Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Inashangaza watu wa kizaz cha leo kujidanganya kuwa eti wamestaharabika na wapo ktk nyakati zenye maendeleo na technologies kubwa kulko nyakati zlzopita[emoji23].

Ukweli ni kwamba, maisha ya sasa na maendeleo ya sas ni kivuli cha maisha yaliyopita, yaan namaanisha maisha ya vizaz vya watu wa kale ndio yamepelekea hivi leo tunatumia theories & concepts zao zote ktk maisha.

Waafrika waishio Afrika Wengi hawajui hii history sabbu ya changamoto za kikoloni zilizopelekea wao kusoma aina moja ya elimu za uongo ambazo zimo ktk dini za uislam na ukristo, bila kusahau zile elimu uchwara za mashuleni, hizo zote zmepelekea waafrika kuwa brainwashed kwa kutojua upi ukwel.

Ni kwel hayo mtoa mada aliyoyaandika japo naye kuna mambo kachapia, eeh kachapia maana hata hizo tablets za ancients Sumerians zmeshapita ktk mikono ya wahuni wa sasa na kupelekea kuchakachua baazi ya maandiko na kuacha public yale waliyoona hayana madhara kwa jamii ikijua.

Ukweli ni kwamba, KtK ulimwengu wa Viumbe wasio wa kibinadamu(mbingu), kuliibuka mgogoro, ambao ulipelekea kiongoz wa mgogoro huo kufukuzwa ktk himaya ya viumbe hao wa kiroho.

Kufukuzwa kwa kiumbe huyu, kulimpa hasira na kumfanya aunde mbinu za kupambana na MKUU wa Uumbaji wa Roho zote na Limwengu&malimwengu yote,ambapo wana dini wanamuita huyu MUNGU.

Sasa baada ya Huyo Mungu kumuumba mtu kutoka ktk udongo mweusi na kupelekea kuibuka kwa kiumbe mtu mweus ambaye ndye huyo dini za uongo zinamuonesha kama mzungu na kumuita Adamu.

Kiukwel huyo mtu alikuwa mweus kwakuwa katoka ktk tope jeusi.

Baada ya yule msaliti aliyefukuzwa ktk ulimwengu wa Kiroho(mbingu) kufahamu kuwa kuna kiumbe kaumbwa dunian na kuna viumbe wengine wengi wameumbwa, akaamua kuchukua majeshi yake na kuja dunian kumuhadaa huyu mtu,

japo alifanikiwa kumdanganya kwa mambo mengi lkn ajenda yake haikufanikiwa, mpka pale idadi ya watu weusi dunian kuongezeka na kutapakaa kila sehemu, ndipo kiumbe huyo(shetan) alirudi upya na majeshi yake ya Viumbe wa kiroho(malaika) wakajibadili maumbo yao na mionekano yao ili wafanane na watu weusi, na ndipo waliibuka ktk maeneo mbalimbali na kujichukulia mabinti na kuzaa nao.

Hawakuishia kuzaa na binti wa watu, bali mpka kwa wanyama, na samaki.

Matokeo yake liliibuka Zao la machotara tokea kila aina ya mimea,wanyama na watu walio shiriki Ngono na hao viumbe,

machotara hao kwa upande wa kiutu ndio hayo majitu makubwa na uzao wa binadamu ukatokea, ujue kutofautisha kati ya binadamu na mtu ni vitu viwil tofauti.

Uzao wa binadamu inamaanisha watoto machotara waliozaliwa kwa muingiliano wa binti wa watu na viumbe wa kiroho kutoka ktk ulimwengu tofauti, na matokeo yake ni haya matoto kukosa Asilimia za utu katika miili yao na kupelekea ngoz zao kuwa nyeupe sabbu ya DNA zao za muingiliano wa viumbe wa aina tofauti.

Hata ktk wanyama yaliibuka maviumbe ya ajabu na makubwa mifano ni mingi sana, kama wale dainaso mnaowaona ktk tv, samaki watu, farasi watu, nyoka watu, masokwe&nyani, na jamii zote za mahomo sapiens,.

Lengo la huyu msaliti(shetani) kuleta Viumbe Chotara , ilikuwa ni kuuwa asili iliyoumbwa na Mungu kwa kuleta ushindani na kufuta asili yote kwa kuweka viumbe fake,na ufake huu unaendelea mpka leo kwa dada zetu kufake mionekano yao ili wafanane na hayo machotara/manefili ya kizungu,kiarabu,kihindi,china na weupe wote.

Baada ya kuibuka kwa hao viumbe, dunia ilichafuka kwa maovu mengi yaliyopelekea umwagikaj damu wa wanyama wasio na hatia pia watu Og kuonewa na hao wanadamu ambao walikuwa na nguvu za kiroho walizorithi kutoka kwa baba zao yaan wale fallen Aliens/angels, pia walikuwa na nguvu za kimwil sabbu ya mionekano yao, hii ilipelea uonevu mkubwa sana kwa jamii za watu weus ambao miili yao ilikuwa normal kulngana na uumbaji wao OG.

Falme nyingi za machotara ziliibuka ambazo zilideal na machukizo mengi sana mfano kufundisha watu sanaa ya vita,ulaji wa nyama za wanyama, ibada za kishetan,kuabudu sanamu, Ngono za jinsia moja, mauwaji makubwa na fujo nyingi.

Vilio vya watu Original (black people) ndvyo vilipelekea Muumba wao kuwasikia na kuamua kukifuta kizaz cha hayo machotara kupitia gharika.

Gharika ilo ndilo hata ktk dini zenu za uongo zinamtaja huyo nuhu, japo kiuhalisia nuhu wa biblia hajawai kuwepo maana ni jina la uongo lilitungwa kwa kuiba history ya mtu mweusi na kuleta hayo machukizo ya kusadikika.

Mujue kuwa ile gharika iliua hawa viumbe kimwili tu na sio kiroho,

roho zao ziliendelea kuexist mpka hiv leo, na ndizo hizo roho zinazosumbua watu, ndizo muitazo majini,mapepo,vibwengo, mizimu, hii yote ni jamii ya viumbe machotara waliokufa ktk gharika na roho zao kuendelea kuishi kiroho,lkn wakitaka kuja kimwil inawalazimu wakopi mionekano ya viumbe wa kimwil ili waonekane.

Ktk gharika ni wengi waliopona tofauti na dini zenu znavyosema walpona watu7 pekee, si kweli, watu 7 waliotajwa ni weusi tu, na baazi ya binadamu wa rangi nyeupe walioukana uovu na kuungana na mtu mweusi ndipo wokovu uo umepelekea tunaona mpka leo dunia imejazwa na watu wa kila race na rangi zao, or otherwise dunia ilitakiwa iwe imejaa watu weusi tuu, maana ndio viumbe halali kuishi dunian,

Hata huko baharini,ziwani na mitoni kuna viumbe waliofukuzwa na kufa kimwil lkn roho zao zipo hai na ndizo hizo zmeunda falme zake ambazo utakuta ktk bahar kuna majini na mashetan ambayo haya yoote mionekano yao ni binadamu weupe,

Ujuwe kuwa by Originally hakuna mzimu, pepo wala jini mweusi, bali hucopy muonekano wa mtu mweus ili kuharibu Nature, ila rangi zao halali za laana ni nyeupe Full stop.

Elimu hii ipo Deep sana siwezi eleza kila kitu hapa nitawachanganya Wajinga na wavivu wa kuelewa mambo.

Tuna mengi ya kujifunza.View attachment 2103438
Yaani kama vile leo umenipa mwanga miki miaka yote, nilikuwa najiuliza kama mungu wetu mmoja kwa nini sisi ni weusi na wazungu ni weupe?

Pili najiuliza ilikuwa kuwaje continent zikajigawa wazungu wakawa kule na weusi kule.

Achilia mbali mambo ya sayansi na geography hii kitu ilikuwa inanipa shida ,natamani uelezee zaidi.
 
Well..wakat wazungu wamekuja africa...watu wa kwanza kuwaona waazungu walihis hawa lazima ni malaika au majin...well...sabab ya mambo waaliyoweza fanya makubwa ambayo huwez imagine..ikatokea wao kuwaita miungu...baadh ya wahind wanaita ngombe mungu ushawai jiuliza ni kwann?

Same meaning.
Binafsi sielewi ndio maana nauliza hapa.
 
Kwanza wachambuz weng ni sis chriatian wenyew so unakuta mtu amesoma biblia zaid kuliko quran..muslim weng wana iman ya uoga hata kujadil chochote kuhusu wao..infact..islam ndio iko shalow zaid kuliko ukristu...ina vitu ving haviko logicaly correct..so wachambuz weng hawaiangalii sana sabab ina false nying zaid kuliko bible ..yaan kama ukilinganisha ukwel uliomo kwenye bible n quran ..ni sawa na tuseme bible ina angalau 60 na quran ina 20...so wachumbuz weng hawaikumbuk kabisaaa
Lakini si inasemwa kwamba Qur'an imecopy kwenye biblia hivyo nilitegemea kuwa hakuna tofauti.
 
swali lako la kwanza linanishangaza ni Sawa uulize Kwanini Mohammed hakuja Enzi za Musa au Ibrahim na akaja zama za za Ukristo,
Kila kitu huja Kwa wakati wake Mkuu hata Mohammed Abdulla alikuja wakati mwafaka kama ilivyo Mimi na wewe kuja Karne ya 20 na 21 Yaani tumeishi Karne mbili ni swala tu la coisendence tumejikuta hivyo,
Swala la wakristo wa mwanzo hawakua wakatoriki maana walikuwepo na wapo mpaka Leo Huko Ethiopia Toka zamani kabla Constantine hajaanzisha ukristo fake!
Mkuu nimeuliza hhivyo kwa sababu moja kuu.

Haiingii akilini kwamba wakati wote huu wakatoliki walivumilia kuitwa wapinga kristo kisha wasitafute namna au wasitafute watu wanaoaminika na jamii zao wakapanga mchongo wa kuanzisha dini mpya ambayo wataiita ndio mpinga kristo.

Bbadala yake miaka hii yote walikaa mpaka alipokuja muhammad eti ndio wakapanga nae michongo ya kuanzisha uislamu ambao utakuwa mpinga kristo.

Swali langu ni hili mkuu "kwa nini hawakuanzisha mchongo huu tokea awali badala yake wameanzisha miaka mingi baadae na Muhammad ?

Swala la wakristo wa mwanzo hawakua wakatoriki maana walikuwepo na wapo mpaka Leo Huko Ethiopia Toka zamani kabla Constantine hajaanzisha ukristo fake!
Katika maandishi mkuu ulisema kwamba wakatoliki walikuwa wanaitwa wapinga kristo,hivyo wakaona ili wasiitwe wao kwamba ni wapinga kristo waanzishe dini nyingine ambayo ndio uislamu ili huu uislamu ndo uonekane ndio unampinga kristo.

Kama ni hivi naomba msaada wa majibu ya maswali yafuatayo mkuu kama utakuwa interested.

1.je makka kulikuwa na idadi kubwa ya wakristo kwa wakati wa muhammad kuliko nchi ambazo wakatoliki walikuwa wakiishi ?

2.je kabla ya muhammad hawakuwepo watu waaminifu na wanaokubalika na jamii zao ambao wakatoliki wangewatumia kuanzisha dini mpya ?
 
Vugu Vugu la wao kuitwa wapinga kristo lilianza tu pale walipoanza kujitanua maeneo mengi na ufalme ukitumia dini kama identity Yao,Kila kitu huanza kidogo kidogo mpaka pale kinaota mizizi kamili kadri siku zilivyozidi kwenda wapingaji walikua wanazimwa kimya kimya maana walistaajabu imekuaje ule utawala uliokua wa kipagani ukituumiza wakristo original nao ujinasibu una muunga mkono kristo Huko wakiwa na mafundisho yaliyojaa upagani ndani yake?
Kumbuka Constantine alipoanzisha Ukristo kama dini ya dola lao hawakuacha kuendelea kufuata tamaduni zao za kipagani Kwa kutia masanamu,na mafundisho ya kupotosha watu,kitendo kilichowafanya wale
Pre Constantine christian kumwona ni mbwa mwitu aliyejivika ngozi za kondoo,
Kwahiyo mpaka kufika kipindi Mohammed anazaliwa hizo movement zilikuwepo na zilikua zimeota mizizi licha ya majaribio ya kuzimwa maana Kuna wakristo wengine walikimbilia Mbali kujificha Huko waliendelea na harakati zao kitendo Cha tawala kujitanua maeneo wakifika wanawakuta wakisto asilia wamekita mizizi Yao na Hapo na ndio maana wakaamua Sasa waje na mbinu hiyo ya kuanzisha dini itakayoonekana ni mpinga kristo kwao na Kwa wale asilia!
Mkuu nishukuru sana kwa ushirikiano ambao unanipa.

Ila naomba niendelee kuuliza.

Hivyo vitabu vilivyoandikwa hii inshu vina utofauti gani na vitabu vingine vya historia vilivyoandikwa na vinadaiwa kuwa ni uongo ?

Nwkusudia kusema kwamba kama wanabezwa watu wa dini kwa nini wanaamini vitabu vilivyaondikw tu,kwa nini na hicho kitabu ambacho kimeandikwa wewe unakiamini kwamba kimeeleza ukweli ?

Je Kama hizo ni propaganda tu za wapinga islamu unajiridhisha vipi mkuu ?
 
Uzi mtamu sana.

Ukweli ni kwamba hao anunaki na viumbe vingine wakina aliens na mashetani mengine wote waho wapo kwenye makundi ya malaika waasi fallen angels.
Na lengo la hao fallen angels ni kuabudiwa. Kwaiyo watatumia njia zote za kila namna kumdanganya mwanadamu.

Tatizo la watu wengi awapendi kutafakari au kufikili na kufanya utafiti wao binafsi.

Sasa lengo la kujua kua anunaki ndo walintengeneza binadamu unadhani ni nini.....maana yake kua hao anunaki uwafanye kua miungu na uhanze ibada zao za kuwaabudu. Maana kuna hadi matempo zenye ibada za kuwaabudua hao fallen angels anunaki.

Swala ambali kidogo kwangu linaweza likanihingia akilini ni wale wanaofanya meditation yaani elimu ya kujijua wewe ni nani. Kidogo hao ninaweza nikawaelewa.

Siyo kama napinga mada hapana ni moja ya elimu ya kujifunza na kutafakari. Big up sana maana katika uzi unaosisia ni huu
 
Mkuu wachunguzi wa mambo kale walipata tablets zenye Lugha za Accient Sumerian Ina Alfabet 500 hivi Lugha ya mule ni ngumu na haieleweki Yaani ni full mauza uza,endapo wakiweza kutafsiri ndio watapata kitu Cha kutuambia maana hata sisi tunawategemea wao watupe update ya kilichoandikwa mule maana ndio Kuna Siri zote za uimwengu ila kuyasoma ndio mbinde!
😁😁😁😁🔥🔥
sasa watawezaje kutafsiri hayo maandiko
 
SEHEMU YA KWANZA.

Ukweli uliofichwa, unaopatikana kwenye vipande vya mawe vyenye jumbe kutoka sumerians, Babylonians, Akkadians.

Ukizungumzia kuhusu watu wa kale, maisha ya kale na viumbe waliofika duniani kutoka sayari nyingine huwezi kuwasahau annunaki. Historia kutoka katika summerian culture inaeleza kwamba, Annunaki waliabudiwa na walihusika katika kuhukumu mema na mabaya, gods and goddesses waliokuja duniani kumtengeneza mtu (modern man) kutoka kwenye ulimwengu mwingine, ambao unasemekana ni sayari ya Nibiru (sumerian God & Goddesses -the Annunaki, 2016).

Annunaki walitawala maisha na mifumo ya imani ya watu wa kale waliojulikana kama Mesopotamia, lakini ambao kwa sasa wanajulikana kama Tigris-Euphrates river system. Je walikuwa Mungu? hili suala ambalo linazua mkanganyiko kwenye hii saga.

Zecharia Sitchin, muhandishi na mtafiti na mtafsiri maandishi ya kale na msomi kutoka chuo kikuu cha London, anasema hawakuwa Mungu, japo walichukuliwa na kuabudiwa kama Mungu. Baada ya kufanya tafiti nyingi za maandiko ya kale aliitimisha kwa kusema kwamba, hawakuwahi kuwa Mungu, bali viumbe wa ajabu wenye nguvu waliokuja duniani kutoka sayari ya mbali Nibiru inayopatikana kwwnye mfumo wa sayari, ambayo uikaribia dunia kila baada ya miaka 3,500 ikiwa kwenye muhimili wake.

Creation of Human Race
Kutokana na ushahidi uliopatikana kutoka kwenye maandiko ya kale, inasemekana zaidi ya mamia ya maelfu ya miaka iliyopita walikuja viumbe waliofanana na Annunaki kwenye sayari ya dunia- Enki na Enlil, ambao walikuwa watoto wa Annunaki, katika kipindi hicho Anu alikuwa bado anaishi hadi millennia karibu na kuzaliwa kwa Jesus Christ.

Viumbe hao walikuwa na ujuzu mkubwa katika genetic manipulation, hivyo kwa kutumia ujuzi huu walifanya majaribio mengi (proto-human) ya kumtengeneza binadamu wa sasa(modern man) kwa kutimia teknolojia ya human cloning. Kivipi?, ntaelezea mbeleni.

Hebu turudi kwanza kwenye biblia na historia ya kuumbwa kwa mwanadamu. Historia ya Biblia ya uumbaji inatueleza kwamba, mwanaume na mwanamke hawakuumbwa kwa wakati mmoja, bali mwanamke alitolewa kwenye ubavu wa mwanaume (Adam), Adam akiwa mtu wa kwanza kuumbwa hapa duniani kutokana na maandiko ya Biblia, Kwahiyo Adam ndiyo mwanadamu wa kwanza kutokana na maandiko matakatifu ya Biblia takatifu. Je mwanamke alitolewaje kwenye ubavu wa mwanaume? (hapa imani ndiyo inatuongoza tuliache kwanza lilivyo).

THE CREATION OF MAN
Ushahidi wa kwanza kabisa, uliotafsiriwa na sumerians unaonyesha ya kwamba mtu (binadamu wa sasa) alitengenezwa/kuumbwa na Nefilim. Ushahidi huu umezua mkanganyiko kuhusu theory of evolution na Judeo-Christian tenets ambayo imeegemea kwenye Biblia, lakini ukweli ni kwamba ujumbe uliopatikana kutoka Sumerian texts, ndiyo unaoweza kudhibitisha hizo nadharia mbili.

Ukisoma kutoka epic of creation ya sumerians, imeelezwa kwamba uwepo wa mtu, ulitokana na uwepo wa Nefilim zama hizo, ambapo matukio mbali mbali yalirekodiwa, ,mfano tukio la Enlil na Ninlil, tukio lililotukia kabla hata ya uumbaji wa mtu, wakati ambao kwenye Nippur waliishi gods tu, vile vile maandishi haya yanaelezea kuumbwa kwa dunia na maendeleo ya mimea na maisha ya wanyama, hii inaweza kudhibitisha theories za mabadiliko (evolution) za sasa.

Sumerians texts zinaeleza kwamba, wakati ambapo Nefilim alikuja duniani kwa mara ya kwanza, sanaa ya kupanda mbegu za mazao, matunda na ufugaji wa wanyama ulikuwa bado haujaanza duniani. Vile vile Biblia inasema hivyo, kuhusu kuumba mtu kwa siku 6. Kitabu cha Genesis kimegusia hatua za kwanza za mabadiliko (earlier evolution stage):

No plant of the cleared field was yet on the earth,

No herb that is planted had yet been grown,

And Man was not yet there to work the soil.

Lakini vile vile Sumerians texts zote zinaeleza kwamba Miungu ilimtengeneza mtu ili afanye kazi yao. Creation of epic imelithibitisha hilo (Nukuu zote nitaziambatanisha zilivyo kwenye vitabu bila kuzitafsiri ili nisipindishe maana kwa msomaji):

I will produce a lowly primitive,

Man shall be his name.

I will create a primitive worker ,

He will be charged with the service of the gods,

that they might have their ease.

Neno mtu(man) limetokana na lugha ya Sumerians na Akkadians, ambalo lilitokana na maneno lulu (primitive ), lulu amelu (primitive worker), an awilum (laborer).

Turudi kwenye biblia, baada ya Mungu kumuumba mwanadamu, akampa bustani ya Eden aitunze na kuitawala dunia na vyote vilivyomo, lakini Adam na Eve wakamkosea Mungu kwa kula tunda la mti wa ufahamu. Mungu akasema tazama, mtu amekuwa mmoja wetu, kufahamu mema na maovu. Je huyo Mungu alikuwa anamwambia nani?, na Mungu anayezungumziwa hapa katika Sumerians ni Elohim (Annunaki).

Agano la kale limeweka wazi ya kwamba mtu hakuwa Mungu wala hakutoka mbinguni. Mtu wa kwanza aliitwa Adam kwa sababu aliumbwa kwa "adama" ambayo ina maana ya udongo wa dunia (mtu akifa tunasema ametoka mavumbini, amerudi mavumbini).

Adam aliumbwa katika picha na ufanano wa Muumba (Mungu), kuumbwa kwa ufanano huo, hakuachi wasiwasi wowote ya kwamba Mtu alifanana na Mungu kimwili, kimuonekano wa nje na ndani. Je mtu angewezaje kufanana na muumba wake? Mtu alitengenezwaje? (Majibu utayapata mbeleni).

Mnamo mwaka 1859 Charles Darwin alichapisha utafiti wake kuhusu evolution "On the Origin of Species by Means of Natural Selection, or the Preservation of Favoured Races in the Struggle for Life". Darwin kutokana na utafiti wake huo, alihitimisha kwa kusema kwamba, viumbe hai wote akiwemo mwanadamu ni matokeo ya mabadiliko(evolution by natural selection). Mwanzoni kanisa lilikuja juu kwa kumpinga lakini badae kadri wanasayansi na watafiti walivyozidi kutoa machapisho yao, kanisa likakubaliana.

Lakini je tumetokana na apes, kama ni hivyo mbona wa sasa hawabadiliki. Evolution kwa ujumla inaweza kuelezea matukio yaliyosababisha mabadiliko ya maisha na aina mbali mbali za maisha zilizokuwepo duniani, kuanzia kwenye kuumbwa kwa mtu, lakini evolution haiwezi kuelezea kuhusu uwepo wa binadamu wa sasa (modern man/Homo sapiens) na haina udhibitisho wowote wa kuonyesha jinsi mabadiliko ya ghafla kutoka Homo erectus kwenda Homo sapiens yalivyotokea.

Hominid ya genus Homo ni matokea ya evolution, lakini Homo sapiens ni matokea ya tukio la mabadiliko na mapinduzi ya haraka sana. Homo sapiens(binadamu wa sasa), ilitokea miaka 300,000 iliyopita, muda ambao ni wa karibu sana.

Watafiti na wanasayansi hawana maelezo ya nini kilitokea, kupelekea mabadiliko ya ghafla hivyo na kutokea kwa binadamu wa sasa, lakini jumbe kutoka sumerians na Babylonian zimeelezea. Agano la kale pia limeelezea.

Homo sapiens-modern man-aliletwa na miungu wa kale (ancient gods).

Aliletwa kivipi? na wapi?. Endelea kufuatilia hapa hapa.

N.B. Andiko hili linaweza lisiishe karibuni kwa sababu nataka niweke kila aina ya ushahidi ili kudhibitisha ukweli huu.

View attachment 2099862
The eternals..
 
SEHEMU YA KUMI NA MBILI

COLLECTIVELY ARE WE ALL GOD?

Atheists, Pyschic & Psychic drugs, Akashic, Meditation & Incantation, Science, Uchawi na Ramli, haya yote tunakutana hapa.

Matumizi ya kwanza kabisa ya neno Mungu (God/Allah) yalianzia sumerians, likitokana na neno DIN GIR ambalo lina maana ya "the righteous ones of the sky chamber" lakini kadri lugha inavyozidi kubadilika muda baada ya muda, neno DIN GIR limekuwa translated na kujikuta tukitumia God/Allah.

Kwahiyo mtu anapo sema "sifa kwa Mungu", anamaanisha sifa kwa "the righteous ones of the sky chamber" ikiwa ni sawa sawa kabisa na yule anayesema "God bless you" anamaanisha the righteous ones of the sky chamber bless you"

Ukichukua Biblia/Quran ukabadilisha neno God/Allah na kutumia the righteous ones of the sky chamber vitabu vyote hivi vitaleta maana tofauti kabisa.

Siko hapa kuibua mgongano wa fikra kuhusu dini, bali ushahidi kuhusu ukweli wa dini hizi.

Kama kwa sasa ambavyo watu wamekuwa wakitafuta njia sahihi ya kufupisha maneno ili waweze kuyatamka kirahisi, mfano, neno cellular kwa sasa ni "cell," telephone kwa sasa ni "phone" n.k, hivyo ni rahisi kutumia neno God/Allah kuliko "the righteous ones of the sky chamber"

Kwahiyo ni wapi hili linamuacha Mungu (God)?

Nazani tunatakiwa kutazama njia mpya kwa jinsi gani tunachukulia Mungu alivyo. Watu wengi wanazani ni mtu mzee, mwenye ndevu aliyekaa mbinguni, akitutazama na kujibu maelfu na maelfu ya maombi ya kila mtu. Lakini logistically hili haliwezekani kwa omnipotent entity yeyote kufanya hivyo.

Kwahiyo ni jinsi gani tunamuelezea Mungu kwa watu wazima, ambao bado wana mafundisho ya utotoni kuhusu Mungu vichwani mwao, na ambao wana reference hiyo tu?

Makanisa na Miskiti hawatoa maelezo mazuri kuhusu Mungu tofauti na yale tunayofundishwa/tuliofundishwa tukiwa wadogo.

Lakini ni vipi kama tunaweza kutumia nadharia kuhusu Mungu alivyo that makes sense na inaweza na siku moja ikathibitishwa kisayansi?

Tumekuwa tukijiuliza sana zaidi ya mara moja kuhusu Mungu ni nani au yukoje, na inawezekana tumekuwa tukiwauliza ndugu, wazazi, priests n.k lakini mara kwa mara tunapewa jibu lile lile:
"USIULIZE KUHUSU MUNGU, ANATEMBEA KATIKA NJIA ZA MIUJIZA" au "MUNGU NI ROHO HANA MWILI."

Lakini ni kweli hapo mwanzo alikuwepo Mungu au wapinga dini wapo sahihi?

Kwangu mimi, nafikiri chochote kilichoandikwa na atheists kinaweza kuwekwa katika sentensi moja: "We don't believe in anything-the end." Kwahiyo kwa nini wanajaribu kuelezea ni kwa nini hawaamini katika chochote?

Ukitazama Universe yetu, napata ugumu sana kuamini kwamba hakuna grand architect aliyetengeneza hii universe. Hata mwanasayansi nguli duniani Albert Einstein aliwahi kusema:

"Anyone who becomes involved in the pursuit of science, becomes convinced that there is a spirit manifest in the laws of the universe, a spirit vastly superior to that of mankind"

Katika harakati zangu za kuchimba kuhusu ukweli, nikakutana na mtu anitwa Edgar Casey (March 18, 1877-January 3, 1945)

Casey alikuwa ni mkulima tu wa kawaida na hakuwa na elimu kubwa, he was fascinating man, aliwahi kutoa hotuba ya jinsi gana tunaweza kuwasiliana bila kuongea au kuandika, hotuba iliyomuweka matatani.

Kutokana na hotuba yake, kuna uwezekano mkubwa wa watu kuwasiliana on a "subconscious quantum level" na siyo kwa kupitia kuongea au kuandika tu.

Alipoulizwa anajuaje mambo hayo yote, alijibu kwa kusema kila mtu ana uwezo wa kufanya kile anachokifanya, na aliendelea kuelezea kwamba ameyafahamu na kuyajua yote hayo kutoka kwenye Akashic records.

Je Akashic ni nini?

Akashic is a sanskrit word meaning ethereal compendium of all knowledge & history.

Hii ni sawa na mainframe computer ikiwa imeunganishwa na kompyuta nyingine, na Ubongo wetu actually ni kompyuta ya kibiologia, ikiwa imeunganishwa na mainframe computer of all knowledge.

Lakini nikajiuliza, hili linawezekana kweli?

Kwa kuwaangilia watu mashuhuri katika historia kama vile Leonard Da Vinci, ambaye alibuni na kuchora michoro ya helicopters, planes, submarines na teknolojia nyinginezo zilizokuwa mbele ya muda, nikaanza kufikiria labda kulikuwa na kitu katika hili.

Mr. Casey pia alilielezea hili katika Akashic field, TIME HAS NO DISTINCTION:Hii ikiwa na maana ya kwamba wakati uliopita, wakati uliopo/sasa na wakati ujao are all happening at once.

Je Mr. Da Vinci, Nostradamis, Archimedes did they tap into this field? Maybe even all of this great figures subconsciously tapped into this field of knowledge far into the future - watu kama Einstein, Von Braun, Oppenheimer na Tesler.

Je walikuwa na uwezo huo pia?

Kama tukikichukua kile alichokisema Casey kwamba wote tunao huo uwezo na infact kwa pamoja sote ni Mungu (God) - then why not?

Ina make sense logistically kwamba minds zote zipo kwenye mawasiliano moja kwa nyingine, kuliko kiumbe mmoja tu(omnipotent being) kujaribu kuwasiliana na kujibu maombi ya kila mtu.

Je hili linatokeaje? Ntajaribu kuelezea kwa facts na mifano hai, hili isionekana ni hadithi tu ya kusimulia.

Kwanza hebu tutazame ni jinsi gani tunawasiliana on quantum level, kama wanasayansi walivyoligundua hili na kuweka mkazo zaidi. Group la wanasayansi wa Ujerumani waliamua kuchukua living cells kutoka kwa mtu aliyejitolea, na kuziweka kwenye petri dish, na kuziweka miles 100 away kwenye maabara nyingine. Waliweza kurekodi reaction za cells kwenye petri dish kama walivyo test on the subject na kugundua kwamba hata kama cell zilitolewa from the subject & placed 100 miles away, they reacted along with the cells of the test subject.

Are we all connected? Uthibitisho wa jaribio hilo, unaweka wazi uwezekano huo, vile vile inaweka uwezekano wa kuwasiliana na waliokufa, kama Mr. Casey alivyosema katika Akashic field.

Muda hauna utofauti (Time has no distinction) na hili linaweza kumaanisha kwamba, you are actually not communicating with the dead but with that person alive in his own time, whether it be past, present, or future."

Ugunduzi huu unatuambia kwamba cell zetu zinawasiliana, so is it then possible that they communicate with other people's cells?

Is this how PSYCHICS communicate?

Tunajua kwamba KGB na CIA wana watu katika programs kama vile MK Ultra, designed to mind control na kuwafundisha remote viewers to give a detailed description of distant places wanapotakiwa kufanya hivyo.

Mmoja wao alipoulizwa wanawezaje kufanya hivyo, alijibu kwa kusema ameunganishwa kwenye akili ya mtu wa eneo hilo & was able to see through his eyes.

Lakini hii ni fact, kwa sababu KGB na CIA walikuwa/wanao hao watu wenye uwezo wa kucontrol mind ya mtu, na mtu yeyote anaweza kupewa mafunzo jinsi ya kufanya hivyo kama alivyo elezea mmoja wao kwenye interview:

Police & FBI wanafahamika kwa kuwatumia psychics kutafuta na kubaini crimes na psychic mmoja alipoulizwa aliwezaje kubaini mwili wa murder victim, alielezea kwamba, aliwasiliana na mind of murderer ili kujua ni sehemu gani mwili ulipo.

Is God the collective consciousness of all livings beings?

Ilikuwa mwaka 1927 katika 5th Solvay conference mjini Brussels nchini Ubelgiji pale nadharia ya tabia za quantum mechanics(the subject of consciousness & the atomic world was at hand) ilipowekwa wazi, huku wakiwepo greatest minds in physics kama vile Curie, Heisenberg, Bohr, Lindman, na Plank kwa kuwataja wachache.

Heisenberg na Bohr approached Einstein with a new theory: THAT THE MINDS OF THE RESEARCHERS WERE AFFECTING THE RESULTS OF THE EXPERIMENTS. Einstein hakukubaliana nao kwa mara ya kwanza, lakini miaka michache mbeleni alikuja kukubali kwamba inatokea.

"All matters originates and exists only by virtue of a force, we must assume behind this force is the existence of a conscious and intelligent mind, this mind is the matrix of all matter."

Max Plank (Father of Quantum Physics)

"Current science can not handle or explain consciousness, so whenever there is a human observer present at an experiment, he causes a collapse of the wave function. A wave function is a mathematical construct that accurately predicts the probabilities of the outcomes of an experiment, but whenever there is a human present, he causes a collapse of the wave function, therefore rendering the experiment useless."

So they now isolate any human presence from the experiment sa as not to affect the outcome.

Kiukweli minds zetu are more powerful kuliko tunavyo amini, na zinafanya kazi constantly on a subconscious level.

Naomba ufanye jaribio kidogo, jaribu kutulia bila kufanya chochote, then utuambie ni vitu gani unaviona kwenye mind yako, uoni kama unawasiliana na minds zingine?, unaona mind yako ina operate vipi?, alafu utuambie.

Hii ndiyo sehemu ya mwisho katika muendelezo wa thread hii.

Central-elements-of-Quantum-Physics-theory-such-as-uncertainty-wave-particle-duality.jpg

main-qimg-c2ca7ed5d1868c091b4f6dafe3da75b6-lq.jpeg

com-1.jpg
 
Uzi mtamu sana.

Ukweli ni kwamba hao anunaki na viumbe vingine wakina aliens na mashetani mengine wote waho wapo kwenye makundi ya malaika waasi fallen angels.
Na lengo la hao fallen angels ni kuabudiwa. Kwaiyo watatumia njia zote za kila namna kumdanganya mwanadamu.

Tatizo la watu wengi awapendi kutafakari au kufikili na kufanya utafiti wao binafsi.

Sasa lengo la kujua kua anunaki ndo walintengeneza binadamu unadhani ni nini.....maana yake kua hao anunaki uwafanye kua miungu na uhanze ibada zao za kuwaabudu. Maana kuna hadi matempo zenye ibada za kuwaabudua hao fallen angels anunaki.

Swala ambali kidogo kwangu linaweza likanihingia akilini ni wale wanaofanya meditation yaani elimu ya kujijua wewe ni nani. Kidogo hao ninaweza nikawaelewa.

Siyo kama napinga mada hapana ni moja ya elimu ya kujifunza na kutafakari. Big up sana maana katika uzi unaosisia ni huu
Kuna kitu hukijui bwana mkubwa hivi unajua Nini kuhusu ANNUNAKI?
Tunaposema ANNUNAKI elewa ya kwamba huo ni Muunganiko wa viumbe wanaosimamia Nguvu kuu mno Yaani nikiwa na maana ya Mungu Mkuu ambaye anaongoza kanuni na mambo yote ya viumbe wa kimwili na kiroho,
Yaani kumtenganisha ANNUNAKI na huyo Mungu wenu wa hizo Dini zenu utakua ni Wendawazimu maana nae ni Mmoja wa hao,
Wengi wenu Bado hamjajua Bado
ANNUNAKI wanaongozwa na ANU ambaye ndie Nguvu kuu
Akifuatiwa na
Murduc ambaye ni msimamizi Mkuu wa viumbe vyote vya kimwili na kiroho akifuatiwa na Miungu Wengine wengi sana Kwa majina Yao hao ndio wasimamizi na watenda KAZI wa mambo mbali mbali hivyo mtoa mada aliposema binadamu wa kwanza aliumbwa na Annunaki usijichanganye ukadhani ni tofauti na Mungu unaemdhania wewe Bali ni moja ya viumbe kutoka Kwa Ile Nguvu kuu Yaani ANU ndio iliyowapa Nguvu na mamlaka ya kufanya vile hata kama hao viumbe Sio Mungu unaemdhania wewe hapa tunamzungumzia Nguvu na ujuzi waliotumia yatoka kwake!
 
Yaani kama vile leo umenipa mwanga miki miaka yote, nilikuwa najiuliza kama mungu wetu mmoja kwa nini sisi ni weusi na wazungu ni weupe?

Pili najiuliza ilikuwa kuwaje continent zikajigawa wazungu wakawa kule na weusi kule.

Achilia mbali mambo ya sayansi na geography hii kitu ilikuwa inanipa shida ,natamani uelezee zaidi.
Ndyo ukweli huu ambao ukiwauliza wachungaj, mashekhe, na wanasayansi, watakupa majibu mepesi ambayo yanaficha ukweli, na pengine hata wamaweza kukushughulikia mapema ili usisambaze ujumbe huo kwa wngine, mimi nina ushahidi wa hawa wamiliki wa mitandao kujaribu kuzuia accounts kadhaa za social network zilizokuwa zikihoji ukweli wa mambo haya.

Chaajabu mpka viongoz wa dini wanaungana ktk kuupoteza ukweli huu, kuna bwana mmoja alishughulikiwa na watu wa dini, sabbu ya kutoa ukweli ambao kamwe hausemwi wala kufundishwa mashuleni, mimi pia ni muhanga wa kufungiwa akaunti zaid ya mara4
 
SEHEMU YA KUMI NA MBILI

COLLECTIVELY ARE WE ALL GOD?

Atheists, Pyschic & Psychic drugs, Akashic, Meditation & Incantation, Science, Uchawi na Ramli, haya yote tunakutana hapa.

Matumizi ya kwanza kabisa ya neno Mungu (God/Allah) yalianzia sumerians, likitokana na neno DIN GIR ambalo lina maana ya "the righteous ones of the sky chamber" lakini kadri lugha inavyozidi kubadilika muda baada ya muda, neno DIN GIR limekuwa translated na kujikuta tukitumia God/Allah.

Kwahiyo mtu anapo sema "sifa kwa Mungu", anamaanisha sifa kwa "the righteous ones of the sky chamber" ikiwa ni sawa sawa kabisa na yule anayesema "God bless you" anamaanisha the righteous ones of the sky chamber bless you"

Ukichukua Biblia/Quran ukabadilisha neno God/Allah na kutumia the righteous ones of the sky chamber vitabu vyote hivi vitaleta maana tofauti kabisa.

Siko hapa kuibua mgongano wa fikra kuhusu dini, bali ushahidi kuhusu ukweli wa dini hizi.

Kama kwa sasa ambavyo watu wamekuwa wakitafuta njia sahihi ya kufupisha maneno ili waweze kuyatamka kirahisi, mfano, neno cellular kwa sasa ni "cell," telephone kwa sasa ni "phone" n.k, hivyo ni rahisi kutumia neno God/Allah kuliko "the righteous ones of the sky chamber"

Kwahiyo ni wapi hili linamuacha Mungu (God)?

Nazani tunatakiwa kutazama njia mpya kwa jinsi gani tunachukulia Mungu alivyo. Watu wengi wanazani ni mtu mzee, mwenye ndevu aliyekaa mbinguni, akitutazama na kujibu maelfu na maelfu ya maombi ya kila mtu. Lakini logistically hili haliwezekani kwa omnipotent entity yeyote kufanya hivyo.

Kwahiyo ni jinsi gani tunamuelezea Mungu kwa watu wazima, ambao bado wana mafundisho ya utotoni kuhusu Mungu vichwani mwao, na ambao wana reference hiyo tu?

Makanisa na Miskiti hawatoa maelezo mazuri kuhusu Mungu tofauti na yale tunayofundishwa/tuliofundishwa tukiwa wadogo.

Lakini ni vipi kama tunaweza kutumia nadharia kuhusu Mungu alivyo that makes sense na inaweza na siku moja ikathibitishwa kisayansi?

Tumekuwa tukijiuliza sana zaidi ya mara moja kuhusu Mungu ni nani au yukoje, na inawezekana tumekuwa tukiwauliza ndugu, wazazi, priests n.k lakini mara kwa mara tunapewa jibu lile lile:
"USIULIZE KUHUSU MUNGU, ANATEMBEA KATIKA NJIA ZA MIUJIZA" au "MUNGU NI ROHO HANA MWILI."

Lakini ni kweli hapo mwanzo alikuwepo Mungu au wapinga dini wapo sahihi?

Kwangu mimi, nafikiri chochote kilichoandikwa na atheists kinaweza kuwekwa katika sentensi moja: "We don't believe in anything-the end." Kwahiyo kwa nini wanajaribu kuelezea ni kwa nini hawaamini katika chochote?

Ukitazama Universe yetu, napata ugumu sana kuamini kwamba hakuna grand architect aliyetengeneza hii universe. Hata mwanasayansi nguli duniani Albert Einstein aliwahi kusema:

"Anyone who becomes involved in the pursuit of science, becomes convinced that there is a spirit manifest in the laws of the universe, a spirit vastly superior to that of mankind"

Katika harakati zangu za kuchimba kuhusu ukweli, nikakutana na mtu anitwa Edgar Casey (March 18, 1877-January 3, 1945)

Casey alikuwa ni mkulima tu wa kawaida na hakuwa na elimu kubwa, he was fascinating man, aliwahi kutoa hotuba ya jinsi gana tunaweza kuwasiliana bila kuongea au kuandika, hotuba iliyomuweka matatani.

Kutokana na hotuba yake, kuna uwezekano mkubwa wa watu kuwasiliana on a "subconscious quantum level" na siyo kwa kupitia kuongea au kuandika tu.

Alipoulizwa anajuaje mambo hayo yote, alijibu kwa kusema kila mtu ana uwezo wa kufanya kile anachokifanya, na aliendelea kuelezea kwamba ameyafahamu na kuyajua yote hayo kutoka kwenye Akashic records.

Je Akashic ni nini?

Akashic is a sanskrit word meaning ethereal compendium of all knowledge & history.

Hii ni sawa na mainframe computer ikiwa imeunganishwa na kompyuta nyingine, na Ubongo wetu actually ni kompyuta ya kibiologia, ikiwa imeunganishwa na mainframe computer of all knowledge.

Lakini nikajiuliza, hili linawezekana kweli?

Kwa kuwaangilia watu mashuhuri katika historia kama vile Leonard Da Vinci, ambaye alibuni na kuchora michoro ya helicopters, planes, submarines na teknolojia nyinginezo zilizokuwa mbele ya muda, nikaanza kufikiria labda kulikuwa na kitu katika hili.

Mr. Casey pia alilielezea hili katika Akashic field, TIME HAS NO DISTINCTION:Hii ikiwa na maana ya kwamba wakati uliopita, wakati uliopo/sasa na wakati ujao are all happening at once.

Je Mr. Da Vinci, Nostradamis, Archimedes did they tap into this field? Maybe even all of this great figures subconsciously tapped into this field of knowledge far into the future - watu kama Einstein, Von Braun, Oppenheimer na Tesler.

Je walikuwa na uwezo huo pia?

Kama tukikichukua kile alichokisema Casey kwamba wote tunao huo uwezo na infact kwa pamoja sote ni Mungu (God) - then why not?

Ina make sense logistically kwamba minds zote zipo kwenye mawasiliano moja kwa nyingine, kuliko kiumbe mmoja tu(omnipotent being) kujaribu kuwasiliana na kujibu maombi ya kila mtu.

Je hili linatokeaje? Ntajaribu kuelezea kwa facts na mifano hai, hili isionekana ni hadithi tu ya kusimulia.

Kwanza hebu tutazame ni jinsi gani tunawasiliana on quantum level, kama wanasayansi walivyoligundua hili na kuweka mkazo zaidi. Group la wanasayansi wa Ujerumani waliamua kuchukua living cells kutoka kwa mtu aliyejitolea, na kuziweka kwenye petri dish, na kuziweka miles 100 away kwenye maabara nyingine. Waliweza kurekodi reaction za cells kwenye petri dish kama walivyo test on the subject na kugundua kwamba hata kama cell zilitolewa from the subject & placed 100 miles away, they reacted along with the cells of the test subject.

Are we all connected? Uthibitisho wa jaribio hilo, unaweka wazi uwezekano huo, vile vile inaweka uwezekano wa kuwasiliana na waliokufa, kama Mr. Casey alivyosema katika Akashic field.

Muda hauna utofauti (Time has no distinction) na hili linaweza kumaanisha kwamba, you are actually not communicating with the dead but with that person alive in his own time, whether it be past, present, or future."

Ugunduzi huu unatuambia kwamba cell zetu zinawasiliana, so is it then possible that they communicate with other people's cells?

Is this how PSYCHICS communicate?

Tunajua kwamba KGB na CIA wana watu katika programs kama vile MK Ultra, designed to mind control na kuwafundisha remote viewers to give a detailed description of distant places wanapotakiwa kufanya hivyo.

Mmoja wao alipoulizwa wanawezaje kufanya hivyo, alijibu kwa kusema ameunganishwa kwenye akili ya mtu wa eneo hilo & was able to see through his eyes.

Lakini hii ni fact, kwa sababu KGB na CIA walikuwa/wanao hao watu wenye uwezo wa kucontrol mind ya mtu, na mtu yeyote anaweza kupewa mafunzo jinsi ya kufanya hivyo kama alivyo elezea mmoja wao kwenye interview:

Police & FBI wanafahamika kwa kuwatumia psychics kutafuta na kubaini crimes na psychic mmoja alipoulizwa aliwezaje kubaini mwili wa murder victim, alielezea kwamba, aliwasiliana na mind of murderer ili kujua ni sehemu gani mwili ulipo.

Is God the collective consciousness of all livings beings?

Ilikuwa mwaka 1927 katika 5th Solvay conference mjini Brussels nchini Ubelgiji pale nadharia ya tabia za quantum mechanics(the subject of consciousness & the atomic world was at hand) ilipowekwa wazi, huku wakiwepo greatest minds in physics kama vile Curie, Heisenberg, Bohr, Lindman, na Plank kwa kuwataja wachache.

Heisenberg na Bohr approached Einstein with a new theory: THAT THE MINDS OF THE RESEARCHERS WERE AFFECTING THE RESULTS OF THE EXPERIMENTS. Einstein hakukubaliana nao kwa mara ya kwanza, lakini miaka michache mbeleni alikuja kukubali kwamba inatokea.

"All matters originates and exists only by virtue of a force, we must assume behind this force is the existence of a conscious and intelligent mind, this mind is the matrix of all matter."

Max Plank (Father of Quantum Physics)

"Current science can not handle or explain consciousness, so whenever there is a human observer present at an experiment, he causes a collapse of the wave function. A wave function is a mathematical construct that accurately predicts the probabilities of the outcomes of an experiment, but whenever there is a human present, he causes a collapse of the wave function, therefore rendering the experiment useless."

So they now isolate any human presence from the experiment sa as not to affect the outcome.

Kiukweli minds zetu are more powerful kuliko tunavyo amini, na zinafanya kazi constantly on a subconscious level.

Naomba ufanye jaribio kidogo, jaribu kutulia bila kufanya chochote, then utuambie ni vitu gani unaviona kwenye mind yako, uoni kama unawasiliana na minds zingine?, unaona mind yako ina operate vipi?, alafu utuambie.

Hii ndiyo sehemu ya mwisho katika muendelezo wa thread hii.

View attachment 2118754

View attachment 2118755

View attachment 2118757

mtu chake pitia hapa uone atheists wanaamini katika nini.
 
Ndyo ukweli huu ambao ukiwauliza wachungaj, mashekhe, na wanasayansi, watakupa majibu mepesi ambayo yanaficha ukweli, na pengine hata wamaweza kukushughulikia mapema ili usisambaze ujumbe huo kwa wngine, mimi nina ushahidi wa hawa wamiliki wa mitandao kujaribu kuzuia accounts kadhaa za social network zilizokuwa zikihoji ukweli wa mambo haya.

Chaajabu mpka viongoz wa dini wanaungana ktk kuupoteza ukweli huu, kuna bwana mmoja alishughulikiwa na watu wa dini, sabbu ya kutoa ukweli ambao kamwe hausemwi wala kufundishwa mashuleni, mimi pia ni muhanga wa kufungiwa akaunti zaid ya mara4

Aisee pole sana kwa kufungiwa account, mimi mwenyewe kuna vitu imenibidi nisiviandike kabisa kwenye huu uzi.
 
Ok vizuri sana mkuu, ila mkuu unafikiri kwanini kwenye mada hizi huwa inatumika sana biblia kwenye kutolea mifano na kwa nadra kuona ikitumika qur'an, kwanini unadhani iko hivyo kwa experience yako?

Nina shauku tu ya kujua hili maana nimelifuatilia sana.
Mkuu iko Hivi, ni Kweli Bible na Quran hazina tofauti kubwa kwenye maandiko Yao na nilichokuja kugundua ata hizo tofauti ambazo Zipo kwenye Quran ni kwa sababu waliona kwenye bible kama hazimake sense so wakawa wanachange, kumbuka Quran/Islam ndo kwanza una miaka 1500 tu

Mfano angalia story ya kuzaliwa Kwa yesu katika Bible na Quran utakuja kuona kwamba kwenye Quran walitwist ili story imake sense, turudi kwenye swali lako la msingi Kwanini reference inatoka sana kwenye bible na sio Quran

1. Dhana ya kwamba bible na Quran ni kitu kimoja, Yani copy and paste pia hupelekea bible kutumika Zaid kama reference, Kwa maana kwamba ukisoma huku ni sawa na huko

2. Fame, Bible ni maarufu kuliko Quran, ata katika maisha ya kawaida we hapo ukiwa una mfanano na Diamond platinum, watu watasema we jamaa umefanana na Diamond na hawatosema s Diamond kafanana na wewe

3. Kusambaa/kuenea, Bible Ina Zaidi ya miaka 100 tangu itafsiriwe kiswahili na ina miaka Zaidi ya 500 tangu itafsiriwe katika lugha zingine, Bible/Christin wamekuwa hawaoni tabu kumrahisishia mtu yoyote yule kujua maandiko ila Quran wamechelewa sana kuja kufanya tafsiri ya kiarabu kwenda lugha zingine

Kuna wakristo wengi sana wanajua vifungu maarufu katika Bible kutokana na wengi wao kupitia mafundisho enzi za utoto maana wanasoma Kwa kiswahili, pamoja na kwamba watoto wa kiislam pia wanaenda madrasa ila wanafanya kukremu tu ila hawaelewi hadi watafsriwe na mwalimu wao Kuwa haya hii Kwa kiswahili Ina maana hii

Hiyo hali inawafanya waislamu wengi Hadi kufkia hatua ya ukubwa hawajui haya nyingi za Quran Zina maana Gani Kwa kiswahili ispokuwa wamemeza tu kiarabu, Muslim walikuwa wanahisi kama ni kuishusha hadhi/Thamani Quran kama ikitafriwa, wamekuja kushtuka Kuwa translation inasaidia kusambaa na kueleweka muda kidogo umeenda

4. Matumizi, Bible inatumika sana kwenye kila jamii, angalia mifano misibani, harusi,sherehe mbali mbali maneno yatakayo ongewa hapo ni kwa kiswahili kwahiyo awepo, budha,muhindi,Muslim,mpagani lazima ataelewa tu kinaongelewa nini, ila issue ya kiislam ata waislamu wenyewe tu wengi hawaelewi kinaongelewa nini hadi ipite tafsiri

5. Urahisi, ili kuisoma bible achilia mbali kuielewa inakubidi uwe umesoma alphabet tu za A-Z ambazo ndio utatumia shule na ata katika maongezi ya Kila siku, ila kuisoma Quran inabidi uwe umesoma symbols/Arabic alphabet ambazo huzitumii shule, Nyumbani Wala katika maongezi ya Kila siku

6. Population, kumbuka christian ni wengi kuliko Muslim katika Dunia, target lazima iwe katika idadi kubwa ya watu then badae ndio katika idadi ndogo ya watu, though mara nyingi ukifanikiwa kueleweka Kwa wengi hao wachache wanaweza kujua kupitia Kwa walio wengi sio lazima nawao uwape kipaumbele

7. Elimu, Kuna mahusiano makubwa sana katika elimu ya mtu na kuhoji juu ya haya mambo ya uumbaji na Uungu, hiyo iko wazi Muslim wengi ambao wanaijua vizuri Quran hawana shule Kichwani, hivo hawana maarifa ya kutosha kuweza kuwaza nje ya box, wao Kila kitu ni laana na hawawezi kubishana Kwa points na facts sana sana utataka upigwe albadir tu

Kwa christian ni tofaut sana, viongozi wa dini ndio asilimia Kubwa wamesoma sana hivo Wana maarifa mengi Kichwani na wanaweza ku argue Kwa fact na kutumia maandiko kama reference, hizi mada zinataka uwe free minded ila pia Kichwa iwe inachaji lasivyo utakuwa unaongea utumbo tu

Kwahiyo Mkuu Kwa mifano hiyo sidhani ata kama ungekuwa ni wewe ungekuwa unatumia Quran kama reference ilhali ni inferior almost kwenye Kila kitu dhidi ya Imani ambayo inafanana nayo, Kwa uelewa wangu me naona hizo ndio sababu Kwanini mara nyingi Quran haitumiki kama reference
 
Aisee pole sana kwa kufungiwa account, mimi mwenyewe kuna vitu imenibidi nisiviandike kabisa kwenye huu uzi.
naungana na wewe hata Mimi nimeacha kumwaga details wafia dini wananiandama sana,now sitaki Tena kuendeleza ligi na wajinga Fulani wanaotaka kunitoa kwenye reli nimejua hawapo kujifunza ila kutetea Imani zao Kwa Nguvu sana,
Ila wenye fahamu watie akilini Haya tulioshare mpaka hapa,wajiongeze mbele Kwa mbele Kwa mbele tushagusia baadhi ya maswala KAZI ni kwao!
 
Mkuu iko Hivi, ni Kweli Bible na Quran hazina tofauti kubwa kwenye maandiko Yao na nilichokuja kugundua ata hizo tofauti ambazo Zipo kwenye Quran ni kwa sababu waliona kwenye bible kama hazimake sense so wakawa wanachange, kumbuka Quran/Islam ndo kwanza una miaka 1500 tu

Mfano angalia story ya kuzaliwa Kwa yesu katika Bible na Quran utakuja kuona kwamba kwenye Quran walitwist ili story imake sense, turudi kwenye swali lako la msingi Kwanini reference inatoka sana kwenye bible na sio Quran

1. Dhana ya kwamba bible na Quran ni kitu kimoja, Yani copy and paste pia hupelekea bible kutumika Zaid kama reference, Kwa maana kwamba ukisoma huku ni sawa na huko

2. Fame, Bible ni maarufu kuliko Quran, ata katika maisha ya kawaida we hapo ukiwa una mfanano na Diamond platinum, watu watasema we jamaa umefanana na Diamond na hawatosema s Diamond kafanana na wewe

3. Kusambaa/kuenea, Bible Ina Zaidi ya miaka 100 tangu itafsiriwe kiswahili na ina miaka Zaidi ya 500 tangu itafsiriwe katika lugha zingine, Bible/Christin wamekuwa hawaoni tabu kumrahisishia mtu yoyote yule kujua maandiko ila Quran wamechelewa sana kuja kufanya tafsiri ya kiarabu kwenda lugha zingine

Kuna wakristo wengi sana wanajua vifungu maarufu katika Bible kutokana na wengi wao kupitia mafundisho enzi za utoto maana wanasoma Kwa kiswahili, pamoja na kwamba watoto wa kiislam pia wanaenda madrasa ila wanafanya kukremu tu ila hawaelewi hadi watafsriwe na mwalimu wao Kuwa haya hii Kwa kiswahili Ina maana hii

Hiyo hali inawafanya waislamu wengi Hadi kufkia hatua ya ukubwa hawajui haya nyingi za Quran Zina maana Gani Kwa kiswahili ispokuwa wamemeza tu kiarabu, Muslim walikuwa wanahisi kama ni kuishusha hadhi/Thamani Quran kama ikitafriwa, wamekuja kushtuka Kuwa translation inasaidia kusambaa na kueleweka muda kidogo umeenda

4. Matumizi, Bible inatumika sana kwenye kila jamii, angalia mifano misibani, harusi,sherehe mbali mbali maneno yatakayo ongewa hapo ni kwa kiswahili kwahiyo awepo, budha,muhindi,Muslim,mpagani lazima ataelewa tu kinaongelewa nini, ila issue ya kiislam ata waislamu wenyewe tu wengi hawaelewi kinaongelewa nini hadi ipite tafsiri

5. Urahisi, ili kuisoma bible achilia mbali kuielewa inakubidi uwe umesoma alphabet tu za A-Z ambazo ndio utatumia shule na ata katika maongezi ya Kila siku, ila kuisoma Quran inabidi uwe umesoma symbols/Arabic alphabet ambazo huzitumii shule, Nyumbani Wala katika maongezi ya Kila siku

6. Population, kumbuka christian ni wengi kuliko Muslim katika Dunia, target lazima iwe katika idadi kubwa ya watu then badae ndio katika idadi ndogo ya watu, though mara nyingi ukifanikiwa kueleweka Kwa wengi hao wachache wanaweza kujua kupitia Kwa walio wengi sio lazima nawao uwape kipaumbele

Kwahiyo Mkuu Kwa mifano hiyo sidhani ata kama ungekuwa ni wewe ungekuwa unatumia Quran kama reference ilhali ni inferior almost kwenye Kila kitu dhidi ya Imani ambayo inafanana nayo, Kwa uelewa wangu me naona hizo ndio sababu Kwanini mara nyingi Quran haitumiki kama reference
shukrani mkuu umemjibu vema,ujue now nishachoka kujibu humu naona watu wanauliza maswali mepesi ya kujiongeza tu sijui ndio ubishi au ndio kukaza mishipa kutetea dini zao,maana unaona kabisa Mtu anauliza swali Ili kushindana na Sio kujifunza now nawapuuzia nishachoka kujibishana na Brain washed!
 
Ndugu huu ni mjadala, hachana nao, kama ni kujibu jibu maswali ambayo ni relevant na yenye logic tu.
 
Back
Top Bottom