Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Mwamba umeongea kitu kikubwa sana...ndomana mi huwa nahis kama hawa anunaki../Miungu..kila m1 ana project yake..perhaps sis weus tuna mungu wetu..yupo alietengeza wanyama....

Yaan kama ilivyo sasa ulimwengun hapa..kuna sie tuko vzur kwenye kutengeneza vitu vya asili...kunaa wachina wanakuja na product zao za kichina..kuna wazungu wao wanatengeneza mchines tu..etc..so naamin nahis..perhaps..yupo mtaalam yeye ni kutengeneza mimea tu..ndo sekta yake .perhaps. yupo mwingne yeye ni mtenngeneza maj. N all water bodies etc....

Uskute yupo anunaki/mungu yeye watu wake ni jamii ya wachina. Japan..korea etc[emoji3]

Na ndo ile tafsi ya ndimi bwana mungu wako usiabudu miungu mingne... Inamaana miungu mingne ipo[emoji3]

Sasa hapo mlokole ukimwambia nipe tafsir ya miungu mingne..ataanza bla blaa kibao..mara miungu mingne ni tamaa..ulevi.uzinz.[emoji3]

Hawa jamaa bana...sasa mtu kama masanja au shila na akili ndogo vile atakuchambulia nn uelewe..hahahah
 
Uko sahihi kwenye mengi uliyosema Mkuu, nashindwa ata kuongezea nyama zaidi katika comment Yako, unafikilia sawa sawa
 
Kwamba atakuja kukihukumu kiumbe alichokiumba mwenyew akichome kwenye ziwa la moto forever and ever kiangamie kisa tu...kilizini..kiliiba. ..kilisema uongo...[emoji2]....

Mkuu hata wanadam sis na udhaifu wetu wote hatutesani hvyo millele. ..

Huon kama hyo adhab ni kal sana. Na inamfanya Awe katili sana??..at the same time anasema anatupenda sana had kutufia msalaban?..huon haya maandiko ni ya uongo mkuu..wanamsingizia mungu ukatili ambao haupo?in your time..think and rethink again..wew uzae mtoto wako unaempenda. Et kisa anakukosea bas siku moja unampa adhab ya kuteseka milele tena unamchoma kwenye tanuru la moto ukiskiliza anavyopiga kelele..maisha yake yote. Hiv inaaingia akilin hii mkuu...samahan kama nmekukosea lakin.
 
Mkuu..uko deep sana aisee..kuna documentary flan hiv niliwai kuwa nayo enz hzo inaelezea story hii ya yesu kuwa ilitoholewa kutoka kwenye ancient religion...yaan kuna story zaid ya 50..same same..alizaliwa na bikira..akafa ..akazaliwa ..atakuja tena...zipo miaka laki na malak before islam n christianity.....kwel nmekubal mzee uko deep..aisee..
 
Broo uko deep sana.naomba niwe rafik yako na uni tag kwenye nyuz zote critical kama hiz zenye knowledge..kuna kipind nilikua nasoma sana na kufatilia sana haya mambo ila kuna muda nikaacha manaa kila nikikutana na watu wa home wakiongelea mambo yao ya religion mim nikiwapa nondo wnaasema dogo umeanza kudata..acha hayo mambo unayofatilia[emoji3]
 
Hakuna uhuru usio na mipaka Napoleone.You can't endulge in evil and go away with it,hasa kwa vile evil is not tolerated in Heavan.Kama duniani sio hivyo,Mbinguni ni zaidi.Anyway tusiandikie mate,muda utaongea.

Wewe kinacho-kusumbua ni kiburi cha uzima,lakini naomba ukumbuke kwamba uzima ulio nao umepewa na huyo huyo Mungu unayemdhihaki,na muda utafika ambapo atauchukua uhai wake,and you will answer for your rebellion.
 
Kama intelligence iliyotumika kumtengeneza mwanadamu..kuanzia ..cell yenye nucleus ina dna na rna had kuja kwenye tissue then organ had body kamil lenye mifumo kamil had umeme ndan ya mwili very organised..usafirishaj wa taarifa muhimu kupita neurons. Unahis atashindwa tengeneza mifumo michache na rahis kama ya nzi
 
Unahis Area 54 US wanafanya tafit gan huko..wenzetu wameanza tafit haya kitambo akat sis huku tunangonoeka tu
 
Hahahahahahahahahhahahahahahahahaahah...hatar snaaaa..unaambiwa ukigonga tu dem ambae sio wako...utachomwa moto milele.....aisee..alieandika haya mambo sjui alikua anawalenga audience gan
 
Na ukifiria **** galaxies mamilion huko na kila moja ina mfumo wake..kama galaxy yetu milky way ilivyo. Naamin hata hzo galaxy zingne zna sayar pia...manaa tunaambiwa kwamba hili jua letu ambalo ndo centre ya galaxy yetu ya milky way ni moja ya nyota ndogo sana compared na manyota mengne yaliyoko huko kwenye ma galaaxy mengne. ..sasa imagine sayar zilizoko huko halaf kadhaa ziwe habitable..sjui ztakua na viumbe gan..ndomana mi naamin we are not alone kwenye hii universe
 
kweli Mkuu kama Dunia tu Ina billion of spicies kuanzia nchi kavu Huko baharini ndio usiseme mpaka wengine hatuwajui sembuse kwenye trillion of galaxies?
Haiwezekani!
 
Mkuu..kama umetuelewa vzur ni kwamba sis tunasema hiv..sio kwamba Mungu hayupo..ila tunachojadili hapa ni ..his reality..je Mungu ni nan..ana character gan..je ukiungaanisha dots hiz na zile u anapata ukwel upi kuhusu huyo Mungu..je asili yake ni ipi...ndo tunalojadili hapa..labda unaambie ni dhambi hata kujadili ?..manaa haya maandiko tumeletewa lakin hatujapewa uhuru wa kuyatafakar..yaan tumeyameza kama yalivyo na tumeanza kuyaish...what if hayakua ya kwel..?..sbaab..ukiangalia dunian tuko karibia 8bil...wakristo wanaomwamin yesu ni wachache sana lets say ni 1 bil...sasa tuseme hao 7bil wengne ambao hawaamin in Crist..wako wrong?...na ukienda kwenye din zao sio kwamba nao hawama miujiza..ipo ming tu ma stor zipo nying kama zilivyo kwetu sis wakristo....sasa kujadili kutaka kuujua ukwel abt hayo mambo isiwe ni kosa na kuonekana kama tunakosea .hapana..
 
Na pia tujiulize..inawezekana vip yasiwepo ma kasri yakustaajabisha ya hao kina farao kama mahal pao pa kuish..yaan kama walikua na tech ya kujenga kabur za aina hyo ya pyramid halaf washindwe jenga makumba yao yakuish na familia zao imara yakubak had leo..lakin ukienda hukut hayo makaz yao..sanasana utakuta yako eroded na weather tu..ila pyramids ziko imara had leo...plus hlo swala la kuwepo pia pande zingne za dunia....inabid tujiulize snaa ...haiwezekan yakawa makabur yale..ni matango por tunalishwa
 
Napoleone unachopaswa kujua ni kwamba huwezi kumuelewa Mungu kwa kutumia hako kaakili ambako afterall ni Yeye kakupa.He is an extremely complex God na akili zake ziko juu mno.To appreciate his complexity kasema hivi:mbingu ni kiti chake na Dunia ni sehemu ya kuweka miguu yake,utamuelewaje Mungu kama huyo?!Na Napoleone,utamuelewaje Mungu aliyeumba the Universe and all the forces which supports it and all that is in it?Halafu kasemaa, akili zake ziko juu mno!Kwa nini usiridhike na kujua tu kwamba yupo?
 
Lakin kwan kumjua ni vibaya chief...?au kama ni dhambi tuambiane .
 
Huna hoja Mkuu ispokuwa maneno yako yamejaa hofu tu as if Kuna mtu alikufa na akarudi akakwambia ni kweli alikutana na mateso ya moto huko jehanam

Wewe hizi mada hazikufai ungeachana nazo tu ndugu yangu, maana hufikilii tena na Kwa Akili ila unaendeshwa na hisia tu, una uhakika Gani kwamba hizo akili za Napoleone amepewa na Mungu unaemfklia wewe? Unaposema akili za God ziko juu mno, first ni God yupi unamuongelea na second umetumia kipimo Gani kujua hilo?

Kama akili ya mtu ambae ana Guts za kuhoji what's behind human creation unaita"Kaakili" je wewe unaeamini Mungu atachoma moto viumbe aliowaumba ye mwenyewe Je utakuwa una Kaakili negative ngapi Mkuu? Awachome moto alafu ye apate faida Gani?

Utanisamee bro, To be honest hii issue ni kubwa sana Kwa uwezo wako wa kufikiri Mkuu,ni kheri ukaipotezea tu maana hutopungukiwa chochote na wapuuze wanaokuita huku maana huna unachochangia kinachofikirisha ili mtu aseme yes mshkaji ana hoja, wenzako wanajadili Kwa facts wewe unaleta hadithi za Imani tu

Mngeanzisha Uzi wenu mkaanza kujadiliana ni maswali gani mtaulizwa kabla ya kuchomwa Moto, ni namna gani unaweza kumshawishi Mungu akakuelewa ata kama umekosea majibu, ni namna gani unaweza kutoroka jehanam,ni namna gani unaweza kupata free pass ya kwenda kumsalimia Mtu alie Peponi, ni nyimbo zipi zitafaa sana kupigwa Peponi ili mzuka wa kusifu usikate nk, huko nadhani ungechangia vingi sana kuliko hapa
 
Kwa hiyo wewe kusema kwamba binadamu kaumbwa na Annunaki,according to Artificial Intelligence ndio umefikiri!Yaani umeshindwa kabisa ku-visualize kwamba a man so magnificently created cannot be the work of simple created beings like the Annunaki.Mkuu the organization of all processes in all ecosystems and their inter-relationships so superbly organized cannot surely be the work of simple "created" beings like the Annunaki!And the Universe?Surely iwe the work of the so called Annunaki,created beings according to Artificial Intelligence?Mkuu Anigrain,acheni ujinga,yote niliyo point out hapo juu na mengine mengi shows clearly that there is a super intelligent organizer,not the Annunaki.

Napenda pia niwafahamishe kwamba hii story ya kwamba the Annunaki ndio walio umba binadamu ninyi sio wa kwanza kuiona.We know it,ila tuliichukulia kwamba ni zile zile stories za morons wa Shetani kujaribu kupotosha binadamu,sasa wenzetu mmeishupalia kweli kweli.Anigrain this story comes from the Devil😈,sasa kama wewe ni mtumishi wake sawa,lakini ujue kwamba unamkosea na kumuudhi Mungu.
 
Mbinu kubwa ya shetani ni kuupamba uongo uonekane kweli na kuupotosha ukweli kuwa uongo.
 
Hiki ndicho watu wanatafiti na kujadilk, huyo Mungu ni wa namna gani, ana mwili kama sisi au roho tu kama mafundisho ya dini yanavyosema. Kingine ukitaka kujua unyeti na usiri wa hili jambo fuatilia na usome vitabu vilivyo ondolewa kwenye bible mfano kitabu cha Enoch na kwa nini waliviondoa , mada ipo humu JF ishajadiliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…