimu uliyoyasema kwamba hutokuwa na majibu basi nafanya kama ulivyoshauri nimuachie mtoa mada.

Ila mimi siulizi kwa kubisha bali nauliza kwa kujifunza
 
SEHEMU YA KWANZA.

Ukweli uliofichwa, unaopatikana kwenye vipande vya mawe vyenye jumbe kutoka sumerians, Babylonians, Akkadians.

Ukizungumzia kuhusu watu wa kale, maisha ya kale na viumbe waliofika duniani kutoka sayari nyingine huwezi kuwasahau annunaki. Historia kutoka katika summerian culture inaeleza kwamba, Annunaki waliabudiwa na walihusika katika kuhukumu mema na mabaya, gods and goddesses waliokuja duniani kumtengeneza mtu (modern man) kutoka kwenye ulimwengu mwingine, ambao unasemekana ni sayari ya Nibiru (sumerian God & Goddesses -the Annunaki, 2016).

Annunaki walitawala maisha na mifumo ya imani ya watu wa kale waliojulikana kama Mesopotamia, lakini ambao kwa sasa wanajulikana kama Tigris-Euphrates river system. Je walikuwa Mungu? hili suala ambalo linazua mkanganyiko kwenye hii saga.

Zecharia Sitchin, muhandishi na mtafiti na mtafsiri maandishi ya kale na msomi kutoka chuo kikuu cha London, anasema hawakuwa Mungu, japo walichukuliwa na kuabudiwa kama Mungu. Baada ya kufanya tafiti nyingi za maandiko ya kale aliitimisha kwa kusema kwamba, hawakuwahi kuwa Mungu, bali viumbe wa ajabu wenye nguvu waliokuja duniani kutoka sayari ya mbali Nibiru inayopatikana kwwnye mfumo wa sayari, ambayo uikaribia dunia kila baada ya miaka 3,500 ikiwa kwenye muhimili wake.

Creation of Human Race
Kutokana na ushahidi uliopatikana kutoka kwenye maandiko ya kale, inasemekana zaidi ya mamia ya maelfu ya miaka iliyopita walikuja viumbe waliofanana na Annunaki kwenye sayari ya dunia- Enki na Enlil, ambao walikuwa watoto wa Annunaki, katika kipindi hicho Anu alikuwa bado anaishi hadi millennia karibu na kuzaliwa kwa Jesus Christ.

Viumbe hao walikuwa na ujuzu mkubwa katika genetic manipulation, hivyo kwa kutumia ujuzi huu walifanya majaribio mengi (proto-human) ya kumtengeneza binadamu wa sasa(modern man) kwa kutimia teknolojia ya human cloning. Kivipi?, ntaelezea mbeleni.

Hebu turudi kwanza kwenye biblia na historia ya kuumbwa kwa mwanadamu. Historia ya Biblia ya uumbaji inatueleza kwamba, mwanaume na mwanamke hawakuumbwa kwa wakati mmoja, bali mwanamke alitolewa kwenye ubavu wa mwanaume (Adam), Adam akiwa mtu wa kwanza kuumbwa hapa duniani kutokana na maandiko ya Biblia, Kwahiyo Adam ndiyo mwanadamu wa kwanza kutokana na maandiko matakatifu ya Biblia takatifu. Je mwanamke alitolewaje kwenye ubavu wa mwanaume? (hapa imani ndiyo inatuongoza tuliache kwanza lilivyo).

THE CREATION OF MAN
Ushahidi wa kwanza kabisa, uliotafsiriwa na sumerians unaonyesha ya kwamba mtu (binadamu wa sasa) alitengenezwa/kuumbwa na Nefilim. Ushahidi huu umezua mkanganyiko kuhusu theory of evolution na Judeo-Christian tenets ambayo imeegemea kwenye Biblia, lakini ukweli ni kwamba ujumbe uliopatikana kutoka Sumerian texts, ndiyo unaoweza kudhibitisha hizo nadharia mbili.

Ukisoma kutoka epic of creation ya sumerians, imeelezwa kwamba uwepo wa mtu, ulitokana na uwepo wa Nefilim zama hizo, ambapo matukio mbali mbali yalirekodiwa, ,mfano tukio la Enlil na Ninlil, tukio lililotukia kabla hata ya uumbaji wa mtu, wakati ambao kwenye Nippur waliishi gods tu, vile vile maandishi haya yanaelezea kuumbwa kwa dunia na maendeleo ya mimea na maisha ya wanyama, hii inaweza kudhibitisha theories za mabadiliko (evolution) za sasa.

Sumerians texts zinaeleza kwamba, wakati ambapo Nefilim alikuja duniani kwa mara ya kwanza, sanaa ya kupanda mbegu za mazao, matunda na ufugaji wa wanyama ulikuwa bado haujaanza duniani. Vile vile Biblia inasema hivyo, kuhusu kuumba mtu kwa siku 6. Kitabu cha Genesis kimegusia hatua za kwanza za mabadiliko (earlier evolution stage):

No plant of the cleared field was yet on the earth,

No herb that is planted had yet been grown,

And Man was not yet there to work the soil.

Lakini vile vile Sumerians texts zote zinaeleza kwamba Miungu ilimtengeneza mtu ili afanye kazi yao. Creation of epic imelithibitisha hilo (Nukuu zote nitaziambatanisha zilivyo kwenye vitabu bila kuzitafsiri ili nisipindishe maana kwa msomaji):

I will produce a lowly primitive,

Man shall be his name.

I will create a primitive worker ,

He will be charged with the service of the gods,

that they might have their ease.

Neno mtu(man) limetokana na lugha ya Sumerians na Akkadians, ambalo lilitokana na maneno lulu (primitive ), lulu amelu (primitive worker), an awilum (laborer).

Turudi kwenye biblia, baada ya Mungu kumuumba mwanadamu, akampa bustani ya Eden aitunze na kuitawala dunia na vyote vilivyomo, lakini Adam na Eve wakamkosea Mungu kwa kula tunda la mti wa ufahamu. Mungu akasema tazama, mtu amekuwa mmoja wetu, kufahamu mema na maovu. Je huyo Mungu alikuwa anamwambia nani?, na Mungu anayezungumziwa hapa katika Sumerians ni Elohim (Annunaki).

Agano la kale limeweka wazi ya kwamba mtu hakuwa Mungu wala hakutoka mbinguni. Mtu wa kwanza aliitwa Adam kwa sababu aliumbwa kwa "adama" ambayo ina maana ya udongo wa dunia (mtu akifa tunasema ametoka mavumbini, amerudi mavumbini).

Adam aliumbwa katika picha na ufanano wa Muumba (Mungu), kuumbwa kwa ufanano huo, hakuachi wasiwasi wowote ya kwamba Mtu alifanana na Mungu kimwili, kimuonekano wa nje na ndani. Je mtu angewezaje kufanana na muumba wake? Mtu alitengenezwaje? (Majibu utayapata mbeleni).

Mnamo mwaka 1859 Charles Darwin alichapisha utafiti wake kuhusu evolution "On the Origin of Species by Means of Natural Selection, or the Preservation of Favoured Races in the Struggle for Life". Darwin kutokana na utafiti wake huo, alihitimisha kwa kusema kwamba, viumbe hai wote akiwemo mwanadamu ni matokeo ya mabadiliko(evolution by natural selection). Mwanzoni kanisa lilikuja juu kwa kumpinga lakini badae kadri wanasayansi na watafiti walivyozidi kutoa machapisho yao, kanisa likakubaliana.

Lakini je tumetokana na apes, kama ni hivyo mbona wa sasa hawabadiliki. Evolution kwa ujumla inaweza kuelezea matukio yaliyosababisha mabadiliko ya maisha na aina mbali mbali za maisha zilizokuwepo duniani, kuanzia kwenye kuumbwa kwa mtu, lakini evolution haiwezi kuelezea kuhusu uwepo wa binadamu wa sasa (modern man/Homo sapiens) na haina udhibitisho wowote wa kuonyesha jinsi mabadiliko ya ghafla kutoka Homo erectus kwenda Homo sapiens yalivyotokea.

Hominid ya genus Homo ni matokea ya evolution, lakini Homo sapiens ni matokea ya tukio la mabadiliko na mapinduzi ya haraka sana. Homo sapiens(binadamu wa sasa), ilitokea miaka 300,000 iliyopita, muda ambao ni wa karibu sana.

Watafiti na wanasayansi hawana maelezo ya nini kilitokea, kupelekea mabadiliko ya ghafla hivyo na kutokea kwa binadamu wa sasa, lakini jumbe kutoka sumerians na Babylonian zimeelezea. Agano la kale pia limeelezea.

Homo sapiens-modern man-aliletwa na miungu wa kale (ancient gods).

Aliletwa kivipi? na wapi?. Endelea kufuatilia hapa hapa.

N.B. Andiko hili linaweza lisiishe karibuni kwa sababu nataka niweke kila aina ya ushahidi ili kudhibitisha ukweli huu.

View attachment 2099862
kitabu cha Daniel Sura ya 1-6 kina model yote ya yaliyopita, yaliyopo na yajayo.

Nabuchadnezda, mfalme na Mwamba mwenyewe wa Babeli pamoja na wachawi, wasoma nyota, wanajimu na wenye hekima aliowategemea alikiri mara kadhaa kwamba yupo Mungu muumba wa mbingu na nchi na vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.

Ukipata wasaa pitia andiko hilo ujazie maarifa ya yaliyopita, yaliyopo na yajayo. Utafurahi!
 
Mkuu bado nina maswali kadhaa ila kwa kuheshimu uliyoyasema kwamba hutokuwa na majibu basi nafanya kama ulivyoshauri nimuachie mtoa mada.

Ila mimi siulizi kwa kubisha bali nauliza kwa kujifunza
Pamoja Mkuu, acha tuendelee kufatilia mada hadi mwisho, inawezekana mleta mada akajibu vizuri maswali yako kwakuwa alijiandaa kabla
 
Wewe ndo una bla bla ubongoni. Huu ulimwengu uliumbwa na baba yako?

Hujui hata nguvu iliyokuamsha asubuhi ya leo chanzo chake ila unakuja na bla bla za kila kitu kina chanzo, MUNGU hayupo bla bla bla
[emoji16][emoji16][emoji16] kwa hiyo ulimwengu umeumbwa na Mungu nae mungu kaumbwa na Nani !? Aliye muumba mungu nae kaumbwa na Nani !? Acha ujinga Mungu Ni mythology Hakuna kitu Kama hicho
 
Ukizungumzia kuhusu watu wa kale, maisha ya kale na viumbe waliofika duniani kutoka sayari nyingine huwezi kuwasahau annunaki. Historia kutoka katika summerian culture inaeleza kwamba, Annunaki waliabudiwa na walihusika katika kuhukumu mema na mabaya, gods and goddesses waliokuja duniani kumtengeneza mtu (modern man) kutoka kwenye ulimwengu mwingine, ambao unasemekana ni sayari ya Nibiru (sumerian God & Goddesses -the Annunaki, 2016).
Naomba unithibitisbie ukweli wa haya maneno.

Kisha naomba unijibu maswali yafuatayo :

1. Waliabudiwa na nani ?

2. Anunaki ni jinsi gani ? Je ni viumbe au nini hasa ?

3. Ni nani wa kwanza kuelezea habari za Anunaki na huyo wa kwanza habari hizo alizipata wapi ?
Annunaki walitawala maisha na mifumo ya imani ya watu wa kale waliojulikana kama Mesopotamia, lakini ambao kwa sasa wanajulikana kama Tigris-Euphrates river system. Je walikuwa Mungu? hili suala ambalo linazua mkanganyiko kwenye hii saga.
4. Sasa ni kina hasa ? Kwa mujibu wa maelezo yako inaonekana walikuwa wengi. Kama ni wengi ulikuwaje muafaka wao mpaka kufikia kumuimba mwanadamu kama unavyo dai...?

Zecharia Sitchin, muhandishi na mtafiti na mtafsiri maandishi ya kale na msomi kutoka chuo kikuu cha London, anasema hawakuwa Mungu, japo walichukuliwa na kuabudiwa kama Mungu. Baada ya kufanya tafiti nyingi za maandiko ya kale aliitimisha kwa kusema kwamba, hawakuwahi kuwa Mungu, bali viumbe wa ajabu wenye nguvu waliokuja duniani kutoka sayari ya mbali Nibiru inayopatikana kwwnye mfumo wa sayari, ambayo uikaribia dunia kila baada ya miaka 3,500 ikiwa kwenye muhimili wake.
5. Imakuwaje maneno haya yanaitwa ya kitafiti lakini hayana ushahidi wowote kuyathibitisha ?

6. Walijuaje kama hao Anunaki walitokea katika Sayari hiyo ?

7. Hii idadi ya miaka 3,500 nayo wameijuaje ?
Creation of Human Race
Kutokana na ushahidi uliopatikana kutoka kwenye maandiko ya kale, inasemekana zaidi ya mamia ya maelfu ya miaka iliyopita walikuja viumbe waliofanana na Annunaki kwenye sayari ya dunia- Enki na Enlil, ambao walikuwa watoto wa Annunaki, katika kipindi hicho Anu alikuwa bado anaishi hadi millennia karibu na kuzaliwa kwa Jesus Christ.
8. Huo ushahidi ulio patikana uko wapi na sisi tuushuhudie ?

9. Hadi milenia hiyo huyo Anu alikuwa anafanya kazi gani ? Je nia kazi ya uumbaji au ?
Viumbe hao walikuwa na ujuzu mkubwa katika genetic manipulation, hivyo kwa kutumia ujuzi huu walifanya majaribio mengi (proto-human) ya kumtengeneza binadamu wa sasa(modern man) kwa kutimia teknolojia ya human cloning. Kivipi?, ntaelezea mbeleni.
10. Unaweza kuniambia mtunzi wa hii habari ni nani ? Yaani hizi habari anazisimulia mtu aliyewaona hawa viumbe au nani msimuliaji wa kwanza juu ya habari hizi ?

Narudi kuendelea hapa nilipo ishia....
 
Back
Top Bottom