Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Aisee Mathanzua Unamwamini Huyo El/YHW/Elohim/Jehovah/Jesus halafu unamtenganisha na Accient gods wa Summeria una akili kweli?
Hivi unajua Huyo El ni Moja ya wale Miungu wa ANNUNAK aliowaabudu Abraham kutoka Mesopotamia?
Kabla ya Abraham YHW aliwahi julikana popote ulivyosoma Kwenye Bible?
Hujiulizi kwanini huyo YHW/JEHOVAV/EL
Alijitambulisha kwa mara ya kwanza Kwa Ibrahimu pale Kaanan ya Kwamba Ndio Mungu mkuu muumbaji na akaingia agano nae?
Baada ya hapo kwanini huyo Mungu YHW alianza kudeal na familia Moja tu ya Ibrahim na uzao wake pekee huoni alikua ni Mungu wa ukoo Mmoja tu Hapa Duniani?

Miaka elfu nyingi alideal na familia Moja tu ya Ibrahim baasi mpaka pale walipomsnitch Ndio akajifanya anaanza deal na mataifa mengine huoni huyo Mungu wao ni mbaguzi na jinsi Gani alivyo kigeu geu?
Soma Kwa kuelewa Mathanzua hiki nikuambiacho Leo
Huyo Ibrahimu na mwanaye Isaka aliingia mkataba na Annunak El akiwa kama Merchizedec mtawala
wa Salem ya Kwamba uzao wake Wote na watakua watu special wa kuwakusanyia Dhahabu pale middle east na Ndio maana utapata story za kutembelewa na miungu mara Kwa mara sababu iliyofanya jamaa kukubalika na ANNUNAK ni Kwamba alikua na ujuzi mkubwa Sana wa kuzichimba na Ndio maana alikua tajiri mkubwa Sana na alimiliki nguvu Kazi kubwa Hata kile kisa Cha kumtoa kafara mwanae lengo Ilikua kuonesha uaminifu Kwa El ya Kwamba atafanya Kila kitu Kwa uaminifu na hatavunja makubaliano Kwa kuingia mkataba na Annunak wengine
Na El akampiga mkwara Kwamba Hilo litakua agano lake la milele Kwa uzao wake na atawafundisha watoto zake Juu ya agano Hilo kizazi na kizazi,
Annunak El alijitanabaisha ni Mungu wa Ibrahimu na ana hasira na wivu endapo atavunja makubaliano na atamwangamiza maana ana ujuzi na nguvu kama zote,

Huo Ndio ukawa mwanzo wa Abraham religion Kwa Uzao wake Ili wawe wanaabudu Mungu
El/YHW/JEHOVAH/
Kila siku Ili wasije sahau agano lao na Ndipo kizazi Cha Israelites hawakuacha kumwomba mwamba EL daima wakiogopa Sana kumsahau maana watapata taabu Sana,
Haya mambo yalianzia mbali Sana mpaka Hapa yalipofikia!

Mathanzua najua utanipinga Sana pamoja na wafia dini wengine ila huu Ndio ukweli mnaabudu msichokijua!
Mwamba umeongea kitu kikubwa sana...ndomana mi huwa nahis kama hawa anunaki../Miungu..kila m1 ana project yake..perhaps sis weus tuna mungu wetu..yupo alietengeza wanyama....

Yaan kama ilivyo sasa ulimwengun hapa..kuna sie tuko vzur kwenye kutengeneza vitu vya asili...kunaa wachina wanakuja na product zao za kichina..kuna wazungu wao wanatengeneza mchines tu..etc..so naamin nahis..perhaps..yupo mtaalam yeye ni kutengeneza mimea tu..ndo sekta yake .perhaps. yupo mwingne yeye ni mtenngeneza maj. N all water bodies etc....

Uskute yupo anunaki/mungu yeye watu wake ni jamii ya wachina. Japan..korea etc[emoji3]

Na ndo ile tafsi ya ndimi bwana mungu wako usiabudu miungu mingne... Inamaana miungu mingne ipo[emoji3]

Sasa hapo mlokole ukimwambia nipe tafsir ya miungu mingne..ataanza bla blaa kibao..mara miungu mingne ni tamaa..ulevi.uzinz.[emoji3]

Hawa jamaa bana...sasa mtu kama masanja au shila na akili ndogo vile atakuchambulia nn uelewe..hahahah
 
Pia..nahis kila kilichomo dunian kina sababu na maana..either utegemez or vingnevyo..so those intelligent beings waliofanya yote haya .hata kutengeneza earth and all these bodies in the universe naamin walitengeneza pia hata hvyo vitu natural occuring kama elements etc...sabab walijua end product ya chochote wanachofanya ni for the good ya ku drive life huku ulimwenguni....we actualy dont know exactly who created us or all these we see n dont see...lakin mim binafs naamin alietengeneza haya yote must be veeery intelligent na pia naamin sio kiumbe simple minded kama tunavyoaminishwa kwamba ..he judges when you commit sin n bla bla..naamin huyu creator is beyond that...ndomana hata huwa nawambia watu..the tru creator of all this hawez kuwa na muda na et kunichunguza nazini..sjui naiba n bla bla...hta mwanasayans wa kawaida tu yuko busy na hana muda wa ujinga..[emoji1]

Na pia naamin creation hyo ya yote haya haikua ni taaa...imetokea..no no no.naamin ilikua ni process of making things n ilichukua bilion or milions of yrs to accomplish..na naamin ilikua ni system of sio creator m1 pekee bali ni mfumo na taasisi kubwa of intelligent beings...so..perhaps sabab hatujui jina lake hao creator n all that..mayb ndomana wanadam sie tukaita" Mungu".."God"...so wanaotafuta zaid details ndo wakaja sasa kuchambua ni kina nan hao waliocreat ..so wengne wanasema ni anunaki etc wengn watasema ni yahwea..so we are all searching ...finding out who is who
Uko sahihi kwenye mengi uliyosema Mkuu, nashindwa ata kuongezea nyama zaidi katika comment Yako, unafikilia sawa sawa
 
Naona hatutaelewana,tusipotezeane muda.Bilieve in what you want to believe,na mimi niamini ninachotaka kuamini.Bwana Yesu atakapo kuja mara ya pili kulichukua Kanisa lake,and His second coming is imminent by the way,Yeye ndiye atakayekuwa mwamuzi.Naomba tuukomboe wakati.
Kwamba atakuja kukihukumu kiumbe alichokiumba mwenyew akichome kwenye ziwa la moto forever and ever kiangamie kisa tu...kilizini..kiliiba. ..kilisema uongo...[emoji2]....

Mkuu hata wanadam sis na udhaifu wetu wote hatutesani hvyo millele. ..

Huon kama hyo adhab ni kal sana. Na inamfanya Awe katili sana??..at the same time anasema anatupenda sana had kutufia msalaban?..huon haya maandiko ni ya uongo mkuu..wanamsingizia mungu ukatili ambao haupo?in your time..think and rethink again..wew uzae mtoto wako unaempenda. Et kisa anakukosea bas siku moja unampa adhab ya kuteseka milele tena unamchoma kwenye tanuru la moto ukiskiliza anavyopiga kelele..maisha yake yote. Hiv inaaingia akilin hii mkuu...samahan kama nmekukosea lakin.
 
ndugu Mathanzua ujue unanifurahisha Sana mkuu hivi kweli unaamini Kuna kiumbe anaitwa Yesu na alizaliwa Bethlehem of Judea na Alikua Masihi na alizaliwa bila baba,mamaye ni Mariam aliyepata mimba Kwa uweza wa roho mtakatifu [emoji16]
Seriously hicho kisa kitokee enzi za utawala wa Warumi na isiwe documented na wakati Warumi ni mabingwa wa kuhifadhi nyaraka,
Hizo habari za Yesu kristo hazijawahi kuandikwa popote katika nyaraka za maktaba ya kumbukumbu ya utawala wa Warumi na ni kitu haiwezekani ila zipo kumbukumbu za mtu Mmoja mpigania uhuru aliyepinga utawala wa warumi aliitwa Yashua Nazarene aliyeishi huko Galilee na huyo alikamatwa na warumi akauawa Kwa kukongomekwa msalabani Kama sheria za warumi zilivyodeal na waliowapinga utawala wao ila Huyo mnaedai Alikua Masihi sijui mwana wa Mungu alikufa na akafufuka na atarudi huyo hayupo na hizo story walioandika bible wale jamaa kina Constantine walizikopi hizo Hadith kutoka Kwa Wamisri wa kale huko
Aliyezaliwa Kwa uweza wa roho mtakatifu ni Horus kutoka Kwa mamaye Osiris aliyekua bikra na akapata ujauzito Kwa uweza wa roho mtakatifu na hizo hekaya zipo long time before Jesus Christ of Nazareth wa mchongo,
Pia hizo Hadith utazipata Kwa wagiriki wakimzungumzia
Zeus ambaye alizaliwa na mama bikra
Pia utazikita India Kwa
Rama nae alizaliwa na mama bikra vile vile na Wote walikua Masihi na siku ya Mwisho watarudi [emoji16]
Mzee Mathanzua Hauna Kwa kuchomokea nenda kasome kuhusu
Jesus Christ
Zeus
Horus
Rama
Vishnu
Utaona story zao zinafanana yaani copy and paste Tena nyingine ni kongwe Sana ya Jesus ni ya Mwisho Hapo juzi juzi tu!
Ndio utajua hujui
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu..uko deep sana aisee..kuna documentary flan hiv niliwai kuwa nayo enz hzo inaelezea story hii ya yesu kuwa ilitoholewa kutoka kwenye ancient religion...yaan kuna story zaid ya 50..same same..alizaliwa na bikira..akafa ..akazaliwa ..atakuja tena...zipo miaka laki na malak before islam n christianity.....kwel nmekubal mzee uko deep..aisee..
 
mkuu ANNUNAKI wao hawakuelezea habari za Mungu ila Kazi walizokua wanazipiga ziliwatambulisha wao kama miungu mbele za watu maana raia kipindi hicho waliwaona jamaa ni kama Mungu wao Kwa zile Kazi zao,walipomaliza mission na kusepa watu wakaanza waabudu kama Miungu na kuwatengenezea nadharia nyingi na hiyo Ilikua Kwa Kila jamii walipokuwepo unajua nadharia ya kuabudu Mungu Jua kwenye jamii nyingi za kale ni Nini?
Waliamini wale ni miungu kutoka kwenye jua maana waliondoka na spaceships kwenda juu kwenye Sayari Zao,
Jamii kama Aztecs waliwatolea kafara mpaka za watu kule Chichen Itza wakiamini wanawarudisha miungu waje wachukue dhahabu kwenye madhabahu Ili wawaachie baraka nenda kacheki movie ya Mel Gibson ya Apocalypto utaelewa Nini namaaniisha Hata ule ujuzi wa Pyramid wanazotolea kafara ni Kazi za ANNUNAKI na Ndio maana walizigeuza temple za kuabudia miungu!
Broo uko deep sana.naomba niwe rafik yako na uni tag kwenye nyuz zote critical kama hiz zenye knowledge..kuna kipind nilikua nasoma sana na kufatilia sana haya mambo ila kuna muda nikaacha manaa kila nikikutana na watu wa home wakiongelea mambo yao ya religion mim nikiwapa nondo wnaasema dogo umeanza kudata..acha hayo mambo unayofatilia[emoji3]
 
Kwamba atakuja kukihukumu kiumbe alichokiumba mwenyew akichome kwenye ziwa la moto forever and ever kiangamie kisa tu...kilizini..kiliiba. ..kilisema uongo...[emoji2]....

Mkuu hata wanadam sis na udhaifu wetu wote hatutesani hvyo millele. ..

Huon kama hyo adhab ni kal sana. Na inamfanya Awe katili sana??..at the same time anasema anatupenda sana had kutufia msalaban?..huon haya maandiko ni ya uongo mkuu..wanamsingizia mungu ukatili ambao haupo?in your time..think and rethink again..wew uzae mtoto wako unaempenda. Et kisa anakukosea bas siku moja unampa adhab ya kuteseka milele tena unamchoma kwenye tanuru la moto ukiskiliza anavyopiga kelele..maisha yake yote. Hiv inaaingia akilin hii mkuu...samahan kama nmekukosea lakin.
Hakuna uhuru usio na mipaka Napoleone.You can't endulge in evil and go away with it,hasa kwa vile evil is not tolerated in Heavan.Kama duniani sio hivyo,Mbinguni ni zaidi.Anyway tusiandikie mate,muda utaongea.

Wewe kinacho-kusumbua ni kiburi cha uzima,lakini naomba ukumbuke kwamba uzima ulio nao umepewa na huyo huyo Mungu unayemdhihaki,na muda utafika ambapo atauchukua uhai wake,and you will answer for your rebellion.
 
swal lang dogo.
je viumbe wengime samak,panz chura nao waliumbwa na nani?
mifumo yao madhubut ya uumbwaji wao
mfano Nzi(musca domestica) ni sayans ipi ambayo imeweza kuumba bawa lake tu acha anayoyasababisha mfano kuleta ajira .kwa kusababisha kuwa na madaktat bingwa wa cholera gonjwa allisababishalo.yeye kwa migui yake
bawa lake moja lina dawa moja ugonjwa mpaka wa.leo sayans haijakasema gonjwa lipi dawa lipi.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama intelligence iliyotumika kumtengeneza mwanadamu..kuanzia ..cell yenye nucleus ina dna na rna had kuja kwenye tissue then organ had body kamil lenye mifumo kamil had umeme ndan ya mwili very organised..usafirishaj wa taarifa muhimu kupita neurons. Unahis atashindwa tengeneza mifumo michache na rahis kama ya nzi
 
Sipendagi ubishi lakini kwa hili takubishia bure tu![emoji23]
Possibility za kuwepo kwa dhahabu kwenye Galaxy yetu haifit kwenye dunia tu no and never!. Angalau hata ungeniambia quality aidha kiduchu ningekuelewa ila yote kwa yote bado hizi ni nadharia tu bado hata hatujatoka nje ya mfumo wa jua letu!.. nafikiri tuache nadharia sasa tuingie kwenye tafiti.
Unahis Area 54 US wanafanya tafit gan huko..wenzetu wameanza tafit haya kitambo akat sis huku tunangonoeka tu
 
huyo ndie Mungu wa Abraham na Israelites ana hasira Sana atatuchoma moto wote Kwa kushindwa kumtii yeye,
Mungu mbaguzi aliyejichagulia kakikundi ka familia Moja na kuita wabarikiwa huku akiacha maelfu ya makabila yakiangamia Kwa kushindwa kumjua, na Hapo Hapo aliwafungia vioo wasimjue Wala kumshobokea watakaowapinga Israelites wauawe kuanzia wanaume, wanawake na watoto zao
Huyo Huyo ndie Leo anaabudiwa na wakristo na Waislam wa buza Kwa mpalange na wamatumbi kua ni Mungu mkuu muumbaji,

Waafrika akili tulizizika mapangoni Aiseee!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahahahahahahhahahahahahahahaahah...hatar snaaaa..unaambiwa ukigonga tu dem ambae sio wako...utachomwa moto milele.....aisee..alieandika haya mambo sjui alikua anawalenga audience gan
 
mkuu Hawa viumbe waliikuta Dunia ikiwa na miaka billions nyingi tu Toka formation ya jua letu na uhai kwenye Sayari ya Dunia upo automatically sababu tupo ukanda wa habitable zone Planetary,
Hii Habitable zone ipo kwenye Kila Galaxies na Sayari inayopatika Kwenye ukanda Huo lazima isapoti uhai wa viumbe mpaka Leo wanasayansi wamagundua Sayari Moja inaitwa Kepler 452-B hiyo Ina sifa kama za Dunia ila ipo mbali mno itatumia 4 light years kuifikia
Kwahiyo angalau hiyo Ndio nadharia yenye mashiko kwenye uhai wa Sayari yetu!
Na ukifiria **** galaxies mamilion huko na kila moja ina mfumo wake..kama galaxy yetu milky way ilivyo. Naamin hata hzo galaxy zingne zna sayar pia...manaa tunaambiwa kwamba hili jua letu ambalo ndo centre ya galaxy yetu ya milky way ni moja ya nyota ndogo sana compared na manyota mengne yaliyoko huko kwenye ma galaaxy mengne. ..sasa imagine sayar zilizoko huko halaf kadhaa ziwe habitable..sjui ztakua na viumbe gan..ndomana mi naamin we are not alone kwenye hii universe
 
kweli Mkuu kama Dunia tu Ina billion of spicies kuanzia nchi kavu Huko baharini ndio usiseme mpaka wengine hatuwajui sembuse kwenye trillion of galaxies?
Haiwezekani!
 
Hakuna uhuru usio na mipaka Napoleone.Anyway tusiandikie mate,muda utaongea.

Wewe kinacho-kusumbua ni kiburi cha uzima,lakini naomba ukumbuke kwamba uzima ulio nao umepewa na huyo huyo Mungu unayemdhihaki,na muda utafika ambapo atauchukua uhai wake,and you will answer for your rebellion.
Mkuu..kama umetuelewa vzur ni kwamba sis tunasema hiv..sio kwamba Mungu hayupo..ila tunachojadili hapa ni ..his reality..je Mungu ni nan..ana character gan..je ukiungaanisha dots hiz na zile u anapata ukwel upi kuhusu huyo Mungu..je asili yake ni ipi...ndo tunalojadili hapa..labda unaambie ni dhambi hata kujadili ?..manaa haya maandiko tumeletewa lakin hatujapewa uhuru wa kuyatafakar..yaan tumeyameza kama yalivyo na tumeanza kuyaish...what if hayakua ya kwel..?..sbaab..ukiangalia dunian tuko karibia 8bil...wakristo wanaomwamin yesu ni wachache sana lets say ni 1 bil...sasa tuseme hao 7bil wengne ambao hawaamin in Crist..wako wrong?...na ukienda kwenye din zao sio kwamba nao hawama miujiza..ipo ming tu ma stor zipo nying kama zilivyo kwetu sis wakristo....sasa kujadili kutaka kuujua ukwel abt hayo mambo isiwe ni kosa na kuonekana kama tunakosea .hapana..
 
Hongera Mkuu Kwa kufika huko, ila kiuhalisia yale madubwasha ni makubwa sana, haiingii akilini kuwa yalijengwa Kwa main purpose ya kuhifazia pharaohs tu peke yake, hebu we uliefika Kwa jinsi ulivojionea na Kwa Akili ya kawaida ya teknolojia ya zamani unahisi ingewachukua miaka mingapi ili kujenga pyramid 1 ili lije kutumika kama kaburi?

Maana tukisema main purpose ilikuwa yatumike kama makaburi inawezekana huyo pharaoh alie madarakani akazaliwa na hadi akafa na asije kulitumia kaburi lake maana litakuwa bado halijakamilika na linaendelea na ujenzi

ila nachoamini pharaoh wamekuja kuyatumia kama makaburi Yao baada ya kuyakuta tu yana exist na watu hawajui Yana kazi Gani na ataka kama walikuwa wanajua yalikuwa na kazi gani basi wakajua hayana kazi tena, Sasa Kwa uzuri wa hizo pyramid na uspecial wake pharaoh wakaamua kuongezea Thamani maiti zao Kwa kuzikwa mle ndani

ila ukweli ni kwamba Yale madubwana ni makubwa sana kiasi kwamba watafiti hawajui ata yanaishia wapi na yanaelekea wapi, ila watalii ndio wanaishia kwenye maeneo ambayo yanafikika kirahisi then zoezi la utalii linaishia hapo

Na Kumbuka pyramid hazipo Egypt pake yake yapo hadi huko America kusini na huko kulikuwa hakuna ma pharaoh, je na huko yalikuwa yanatumika kama makaburi? Maana huko hakuna mummies/mabaki ya watu ambao unaweza kusema hapa lilikuwa kaburi
Na pia tujiulize..inawezekana vip yasiwepo ma kasri yakustaajabisha ya hao kina farao kama mahal pao pa kuish..yaan kama walikua na tech ya kujenga kabur za aina hyo ya pyramid halaf washindwe jenga makumba yao yakuish na familia zao imara yakubak had leo..lakin ukienda hukut hayo makaz yao..sanasana utakuta yako eroded na weather tu..ila pyramids ziko imara had leo...plus hlo swala la kuwepo pia pande zingne za dunia....inabid tujiulize snaa ...haiwezekan yakawa makabur yale..ni matango por tunalishwa
 
Mkuu..kama umetuelewa vzur ni kwamba sis tunasema hiv..sio kwamba Mungu hayupo..ila tunachojadili hapa ni ..his reality..je Mungu ni nan..ana character gan..je ukiungaanisha dots hiz na zile u anapata ukwel upi kuhusu huyo Mungu..je asili yake ni ipi...ndo tunalojadili hapa..labda unaambie ni dhambi hata kujadili ?..manaa haya maandiko tumeletewa lakin hatujapewa uhuru wa kuyatafakar..yaan tumeyameza kama yalivyo na tumeanza kuyaish...what if hayakua ya kwel..?..sbaab..ukiangalia dunian tuko karibia 8bil...wakristo wanaomwamin yesu ni wachache sana lets say ni 1 bil...sasa tuseme hao 7bil wengne ambao hawaamin in Crist..wako wrong?...na ukienda kwenye din zao sio kwamba nao hawama miujiza..ipo ming tu ma stor zipo nying kama zilivyo kwetu sis wakristo....sasa kujadili kutaka kuujua ukwel abt hayo mambo isiwe ni kosa na kuonekana kama tunakosea .hapana..
Napoleone unachopaswa kujua ni kwamba huwezi kumuelewa Mungu kwa kutumia hako kaakili ambako afterall ni Yeye kakupa.He is an extremely complex God na akili zake ziko juu mno.To appreciate his complexity kasema hivi:mbingu ni kiti chake na Dunia ni sehemu ya kuweka miguu yake,utamuelewaje Mungu kama huyo?!Na Napoleone,utamuelewaje Mungu aliyeumba the Universe and all the forces which supports it and all that is in it?Halafu kasemaa, akili zake ziko juu mno!Kwa nini usiridhike na kujua tu kwamba yupo?
 
Napoleone unachopaswa kujua ni kwamba huwezi kumuelewa Mungu kwa kutumia hako kaakili ambako afterall ni Yeye kakupa.He is an extremely complex God na akili zake ziko juu mno.To appreciate his complexity kasema hivi:mbingu ni kiti chake na Dunia ni sehemu ya kuweka miguu yake!Na Napoleone,utamuelewaje Mungu aliyeumba the Universe and all the forces which supports it and all that is in it?Kwa nini usiridhike na kujua tu kwamba yupo?
Lakin kwan kumjua ni vibaya chief...?au kama ni dhambi tuambiane .
 
Napoleone unachopaswa kujua ni kwamba huwezi kumuelewa Mungu kwa kutumia hako kaakili ambako afterall ni Yeye kakupa.He is an extremely complex God na akili zake ziko juu mno.To appreciate his complexity kasema hivi:mbingu ni kiti chake na Dunia ni sehemu ya kuweka miguu yake!Na Napoleone,utamuelewaje Mungu aliyeumba the Universe and all the forces which supports it and all that is in it?Kwa nini usiridhike na kujua tu kwamba yupo?
Huna hoja Mkuu ispokuwa maneno yako yamejaa hofu tu as if Kuna mtu alikufa na akarudi akakwambia ni kweli alikutana na mateso ya moto huko jehanam

Wewe hizi mada hazikufai ungeachana nazo tu ndugu yangu, maana hufikilii tena na Kwa Akili ila unaendeshwa na hisia tu, una uhakika Gani kwamba hizo akili za Napoleone amepewa na Mungu unaemfklia wewe? Unaposema akili za God ziko juu mno, first ni God yupi unamuongelea na second umetumia kipimo Gani kujua hilo?

Kama akili ya mtu ambae ana Guts za kuhoji what's behind human creation unaita"Kaakili" je wewe unaeamini Mungu atachoma moto viumbe aliowaumba ye mwenyewe Je utakuwa una Kaakili negative ngapi Mkuu? Awachome moto alafu ye apate faida Gani?

Utanisamee bro, To be honest hii issue ni kubwa sana Kwa uwezo wako wa kufikiri Mkuu,ni kheri ukaipotezea tu maana hutopungukiwa chochote na wapuuze wanaokuita huku maana huna unachochangia kinachofikirisha ili mtu aseme yes mshkaji ana hoja, wenzako wanajadili Kwa facts wewe unaleta hadithi za Imani tu

Mngeanzisha Uzi wenu mkaanza kujadiliana ni maswali gani mtaulizwa kabla ya kuchomwa Moto, ni namna gani unaweza kumshawishi Mungu akakuelewa ata kama umekosea majibu, ni namna gani unaweza kutoroka jehanam,ni namna gani unaweza kupata free pass ya kwenda kumsalimia Mtu alie Peponi, ni nyimbo zipi zitafaa sana kupigwa Peponi ili mzuka wa kusifu usikate nk, huko nadhani ungechangia vingi sana kuliko hapa
 
Huna hoja Mkuu ispokuwa maneno yako yamejaa hofu tu as if Kuna mtu alikufa na akarudi akakwambia ni kweli alikutana na mateso ya moto huko jehanam

Wewe hizi mada hazikufai ungeachana nazo tu ndugu yangu, maana hufikilii tena na Kwa Akili ila unaendeshwa na hisia tu, una uhakika Gani kwamba hizo akili za Napoleone amepewa na Mungu unaemfklia wewe? Unaposema akili za God ziko juu mno, first ni God yupi unamuongelea na second umetumia kipimo Gani kujua hilo?

Kama akili ya mtu ambae ana Guts za kuhoji what's behind human creation unaita"Kaakili" je wewe unaeamini Mungu atachoma moto viumbe aliowaumba ye mwenyewe Je utakuwa una Kaakili negative ngapi Mkuu? Awachome moto alafu ye apate faida Gani?

Utanisamee bro, To be honest hii issue ni kubwa sana Kwa uwezo wako wa kufikiri Mkuu,ni kheri ukaipotezea tu maana hutopungukiwa chochote na wapuuze wanaokuita huku maana huna unachochangia kinachofikirisha ili mtu aseme yes mshkaji ana hoja, wenzako wanajadili Kwa facts wewe unaleta hadithi za Imani tu
Kwa hiyo wewe kusema kwamba binadamu kaumbwa na Annunaki,according to Artificial Intelligence ndio umefikiri!Yaani umeshindwa kabisa ku-visualize kwamba a man so magnificently created cannot be the work of simple created beings like the Annunaki.Mkuu the organization of all processes in all ecosystems and their inter-relationships so superbly organized cannot surely be the work of simple "created" beings like the Annunaki!And the Universe?Surely iwe the work of the so called Annunaki,created beings according to Artificial Intelligence?Mkuu Anigrain,acheni ujinga,yote niliyo point out hapo juu na mengine mengi shows clearly that there is a super intelligent organizer,not the Annunaki.

Napenda pia niwafahamishe kwamba hii story ya kwamba the Annunaki ndio walio umba binadamu ninyi sio wa kwanza kuiona.We know it,ila tuliichukulia kwamba ni zile zile stories za morons wa Shetani kujaribu kupotosha binadamu,sasa wenzetu mmeishupalia kweli kweli.Anigrain this story comes from the Devil😈,sasa kama wewe ni mtumishi wake sawa,lakini ujue kwamba unamkosea na kumuudhi Mungu.
 
Kwa hiyo wewe kusema kwamba binadamu kaumbwa na Annunaki,according to Artificial Intelligence ndio umefikiri!Yaani umeshindwa kabisa ku-visualize kwamba a man so magnificently created cannot be the work of created beings like the Annunaki.Mkuu the organization of all processes in all ecosystems and their inter-relationships so superbly organized cannot surely be the work of simple "created" beings like the Annunaki!And the Universe?Surely iwe the work of the so called Annunaki,created beings according to Artificial Intelligence?Mkuu Anigrain,acheni ujinga,yote niliyo point out hapo juu shows that there is a super intelligent organizer,not the Annunaki.

Napenda pia niwafahamishe kwamba hii story ya kwamba the Annunaki ndio walio umba binadamu ninyi sio wa kwanza kuiona.We know it,ila tuliichukulia kwamba ni zile zile stories za morons wa Shetani kujaribu kupotosha binadamu,sasa wenzetu mmeishupalia kweli kweli.Anigrain this story comes from the Devil😈,sasa kama wewe ni mtumishi wake sawa,lakini ujue kwamba unamkosea na kumuudhi Mungu
Mbinu kubwa ya shetani ni kuupamba uongo uonekane kweli na kuupotosha ukweli kuwa uongo.
 
Mkuu..kama umetuelewa vzur ni kwamba sis tunasema hiv..sio kwamba Mungu hayupo..ila tunachojadili hapa ni ..his reality..je Mungu ni nan..ana character gan..je ukiungaanisha dots hiz na zile u anapata ukwel upi kuhusu huyo Mungu..je asili yake ni ipi...ndo tunalojadili hapa..labda unaambie ni dhambi hata kujadili ?..manaa haya maandiko tumeletewa lakin hatujapewa uhuru wa kuyatafakar..yaan tumeyameza kama yalivyo na tumeanza kuyaish...what if hayakua ya kwel..?..sbaab..ukiangalia dunian tuko karibia 8bil...wakristo wanaomwamin yesu ni wachache sana lets say ni 1 bil...sasa tuseme hao 7bil wengne ambao hawaamin in Crist..wako wrong?...na ukienda kwenye din zao sio kwamba nao hawama miujiza..ipo ming tu ma stor zipo nying kama zilivyo kwetu sis wakristo....sasa kujadili kutaka kuujua ukwel abt hayo mambo isiwe ni kosa na kuonekana kama tunakosea .hapana..
Hiki ndicho watu wanatafiti na kujadilk, huyo Mungu ni wa namna gani, ana mwili kama sisi au roho tu kama mafundisho ya dini yanavyosema. Kingine ukitaka kujua unyeti na usiri wa hili jambo fuatilia na usome vitabu vilivyo ondolewa kwenye bible mfano kitabu cha Enoch na kwa nini waliviondoa , mada ipo humu JF ishajadiliwa.
 
Back
Top Bottom