Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

hahahah Mkuu Sawa Sawa ila kiufupi Atheists ni watu wanaoishi Maisha real sana Tena hua tunakua na Morals ya kiwango Cha juu sana,hua tunaamini katika nadharia ya kitu "usichopenda kutendewa usimtendee mwenzio"
Pia hua tuaamini katika upendo na kujali,Love is everything na ni kitu Cha mhimu sana kwetu,
Utu,maadili,kujali, Upendo Kwa kila kitu especial Nature
Hua tunapenda sana Nature Yaani kama Mimi hua nachukia sana uharibifu wa mazingira kwasababu Dunia ndio sehemu yetu ya kusurvive there is no Earth B
Tukiharibu hapa leo watoto zetu wataishi wapi ingali hatuna pahari pa kukimbilia,
Hua nachukia sana watu wa Dini wanavyo sema Dunia sio yetu,kwetu mbinguni hiyo ni kauli Mbaya sana inayoonesha kutojali kitu na ndio chanzo Cha uharibifu maana Mtu atafanya vurugu kama kukata miti,kuchafua mazingira na mengine mengi ya kuiharibu Dunia Huko akiwa ana Imani ataenda sehemu inaitwa mbinguni wakati kinadharia ukifika mbinguni kule unakua ni mgeni mhamiaji,
Mfano Leo Muha aharibu kwao kigoma harafu awe anajipa matumaini Daslamu ndio kwao sababu soon atapanda treni kwenda Huko kiharakati na kimakazi na hatarudi Tena kigoma huku akisahau anaacha ndugu huku nyuma ambao watateseka Kwa uharibifu wake!

Ndio hiyo Mkuu nimekuonesha angalau mwanga kivipi Atheist tunaishi na tunaamini!
 
Vatican ni hatari sana, nikisema niandike na tuchambue kuhusu siri za Vatican, mada inaweza kuchukua mwaka mzima. Nimesoma vitabu vitano tu kuhusu Vatican, machozi yalinilenga.
Vatican ni hatari Kwa mstakabari wa Dunia hao jamaa ni mafia sana sikuamini pale niliposoma ya kwamba kumbe ndio founder wa Islam religion Kupitia ajent wao Father Waraqa na Mohammed Abdulla daaaa nikabaki kujisemea Hawa jamaa ni taasisi hatari sana!
Ila Sasa wenye dini zao ukiwaeleza watakuelewa basi?
🤔🤔🤔
 
Ni hatari sana, ndiyo wao through false flags kwa kushirikiana na CIA, Jana nimesikia Pope amesema neno kuhusu mgogoro wa Ukraine, ukisikia hivyo ujue kuna jambo, holy city haikurupukagi kutoa statement.

Kwahiyo yote tunayo yajadili hapa wenye dini zao, wanayafahamu kwa kina.
 
na ndio maana ukikaa na ma Padre wengi ni Maatheist huwezi amini na hua wanafunguka ukiwa nao Karibu na ukagusia maswala Haya wao wanajua wapo pale Kwa mission maalum,na ndio maana utakuta wapo happy mbususu wanachakata na pombe wanakunywa na hata huyo Mungu hawamuogopi sababu wanajua Ukweli ya kwamba huwezi chonga kinyago kinachokutisha
eboooo!
😁😁😁
 
Hapo ni kama nimekupata, kama unakuja hiviii

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Kama Shirika la Jesuit father ni hatar sana....doctrine zao ni za ndan sana..unakuta hata pope mwenyew hajui kinachoendelea..anatumwa tuu..especialy hawa ma pope waa sikuhiz..naona vatican imeamua kuto disclose siri zake kwa hawa ma pope wa kizaz kipya....na hawa ma pope kwa unyeti wa hyo nafasi...huandaliwa mapema sana hata kabla hawajawa mapadre..bila kujijua...watu huwa wanahis ni random selection..hakuna kitu random kwenye nafas za kidunia ..everythn ni planned.
 
Hua natafakari kuhusu hizo kanuni je ndio universal laws?? If yes nijuze nitazisoma wapi na kuzielewa ni muumini wa hizi laws and i do believe zinafanya kazi.

2. Hiyo habari ya kuomba (kuwasiliana na Mungu) bila wakala ningependa kujua mkuu, kwa hapa au dm vyovyote itakavyokupendeza mkuu.

Nipo kuutafuta ukweli ili kupata amani ya moyoni isiyotegemea uwepo wa kitu ili iwepo.

Ahsante.
 
Kwakweli hapa tulipo yawezekana mpaka viongozi wazito wa dini wanajua yaliyo sirini hasa wale wa Vatican.
Mungu wa huruma aache watu aliowaumba wauane, wafe kwa njaa, waumwe na kuteseka.
Impossible
Hua naamini hivi pia.
Mkuu nimejiuliza iwe vipi wao wamesoma kinaga ubaga kua kuna mbingu na moto na chanzo/vyanzo cha/vya kwenda huko wanakijua wanavijua ila wanakifanya/kuvifanya kwa pande zote mbili.

Kuna nini nyuma yake??
 
Hapo wangepata wafuasi wachache yes, nakubaliana na wewe.
Nje ya mada ila huenda ikswa na uhusiano kwa kiasi chake.
Hua nawaza huenda Nyerere angekutana na usasa angepingwa vikali licha ya tunavyomchukulia leo.
 
Hapo wangepata wafuasi wachache yes, nakubaliana na wewe.
Nje ya mada ila huenda ikswa na uhusiano kwa kiasi chake.
Hua nawaza huenda Nyerere angekutana na usasa angepingwa vikali licha ya tunavyomchukulia leo.
Uko sahihi Mkuu
 
According to definition ya Atheist ni kwamba hamuamini katika uwepo wa God or any other Gods, ila hapa tupo tunajadili Gods na tunaenda vizuri tu so hapa we unapinga au unaunga mkono hii mada na kama ndio why?

Mnaamini katika nini hasa?

Je nyie mnaamini nini hasa chimbuko la mwanadamu?

And lastly je Mnasali? Kama jibu ni ndio how?
 
Swali zuri sana hili, na mimi katika sehemu inayofuata ya kumi 12 itakuwa na majibu pia kuhusu Atheists.
 
ngoja mwamba Artificial intelligence ashushe majibu kwenye sehemu itakayofuata then nitajazia Hapo kuhusu swala la atheists maana kaahidi kuiweka kwenye sehemu itakayofuata
Keep waiting!
 
Nakililia kizazi cha Afrika , wametutenga kimafungu mafungu kwa ideology zao waendelee kututawala na kuchota rasilimali za Afrika, mara ukristo, uislam, ubudha, upagani hatujui tushike lipi. Kila siku tuna sali Mungu atuoneshe Shetani, kumbe tunaishi nae tumefumbwa macho.
 
hahahaha hatari kuna movie Moja nimeisahau jina Kuna Kuna kubwa la maadui alikua natafutwa balaa ila hajulikani sura Wala sehemu anapoishi,basi wale maajent wakawa wanamtafuta Dunia nzima wakiongozwa na mkuu wao wa operation bila mafanikio maana Kila wakipiga hatua ushahidi unazidi kua mgumu
Mwisho wa picha kumbe anaewatuma kazi Yaani mkuu wa kitengo ndie adui mkuu na ndio alikua mastremind wa mchezo
Na wametumia gharama kubwa sana na Muda kumtafuta kumbe hawajui wanamtafuta aliyewatuma wamtafute ikawa balaa ndio maswala haya
Kuhusu Dini,Yaani watu wanaenda Mbali kumtafuta Shetani kumbe shetani ndio wao wenyewe!
 
Anasema pyramid zilijengwa Kwa ajili ya kuzikwa pharaohs, sa ilikuaje watumie technology kubwa kiasi kile kwenye makabuli tu na sio makazi Yao? kama pyramid ni kwa ajili ya pharaoh je zile za America kusini Zilikuwa zinazikiwa kina nani?
Tuanzie hapa kwanza, ni miili ya mafarao wangapi imeisha kutwa kwenye hizo pyramids?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…