Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Mpaka wewe umejua ya kwamba tumetolea bible mifano Hilo nalo ni dhumuni,japo upate mwanga ya kile tunachokieleza maana Wengine hawajasoma maandiko nje ya Bible kwahiyo lazima tu reference Ili twende Sawa pamoja kujua Nini tunamaanisha!Ok ila biblia pia imecopy kama msemavyo, ndio maana nikauliza lengo la kutolea mifano biblia ni lipi maana nayo ni copy? Dhumuni hasa ya kutoa mifano kwenye biblia ni nini?