Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Ok ila biblia pia imecopy kama msemavyo, ndio maana nikauliza lengo la kutolea mifano biblia ni lipi maana nayo ni copy? Dhumuni hasa ya kutoa mifano kwenye biblia ni nini?
Mpaka wewe umejua ya kwamba tumetolea bible mifano Hilo nalo ni dhumuni,japo upate mwanga ya kile tunachokieleza maana Wengine hawajasoma maandiko nje ya Bible kwahiyo lazima tu reference Ili twende Sawa pamoja kujua Nini tunamaanisha!
 
Vizuri kabisa, sasa kwanini usitolee na mifano kwenye Qur'an ili wale wanaoijua Qur'an tu na hawajui biblia nao wapate mwanga? Maana huwa mnazitaja kwa pamoja kuwa hizi dini mbili zinapotosha na kusema Qur'an ni copy tu ya biblia, sasa kwanini msitoe na mifano kwenye Qur'an maana si ndio yaleyale ila lengo yule anayeijua Qur'an tu naye apate mwanga.
 
Mimi kwa kweli sijui chochote kuhusu Mungu,Yesu,allah,annunak,aliens nk
Mi ninachojua nimejikuta tu duniani huku nikipambana na mateso na Raha za dunia nikitafuta ugali wangu Nile na watoto wangu siku ikifika nife
Huko nampenda kapa kupo sipajui!!

Ni mbele mbele yake litakalokuwa na liwe Kama Ni mbinguni aikatai Kama Ni kurostiwa aikatai pia
Umeelezea kama vile maisha yako ni kutafuta chakula na kula basi basi.
 
Ni kweli Hata wao hawajioni kama ni miungu walikua ni viumbe tu huo uungu walipewa na watu waliowaona na ujuzi,maarifa na nguvu kubwa
Wao walikuja Kwa mission Yao ilivyoisha wakasepa huku raia wakaanza kuwatengenezea mapicha na imagination,Hata hizo Sayari zao walizotoka zilikua high advanced technology kiasi kwamba watu walikuona kama Ndio Paradise kutokana na masimulizi ya Sumerian!
Hao waliyowapa uungu wakati huo walikuwa wanakusudia nini kuwaita miungu au neno mungu lilikuwa na maana gani hadi wakaamua kuwaita miungu na ndio tunasema waliwapa uungu?
Na idea ya kuwaabudu waliipata wapi na kuabudu kulikuwa na maana gani kwao?
 
Suala la Hawa jamaa waliotuumba, walikuwa Wana uwezo wa kusafiri Toka universe nyingine, walikuwa Wana uwezo wa kufanya genetic manipulation etc.. hiyo inamaana walikuwa vizuri kwenye fani zote za elimu tunazozijua...

Sasa walishindwaje kutengeneza excavator za kuchimbia dhahabu mpaka wakaona njia rahisi ni kumtengeneza Binadamu?
Majuzi tu, yani siku kama 5 zimepita, nimesoma habari ya BBC, Serikali ya Marekani (NASA)
Wameamua kuachia siri na kukubari ama
Kukikiri juu ya uwepo wa Alliens, na Uthibitisho wa Video....!
 
Mkuu ukishaona akil ndogo usisumbuke. Yaan hapo unapigia mbuz gitaa...mtu kazaliwa kakuta wazaz wake wako dini fulan iliyokuja na meli unadhan kichwa hko kitakia tayar kupokea knowledge mpya hata kwa kusikiliza tuu?..sia ajab atakwambia ni ushetan?... Ndo walioishia hapo...lakin kutumia logic na maarifa ni mwiko..na ndo hapo unaiona power ya faith n religion ilivyoishika dunia...achana nao hao mkuu
Samahani mkuu, unaweza ukatupa experience yako katika kutafuta knowledge mpya? yani mpaka kuwa na mitazamo tofauti na mwanzo na kuwa unajua hayo unayoyajua sasa ulifikaje hapo?

Maana si rahisi mtu kuacha mitazamo ambayo amekuwa nayo toka anakuwa kama ambavyo unaona wengine humu, hivyo pengine ukielezea experience yako inaweza ikawa msaada kwa wengine.
 
Hakuna Elimu uchwara hapa kamanda hiyo Elimu ipo long time before abrahamic Religion,Hizo dini unazojinasibu ni za Mungu wako waanzilishi ni hao Hao Annunak halafu Leo unakuja kunyamba nyamba hapa
Au hujui Abraham na baba yake Terra walitoka Uru ya Ukaldayo Huko Mesopotamia ambako ndio kulikua ustaarabu wa kuabudu Miungu na Mungu wa Abraham anaitwa El Moja ya Miungu Annunak?
Pumbaf kasome historia ndio uje ubishane na Mimi
Eboooo!
😁😁😁😁
Nilikuwa najiuliza mbona uzi haujachangamka? Ndo unachangamka sasa😂😂😂😂
 
Mkuu..kama umetuelewa vzur ni kwamba sis tunasema hiv..sio kwamba Mungu hayupo..ila tunachojadili hapa ni ..his reality..je Mungu ni nan..ana character gan..je ukiungaanisha dots hiz na zile u anapata ukwel upi kuhusu huyo Mungu..je asili yake ni ipi...ndo tunalojadili hapa..labda unaambie ni dhambi hata kujadili ?..manaa haya maandiko tumeletewa lakin hatujapewa uhuru wa kuyatafakar..yaan tumeyameza kama yalivyo na tumeanza kuyaish...what if hayakua ya kwel..?..sbaab..ukiangalia dunian tuko karibia 8bil...wakristo wanaomwamin yesu ni wachache sana lets say ni 1 bil...sasa tuseme hao 7bil wengne ambao hawaamin in Crist..wako wrong?...na ukienda kwenye din zao sio kwamba nao hawama miujiza..ipo ming tu ma stor zipo nying kama zilivyo kwetu sis wakristo....sasa kujadili kutaka kuujua ukwel abt hayo mambo isiwe ni kosa na kuonekana kama tunakosea .hapana..
Kuna mitazamo mingi sana kuhusiana na kinachoitwa Mungu/mungu/miungu, mi ningependa kuuliza hili neno Mungu lina maana gani au linakusudiwa nini pale linapotumika?
 
Majuzi tu, yani siku kama 5 zimepita, nimesoma habari ya BBC, Serikali ya Marekani (NASA)
Wameamua kuachia siri na kukubari ama
Kukikiri juu ya uwepo wa Alliens, na Uthibitisho wa Video....!
Unaongelea oumuamua?
 
Hamna marefu yasiyo na ncha.
Wataficha ila ipo siku ukweli utakuwa peupe na ndipo misikiti na masinagogi yatatumika kucheza kamari
Mkuu hivi hao watu wanaoabudu misikitini unawajua vizuri kweli?
 
Nimesoma Sana kamanda Tena in deep kuhusu hayo mambo ya ulimwengu wa roho na third dimensions na nimeahafanya majaribio mengi Sana
Imagine nilishawahi kua Hadi mlokole na nilikua nasali Sana Sana yaani nilikua deep in religion but mwisho hiyo wanayoita ulimwengu wa roho na kuongea na roho mtakatifu nikaona ni chai tu maana nilianza kupata kitu kama Hallucinations Kwa kuwa na ma imagination fake fake yaliyo nisababishia msongo wa mawazo tu nikaja pokea Nuru mwishoni baada ya kuona maswala hayo ni ukanjanja nikafunguka akili niaacha kua mtumwa wa vitu vya kufikirika pasipo uhalisia wowote

Leo Ndio nipo hivi
Atheist grade one!
Acha unafiki wewe wala aukua mlokole kweli ndomana umeshindwa kuuwelewa ukristo
 
Samahani mkuu, unaweza ukatupa experience yako katika kutafuta knowledge mpya? yani mpaka kuwa na mitazamo tofauti na mwanzo na kuwa unajua hayo unayoyajua sasa ulifikaje hapo?

Maana si rahisi mtu kuacha mitazamo ambayo amekuwa nayo toka anakuwa kama ambavyo unaona wengine humu, hivyo pengine ukielezea experience yako inaweza ikawa msaada kwa wengine.
Well..mim nmesoma seminari so biblia niliisoma kuanzia page ya kwanza had ya mwisho..na hapo ndipo nikaanza kugundua something is missing somewhere..or kuna ukwel fulan umefichwa...then nilivyoanza fatilia mbo fulan ya kisayans na kusoma baadh nikagundua **** kitu logicaly kuhusu mambo ya faith n religion hayako sawa ni either tumeshindwa yangamua au tumedanganywa or tafsir zake watu wanatafsir wrong..so from there nikaanza kusoma historia ya imani na religion..huko ndo kabisaa...kukanionyesha things are not the way they r...then nikaanza jifunza dini za kale b4 ukristu na uislam nikaja gundua hiz din ni za juzi tu hazizid hata miaka 2000...wakat zipo dini ziliexist zaid ya miaka 10000 nyuma so nkawa najiuliza maswal meng...nkaanza connect dots etc....sasa kwa mfano mdogo tu..ukienda uyahudi..hakuna hiz dini zetu mbili kwa asili....na pale ndo kitovu chenyew sasa unajiuliza whats goin on..mfano..wayahud hawaamin kwa yesu yule tunaemjua sis..wao bado wanaamin hajaja..sasa unajiuliza kama kitovu cha iman wanaamin tofaut..mim wa kwa maparange huku tena ngoz nyeus kama mkaa najifanya kujua nn?...so maswal ni meng unapojifunza na kutafakar kwa kina..soma bible use logics na akil utagundua something fishy huko...na hatukatai kwamba Mungu hayuko..ila tunachoamini..tulichoaminishwa kuhusu mambo ya Mungu asilimia kubwa si kwel..kuna ukwel mwing umefichwa kwa sababu fulan..
 
Kuna mitazamo mingi sana kuhusiana na kinachoitwa Mungu/mungu/miungu, mi ningependa kuuliza hili neno Mungu lina maana gani au linakusudiwa nini pale linapotumika?
Mwanadam alijiangalia na mazingira yake na ulimwengu kwa ujumla ulivyo complex akaamin kwamba kama yeye ni nafsi na mwili bas theres something bigger than him/her ambae amfanya yeye na amefanya yote..so katika kutaftatafta ndo ikabid wamwite mungu..ana majina meng sanaa
 
Well..mim nmesoma seminari so biblia niliisoma kuanzia page ya kwanza had ya mwisho..na hapo ndipo nikaanza kugundua something is missing somewhere..or kuna ukwel fulan umefichwa...then nilivyoanza fatilia mbo fulan ya kisayans na kusoma baadh nikagundua **** kitu logicaly kuhusu mambo ya faith n religion hayako sawa ni either tumeshindwa yangamua au tumedanganywa or tafsir zake watu wanatafsir wrong..so from there nikaanza kusoma historia ya imani na religion..huko ndo kabisaa...kukanionyesha things are not the way they r...then nikaanza jifunza dini za kale b4 ukristu na uislam nikaja gundua hiz din ni za juzi tu hazizid hata miaka 2000...wakat zipo dini ziliexist zaid ya miaka 10000 nyuma so nkawa najiuliza maswal meng...nkaanza connect dots etc....sasa kwa mfano mdogo tu..ukienda uyahudi..hakuna hiz dini zetu mbili kwa asili....na pale ndo kitovu chenyew sasa unajiuliza whats goin on..mfano..wayahud hawaamin kwa yesu yule tunaemjua sis..wao bado wanaamin hajaja..sasa unajiuliza kama kitovu cha iman wanaamin tofaut..mim wa kwa maparange huku tena ngoz nyeus kama mkaa najifanya kujua nn?...so maswal ni meng unapojifunza na kutafakar kwa kina..soma bible use logics na akil utagundua something fishy huko...na hatukatai kwamba Mungu hayuko..ila tunachoamini..tulichoaminishwa kuhusu mambo ya Mungu asilimia kubwa si kwel..kuna ukwel mwing umefichwa kwa sababu fulan..
Ok vizuri sana mkuu, ila mkuu unafikiri kwanini kwenye mada hizi huwa inatumika sana biblia kwenye kutolea mifano na kwa nadra kuona ikitumika qur'an, kwanini unadhani iko hivyo kwa experience yako?

Nina shauku tu ya kujua hili maana nimelifuatilia sana.
 
Mwanadam alijiangalia na mazingira yake na ulimwengu kwa ujumla ulivyo complex akaamin kwamba kama yeye ni nafsi na mwili bas theres something bigger than him/her ambae amfanya yeye na amefanya yote..so katika kutaftatafta ndo ikabid wamwite mungu..ana majina meng sanaa
Kwahiyo mungu ilikuwa na maana gani sasa hapo? Nauliza hivyo ili pia nilinganishe na hii issue ya binaadamu kuumbwa na Annunaki na kisha binaadamu kuwaita hao Annunaki kuwa ni miungu.
 
Vatican ni hatari Kwa mstakabari wa Dunia hao jamaa ni mafia sana sikuamini pale niliposoma ya kwamba kumbe ndio founder wa Islam religion Kupitia ajent wao Father Waraqa na Mohammed Abdulla daaaa nikabaki kujisemea Hawa jamaa ni taasisi hatari sana!
Ila Sasa wenye dini zao ukiwaeleza watakuelewa basi?
🤔🤔🤔
Nakumbuka tuliwahi kujadili hili tukaishia pale nilipokuuliza kwamba je Vatican walimsaidia vp Muhammad hadi akafanikisha lengo lililokusudiwa?
 
Ok vizuri sana mkuu, ila mkuu unafikiri kwanini kwenye mada hizi huwa inatumika sana biblia kwenye kutolea mifano na kwa nadra kuona ikitumika qur'an, kwanini unadhani iko hivyo kwa experience yako?

Nina shauku tu ya kujua hili maana nimelifuatilia sana.
Kwanza wachambuz weng ni sis chriatian wenyew so unakuta mtu amesoma biblia zaid kuliko quran..muslim weng wana iman ya uoga hata kujadil chochote kuhusu wao..infact..islam ndio iko shalow zaid kuliko ukristu...ina vitu ving haviko logicaly correct..so wachambuz weng hawaiangalii sana sabab ina false nying zaid kuliko bible ..yaan kama ukilinganisha ukwel uliomo kwenye bible n quran ..ni sawa na tuseme bible ina angalau 60 na quran ina 20...so wachumbuz weng hawaikumbuk kabisaaa
 
Kwahiyo mungu ilikuwa na maana gani sasa hapo? Nauliza hivyo ili pia nilinganishe na hii issue ya binaadamu kuumbwa na Annunaki na kisha binaadamu kuwaita hao Annunaki kuwa ni miungu.
Well..wakat wazungu wamekuja africa...watu wa kwanza kuwaona waazungu walihis hawa lazima ni malaika au majin...well...sabab ya mambo waaliyoweza fanya makubwa ambayo huwez imagine..ikatokea wao kuwaita miungu...baadh ya wahind wanaita ngombe mungu ushawai jiuliza ni kwann?

Same meaning.
 
Back
Top Bottom