Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Atheists hawaamini katika chochote.
 
Mkuu anunaki siyo story wakikupenda wanajionesha kwenye ndoto zako mimi nimewashuhudia.
Unatumia vipimo gani kujua kwamba ndoto hii unayooneshwa ina ukweli ndani yake mkuu ?
 
Anajulikana! Narudia tena, anajulikana na watoto wake! Watoto wamjua baba yao na baba awajua watoto wake! Tunamjua BABA yetu!
Sawa mkuu. Kwahiyo watoto wanamjua baba yao, ila baba yao hakuwahi kuzaa?. Wakristu wanasali kwa "jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu". Nguvu ya utatu huo mtakatifu katika nadharia nzima ya imani ya mwanadamu ni ipi?
 
Ni kweli walikuwa wakiishi kawaida ila kwa kuomba na kuabudu Mungu wao waliyomjua wao kabla ya kuletewa nadharia mpya ya Mungu na hizo dini, vipi hili nalo unaweza kulizungumziaje.
 
Huyu Annunaki yeye aliumbwa na nani mkuu? Na huyo aliyemuumba Annunaki yeye aliumbwa na nani?
 
Ndiyo maana baadhi wanasema, inawezekana Mungu mkuu wa yote na vyote ni miongoni mwa family of Annunaki, kama itakuwa hivyo, itakuwa ni sawa kusema tumetokana na Annunaki.
 
Kama alimuumba mtu mweusi tu, basi tukubaliene kwamba Dini zimeupotosha ulimwengu juu ya uumbwaji wa mwanadamu.
 
moja ni ule unyayo mkubwaaaa wa Africa kusini uko kwenye jiwe!!
Hivi hizo nyayo zinazokutwa kwenye jiwe ina maana ya kwamba mawe ya zamani walipokanyaga yalikuwa yanabonyea ?

Mbona hakuna nyayo nyingi kuna nyayo moja moja tu ?

Hao watu walikuwa na mguu mmoja ?
 
Je kwa maelezo haya, tukubaliane kwamba dini zimeudanganya ulimwengu juu ya uumbwaji wa mwanadamu?
 
Hongera mno, umesoma maandiko na kuyaelewa. Ila niulize tena Mungu anaweza kuonekana kwa macho au ni kwa ishara & miujiza tu?
 
Exactly.
 
Hivi shetani asili yake ni ipi yani malaika au kiumbe gani?
 
Je kwa maelezo haya, tukubaliane kwamba dini zimeudanganya ulimwengu juu ya uumbwaji wa mwanadamu?
Uumbwaji wa Binadamu kwa nadaharia ya Dini na vitabu vya Dini haujaelezewa kiundani na vitabu tunavyo vitumia, tusijifunge kwa kutumia reference moja tu ya vitabu tulivyo letewa na wazungu na waarabu, Vitabu orijino waliviiba kwenye maktaba ya Alexandria Misri, wakaiteketeza maktaba, wakaendanavyo kwao(Vatican) baadae wakavichakachua, wakaacha mambo yanayo wafeva wao, wakatuletea Afrika, ili waweze kututawala na kunyonya rasilimali zetu.
Tuendelee kutafuta maarifa zaidi nje ya vitabu vya Dini, kuna vitabu vingi vya kale vinaelezea nadharia ya Mungu, na uumbwaji wa mtu/mwanadamu, pamoja na ulimwengu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…