Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Yaani kama vile leo umenipa mwanga miki miaka yote, nilikuwa najiuliza kama mungu wetu mmoja kwa nini sisi ni weusi na wazungu ni weupe?

Pili najiuliza ilikuwa kuwaje continent zikajigawa wazungu wakawa kule na weusi kule.

Achilia mbali mambo ya sayansi na geography hii kitu ilikuwa inanipa shida ,natamani uelezee zaidi.
 
Binafsi sielewi ndio maana nauliza hapa.
 
Lakini si inasemwa kwamba Qur'an imecopy kwenye biblia hivyo nilitegemea kuwa hakuna tofauti.
 
Mkuu nimeuliza hhivyo kwa sababu moja kuu.

Haiingii akilini kwamba wakati wote huu wakatoliki walivumilia kuitwa wapinga kristo kisha wasitafute namna au wasitafute watu wanaoaminika na jamii zao wakapanga mchongo wa kuanzisha dini mpya ambayo wataiita ndio mpinga kristo.

Bbadala yake miaka hii yote walikaa mpaka alipokuja muhammad eti ndio wakapanga nae michongo ya kuanzisha uislamu ambao utakuwa mpinga kristo.

Swali langu ni hili mkuu "kwa nini hawakuanzisha mchongo huu tokea awali badala yake wameanzisha miaka mingi baadae na Muhammad ?




Swala la wakristo wa mwanzo hawakua wakatoriki maana walikuwepo na wapo mpaka Leo Huko Ethiopia Toka zamani kabla Constantine hajaanzisha ukristo fake!
Katika maandishi mkuu ulisema kwamba wakatoliki walikuwa wanaitwa wapinga kristo,hivyo wakaona ili wasiitwe wao kwamba ni wapinga kristo waanzishe dini nyingine ambayo ndio uislamu ili huu uislamu ndo uonekane ndio unampinga kristo.

Kama ni hivi naomba msaada wa majibu ya maswali yafuatayo mkuu kama utakuwa interested.

1.je makka kulikuwa na idadi kubwa ya wakristo kwa wakati wa muhammad kuliko nchi ambazo wakatoliki walikuwa wakiishi ?

2.je kabla ya muhammad hawakuwepo watu waaminifu na wanaokubalika na jamii zao ambao wakatoliki wangewatumia kuanzisha dini mpya ?
 
Mkuu nishukuru sana kwa ushirikiano ambao unanipa.

Ila naomba niendelee kuuliza.

Hivyo vitabu vilivyoandikwa hii inshu vina utofauti gani na vitabu vingine vya historia vilivyoandikwa na vinadaiwa kuwa ni uongo ?

Nwkusudia kusema kwamba kama wanabezwa watu wa dini kwa nini wanaamini vitabu vilivyaondikw tu,kwa nini na hicho kitabu ambacho kimeandikwa wewe unakiamini kwamba kimeeleza ukweli ?

Je Kama hizo ni propaganda tu za wapinga islamu unajiridhisha vipi mkuu ?
 
Uzi mtamu sana.

Ukweli ni kwamba hao anunaki na viumbe vingine wakina aliens na mashetani mengine wote waho wapo kwenye makundi ya malaika waasi fallen angels.
Na lengo la hao fallen angels ni kuabudiwa. Kwaiyo watatumia njia zote za kila namna kumdanganya mwanadamu.

Tatizo la watu wengi awapendi kutafakari au kufikili na kufanya utafiti wao binafsi.

Sasa lengo la kujua kua anunaki ndo walintengeneza binadamu unadhani ni nini.....maana yake kua hao anunaki uwafanye kua miungu na uhanze ibada zao za kuwaabudu. Maana kuna hadi matempo zenye ibada za kuwaabudua hao fallen angels anunaki.

Swala ambali kidogo kwangu linaweza likanihingia akilini ni wale wanaofanya meditation yaani elimu ya kujijua wewe ni nani. Kidogo hao ninaweza nikawaelewa.

Siyo kama napinga mada hapana ni moja ya elimu ya kujifunza na kutafakari. Big up sana maana katika uzi unaosisia ni huu
 
sasa watawezaje kutafsiri hayo maandiko
 
The eternals..
 
SEHEMU YA KUMI NA MBILI

COLLECTIVELY ARE WE ALL GOD?

Atheists, Pyschic & Psychic drugs, Akashic, Meditation & Incantation, Science, Uchawi na Ramli, haya yote tunakutana hapa.


Matumizi ya kwanza kabisa ya neno Mungu (God/Allah) yalianzia sumerians, likitokana na neno DIN GIR ambalo lina maana ya "the righteous ones of the sky chamber" lakini kadri lugha inavyozidi kubadilika muda baada ya muda, neno DIN GIR limekuwa translated na kujikuta tukitumia God/Allah.

Kwahiyo mtu anapo sema "sifa kwa Mungu", anamaanisha sifa kwa "the righteous ones of the sky chamber" ikiwa ni sawa sawa kabisa na yule anayesema "God bless you" anamaanisha the righteous ones of the sky chamber bless you"

Ukichukua Biblia/Quran ukabadilisha neno God/Allah na kutumia the righteous ones of the sky chamber vitabu vyote hivi vitaleta maana tofauti kabisa.

Siko hapa kuibua mgongano wa fikra kuhusu dini, bali ushahidi kuhusu ukweli wa dini hizi.

Kama kwa sasa ambavyo watu wamekuwa wakitafuta njia sahihi ya kufupisha maneno ili waweze kuyatamka kirahisi, mfano, neno cellular kwa sasa ni "cell," telephone kwa sasa ni "phone" n.k, hivyo ni rahisi kutumia neno God/Allah kuliko "the righteous ones of the sky chamber"

Kwahiyo ni wapi hili linamuacha Mungu (God)?

Nazani tunatakiwa kutazama njia mpya kwa jinsi gani tunachukulia Mungu alivyo. Watu wengi wanazani ni mtu mzee, mwenye ndevu aliyekaa mbinguni, akitutazama na kujibu maelfu na maelfu ya maombi ya kila mtu. Lakini logistically hili haliwezekani kwa omnipotent entity yeyote kufanya hivyo.

Kwahiyo ni jinsi gani tunamuelezea Mungu kwa watu wazima, ambao bado wana mafundisho ya utotoni kuhusu Mungu vichwani mwao, na ambao wana reference hiyo tu?

Makanisa na Miskiti hawatoa maelezo mazuri kuhusu Mungu tofauti na yale tunayofundishwa/tuliofundishwa tukiwa wadogo.

Lakini ni vipi kama tunaweza kutumia nadharia kuhusu Mungu alivyo that makes sense na inaweza na siku moja ikathibitishwa kisayansi?

Tumekuwa tukijiuliza sana zaidi ya mara moja kuhusu Mungu ni nani au yukoje, na inawezekana tumekuwa tukiwauliza ndugu, wazazi, priests n.k lakini mara kwa mara tunapewa jibu lile lile:
"USIULIZE KUHUSU MUNGU, ANATEMBEA KATIKA NJIA ZA MIUJIZA" au "MUNGU NI ROHO HANA MWILI."


Lakini ni kweli hapo mwanzo alikuwepo Mungu au wapinga dini wapo sahihi?

Kwangu mimi, nafikiri chochote kilichoandikwa na atheists kinaweza kuwekwa katika sentensi moja: "We don't believe in anything-the end." Kwahiyo kwa nini wanajaribu kuelezea ni kwa nini hawaamini katika chochote?

Ukitazama Universe yetu, napata ugumu sana kuamini kwamba hakuna grand architect aliyetengeneza hii universe. Hata mwanasayansi nguli duniani Albert Einstein aliwahi kusema:

"Anyone who becomes involved in the pursuit of science, becomes convinced that there is a spirit manifest in the laws of the universe, a spirit vastly superior to that of mankind"


Katika harakati zangu za kuchimba kuhusu ukweli, nikakutana na mtu anitwa Edgar Casey (March 18, 1877-January 3, 1945)

Casey alikuwa ni mkulima tu wa kawaida na hakuwa na elimu kubwa, he was fascinating man, aliwahi kutoa hotuba ya jinsi gana tunaweza kuwasiliana bila kuongea au kuandika, hotuba iliyomuweka matatani.

Kutokana na hotuba yake, kuna uwezekano mkubwa wa watu kuwasiliana on a "subconscious quantum level" na siyo kwa kupitia kuongea au kuandika tu.

Alipoulizwa anajuaje mambo hayo yote, alijibu kwa kusema kila mtu ana uwezo wa kufanya kile anachokifanya, na aliendelea kuelezea kwamba ameyafahamu na kuyajua yote hayo kutoka kwenye Akashic records.

Je Akashic ni nini?

Akashic is a sanskrit word meaning ethereal compendium of all knowledge & history.

Hii ni sawa na mainframe computer ikiwa imeunganishwa na kompyuta nyingine, na Ubongo wetu actually ni kompyuta ya kibiologia, ikiwa imeunganishwa na mainframe computer of all knowledge.

Lakini nikajiuliza, hili linawezekana kweli?

Kwa kuwaangilia watu mashuhuri katika historia kama vile Leonard Da Vinci, ambaye alibuni na kuchora michoro ya helicopters, planes, submarines na teknolojia nyinginezo zilizokuwa mbele ya muda, nikaanza kufikiria labda kulikuwa na kitu katika hili.

Mr. Casey pia alilielezea hili katika Akashic field, TIME HAS NO DISTINCTION:Hii ikiwa na maana ya kwamba wakati uliopita, wakati uliopo/sasa na wakati ujao are all happening at once.

Je Mr. Da Vinci, Nostradamis, Archimedes did they tap into this field? Maybe even all of this great figures subconsciously tapped into this field of knowledge far into the future - watu kama Einstein, Von Braun, Oppenheimer na Tesler.

Je walikuwa na uwezo huo pia?

Kama tukikichukua kile alichokisema Casey kwamba wote tunao huo uwezo na infact kwa pamoja sote ni Mungu (God) - then why not?

Ina make sense logistically kwamba minds zote zipo kwenye mawasiliano moja kwa nyingine, kuliko kiumbe mmoja tu(omnipotent being) kujaribu kuwasiliana na kujibu maombi ya kila mtu.

Je hili linatokeaje? Ntajaribu kuelezea kwa facts na mifano hai, hili isionekana ni hadithi tu ya kusimulia.

Kwanza hebu tutazame ni jinsi gani tunawasiliana on quantum level, kama wanasayansi walivyoligundua hili na kuweka mkazo zaidi. Group la wanasayansi wa Ujerumani waliamua kuchukua living cells kutoka kwa mtu aliyejitolea, na kuziweka kwenye petri dish, na kuziweka miles 100 away kwenye maabara nyingine. Waliweza kurekodi reaction za cells kwenye petri dish kama walivyo test on the subject na kugundua kwamba hata kama cell zilitolewa from the subject & placed 100 miles away, they reacted along with the cells of the test subject.


Are we all connected? Uthibitisho wa jaribio hilo, unaweka wazi uwezekano huo, vile vile inaweka uwezekano wa kuwasiliana na waliokufa, kama Mr. Casey alivyosema katika Akashic field.


Muda hauna utofauti (Time has no distinction) na hili linaweza kumaanisha kwamba, you are actually not communicating with the dead but with that person alive in his own time, whether it be past, present, or future."


Ugunduzi huu unatuambia kwamba cell zetu zinawasiliana, so is it then possible that they communicate with other people's cells?

Is this how PSYCHICS communicate?

Tunajua kwamba KGB na CIA wana watu katika programs kama vile MK Ultra, designed to mind control na kuwafundisha remote viewers to give a detailed description of distant places wanapotakiwa kufanya hivyo.

Mmoja wao alipoulizwa wanawezaje kufanya hivyo, alijibu kwa kusema ameunganishwa kwenye akili ya mtu wa eneo hilo & was able to see through his eyes.

Lakini hii ni fact, kwa sababu KGB na CIA walikuwa/wanao hao watu wenye uwezo wa kucontrol mind ya mtu, na mtu yeyote anaweza kupewa mafunzo jinsi ya kufanya hivyo kama alivyo elezea mmoja wao kwenye interview:


Police & FBI wanafahamika kwa kuwatumia psychics kutafuta na kubaini crimes na psychic mmoja alipoulizwa aliwezaje kubaini mwili wa murder victim, alielezea kwamba, aliwasiliana na mind of murderer ili kujua ni sehemu gani mwili ulipo.

Is God the collective consciousness of all livings beings?

Ilikuwa mwaka 1927 katika 5th Solvay conference mjini Brussels nchini Ubelgiji pale nadharia ya tabia za quantum mechanics(the subject of consciousness & the atomic world was at hand) ilipowekwa wazi, huku wakiwepo greatest minds in physics kama vile Curie, Heisenberg, Bohr, Lindman, na Plank kwa kuwataja wachache.

Heisenberg na Bohr approached Einstein with a new theory: THAT THE MINDS OF THE RESEARCHERS WERE AFFECTING THE RESULTS OF THE EXPERIMENTS. Einstein hakukubaliana nao kwa mara ya kwanza, lakini miaka michache mbeleni alikuja kukubali kwamba inatokea.


"All matters originates and exists only by virtue of a force, we must assume behind this force is the existence of a conscious and intelligent mind, this mind is the matrix of all matter."

Max Plank (Father of Quantum Physics)

"Current science can not handle or explain consciousness, so whenever there is a human observer present at an experiment, he causes a collapse of the wave function. A wave function is a mathematical construct that accurately predicts the probabilities of the outcomes of an experiment, but whenever there is a human present, he causes a collapse of the wave function, therefore rendering the experiment useless."


So they now isolate any human presence from the experiment sa as not to affect the outcome.

Kiukweli minds zetu are more powerful kuliko tunavyo amini, na zinafanya kazi constantly on a subconscious level.



Naomba ufanye jaribio kidogo, jaribu kutulia bila kufanya chochote, then utuambie ni vitu gani unaviona kwenye mind yako, uoni kama unawasiliana na minds zingine?, unaona mind yako ina operate vipi?, alafu utuambie.

Hii ndiyo sehemu ya mwisho katika muendelezo wa thread hii.





 
Kuna kitu hukijui bwana mkubwa hivi unajua Nini kuhusu ANNUNAKI?
Tunaposema ANNUNAKI elewa ya kwamba huo ni Muunganiko wa viumbe wanaosimamia Nguvu kuu mno Yaani nikiwa na maana ya Mungu Mkuu ambaye anaongoza kanuni na mambo yote ya viumbe wa kimwili na kiroho,
Yaani kumtenganisha ANNUNAKI na huyo Mungu wenu wa hizo Dini zenu utakua ni Wendawazimu maana nae ni Mmoja wa hao,
Wengi wenu Bado hamjajua Bado
ANNUNAKI wanaongozwa na ANU ambaye ndie Nguvu kuu
Akifuatiwa na
Murduc ambaye ni msimamizi Mkuu wa viumbe vyote vya kimwili na kiroho akifuatiwa na Miungu Wengine wengi sana Kwa majina Yao hao ndio wasimamizi na watenda KAZI wa mambo mbali mbali hivyo mtoa mada aliposema binadamu wa kwanza aliumbwa na Annunaki usijichanganye ukadhani ni tofauti na Mungu unaemdhania wewe Bali ni moja ya viumbe kutoka Kwa Ile Nguvu kuu Yaani ANU ndio iliyowapa Nguvu na mamlaka ya kufanya vile hata kama hao viumbe Sio Mungu unaemdhania wewe hapa tunamzungumzia Nguvu na ujuzi waliotumia yatoka kwake!
 
Ndyo ukweli huu ambao ukiwauliza wachungaj, mashekhe, na wanasayansi, watakupa majibu mepesi ambayo yanaficha ukweli, na pengine hata wamaweza kukushughulikia mapema ili usisambaze ujumbe huo kwa wngine, mimi nina ushahidi wa hawa wamiliki wa mitandao kujaribu kuzuia accounts kadhaa za social network zilizokuwa zikihoji ukweli wa mambo haya.

Chaajabu mpka viongoz wa dini wanaungana ktk kuupoteza ukweli huu, kuna bwana mmoja alishughulikiwa na watu wa dini, sabbu ya kutoa ukweli ambao kamwe hausemwi wala kufundishwa mashuleni, mimi pia ni muhanga wa kufungiwa akaunti zaid ya mara4
 

mtu chake pitia hapa uone atheists wanaamini katika nini.
 

Aisee pole sana kwa kufungiwa account, mimi mwenyewe kuna vitu imenibidi nisiviandike kabisa kwenye huu uzi.
 
Mkuu iko Hivi, ni Kweli Bible na Quran hazina tofauti kubwa kwenye maandiko Yao na nilichokuja kugundua ata hizo tofauti ambazo Zipo kwenye Quran ni kwa sababu waliona kwenye bible kama hazimake sense so wakawa wanachange, kumbuka Quran/Islam ndo kwanza una miaka 1500 tu

Mfano angalia story ya kuzaliwa Kwa yesu katika Bible na Quran utakuja kuona kwamba kwenye Quran walitwist ili story imake sense, turudi kwenye swali lako la msingi Kwanini reference inatoka sana kwenye bible na sio Quran

1. Dhana ya kwamba bible na Quran ni kitu kimoja, Yani copy and paste pia hupelekea bible kutumika Zaid kama reference, Kwa maana kwamba ukisoma huku ni sawa na huko

2. Fame, Bible ni maarufu kuliko Quran, ata katika maisha ya kawaida we hapo ukiwa una mfanano na Diamond platinum, watu watasema we jamaa umefanana na Diamond na hawatosema s Diamond kafanana na wewe

3. Kusambaa/kuenea, Bible Ina Zaidi ya miaka 100 tangu itafsiriwe kiswahili na ina miaka Zaidi ya 500 tangu itafsiriwe katika lugha zingine, Bible/Christin wamekuwa hawaoni tabu kumrahisishia mtu yoyote yule kujua maandiko ila Quran wamechelewa sana kuja kufanya tafsiri ya kiarabu kwenda lugha zingine

Kuna wakristo wengi sana wanajua vifungu maarufu katika Bible kutokana na wengi wao kupitia mafundisho enzi za utoto maana wanasoma Kwa kiswahili, pamoja na kwamba watoto wa kiislam pia wanaenda madrasa ila wanafanya kukremu tu ila hawaelewi hadi watafsriwe na mwalimu wao Kuwa haya hii Kwa kiswahili Ina maana hii

Hiyo hali inawafanya waislamu wengi Hadi kufkia hatua ya ukubwa hawajui haya nyingi za Quran Zina maana Gani Kwa kiswahili ispokuwa wamemeza tu kiarabu, Muslim walikuwa wanahisi kama ni kuishusha hadhi/Thamani Quran kama ikitafriwa, wamekuja kushtuka Kuwa translation inasaidia kusambaa na kueleweka muda kidogo umeenda

4. Matumizi, Bible inatumika sana kwenye kila jamii, angalia mifano misibani, harusi,sherehe mbali mbali maneno yatakayo ongewa hapo ni kwa kiswahili kwahiyo awepo, budha,muhindi,Muslim,mpagani lazima ataelewa tu kinaongelewa nini, ila issue ya kiislam ata waislamu wenyewe tu wengi hawaelewi kinaongelewa nini hadi ipite tafsiri

5. Urahisi, ili kuisoma bible achilia mbali kuielewa inakubidi uwe umesoma alphabet tu za A-Z ambazo ndio utatumia shule na ata katika maongezi ya Kila siku, ila kuisoma Quran inabidi uwe umesoma symbols/Arabic alphabet ambazo huzitumii shule, Nyumbani Wala katika maongezi ya Kila siku

6. Population, kumbuka christian ni wengi kuliko Muslim katika Dunia, target lazima iwe katika idadi kubwa ya watu then badae ndio katika idadi ndogo ya watu, though mara nyingi ukifanikiwa kueleweka Kwa wengi hao wachache wanaweza kujua kupitia Kwa walio wengi sio lazima nawao uwape kipaumbele

7. Elimu, Kuna mahusiano makubwa sana katika elimu ya mtu na kuhoji juu ya haya mambo ya uumbaji na Uungu, hiyo iko wazi Muslim wengi ambao wanaijua vizuri Quran hawana shule Kichwani, hivo hawana maarifa ya kutosha kuweza kuwaza nje ya box, wao Kila kitu ni laana na hawawezi kubishana Kwa points na facts sana sana utataka upigwe albadir tu

Kwa christian ni tofaut sana, viongozi wa dini ndio asilimia Kubwa wamesoma sana hivo Wana maarifa mengi Kichwani na wanaweza ku argue Kwa fact na kutumia maandiko kama reference, hizi mada zinataka uwe free minded ila pia Kichwa iwe inachaji lasivyo utakuwa unaongea utumbo tu

Kwahiyo Mkuu Kwa mifano hiyo sidhani ata kama ungekuwa ni wewe ungekuwa unatumia Quran kama reference ilhali ni inferior almost kwenye Kila kitu dhidi ya Imani ambayo inafanana nayo, Kwa uelewa wangu me naona hizo ndio sababu Kwanini mara nyingi Quran haitumiki kama reference
 
Aisee pole sana kwa kufungiwa account, mimi mwenyewe kuna vitu imenibidi nisiviandike kabisa kwenye huu uzi.
naungana na wewe hata Mimi nimeacha kumwaga details wafia dini wananiandama sana,now sitaki Tena kuendeleza ligi na wajinga Fulani wanaotaka kunitoa kwenye reli nimejua hawapo kujifunza ila kutetea Imani zao Kwa Nguvu sana,
Ila wenye fahamu watie akilini Haya tulioshare mpaka hapa,wajiongeze mbele Kwa mbele Kwa mbele tushagusia baadhi ya maswala KAZI ni kwao!
 
shukrani mkuu umemjibu vema,ujue now nishachoka kujibu humu naona watu wanauliza maswali mepesi ya kujiongeza tu sijui ndio ubishi au ndio kukaza mishipa kutetea dini zao,maana unaona kabisa Mtu anauliza swali Ili kushindana na Sio kujifunza now nawapuuzia nishachoka kujibishana na Brain washed!
 
Ndugu huu ni mjadala, hachana nao, kama ni kujibu jibu maswali ambayo ni relevant na yenye logic tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…