Hii kauli sio kweli,nimeiona sana humu ila nikaheshimu mjadala maana sio mada husika,ila kimsingi qurani ni kitabu kinajitegemea.Wanasema hivyo vitabu vyengine vimecopy kwenye biblia ndio maana hapa reference ni kutoka kwenye biblia tu.
Labda wao wenyewe wanazo hoja zenye kuonesha Qur'an imecopy Biblia, ila sema ndio hivyo ni nje mada.Hii kauli sio kweli,nimeiona sana humu ila nikaheshimu mjadala maana sio mada husika,ila kimsingi qurani ni kitabu kinajitegemea.
Qurani inazungumzia Mungu mmoja wakati huo bibilia inasema tofauti,ingeku2a imekopi basi ingesema kama ilivyosema bibilia.
Kuna mambo mengi ya kuthibitisha kwamba Qurani haijakopi bibilia,
Anaweza kuwa anajulikana kwa sifa zake, ila hatujuhi alipo na hajawahi kuonekana. Je ni yapi maoni yako wewe juu ya kauli hii.Hiyo ni maana yako mkuu sio maana ya yangu ya mwisho.
Labda unaposema hajulikani unakusudia nini ?
Hajulikani kwa sifa zake ?
Hajulikani alipo mpaka sasa ?
Au hajulikani kivipi,maana kwuli yako iko pana mkuu
Mungu akitaka jambo halishindikani.Mungu hakutaka jamii ya watu weusi iingiliane na jamii za Asia na Ulaya
Akina Constantine na wenzake.Ni nani hao ambao walitaka kutawala ulimwengu wote kwa kutumia dini?
Ndivyo ilivyo mkuu,anajulikana kwa sifa zake kwa mujibu wa rwference ninaypitumia ya Qurani.Anaweza kuwa anajulikana kwa sifa zake
ila hatujuhi alipo na hajawahi kuonekana
Maoni yangu mkuu ni kuwa tuwe salama kuamini jambo ambalo hupati dhambi kuamini hivyo,na tujitoe katika hatari ya kutoamini jambo ambalo kutokuamini kwake tunapata dhambi.Je ni yapi maoni yako wewe juu ya kauli hii.
Kama walitoka sayari nyingine na kufika hapa duniani, nakmtengeneza binadamu wa sasa kwa vinasaba vyao na udongo, jibu ni kwamba watakuwa wanazaliana kama sisi.OK. Kwa mujibu wa maelezo yako kwamba hao Annunaki ni (WATU), vina saba vyao vinafanana na vyetu. kwa maana hiyo wanafanana na sisi (Mimi, wewe na binadamu wengine).
Kwa muktadha huo, Je hao viumbe Annunaki wanazaliana kama sisi?
Unaniuliza mimi au, na nani hakuwa miungu unayemsema huyoAnnunaki walikuwa wanaaminiwa kama miungu na kuabudiwa, je hoja zipi zinatumika kupinga kuwa hakuwa miungu?
ok. Na biblia inazungumzia Mungu wapi hao unaowasema ni zaidi ya mmoja ndugu?Hii kauli sio kweli,nimeiona sana humu ila nikaheshimu mjadala maana sio mada husika,ila kimsingi qurani ni kitabu kinajitegemea.
Qurani inazungumzia Mungu mmoja wakati huo bibilia inasema tofauti,ingeku2a imekopi basi ingesema kama ilivyosema bibilia.
Kuna mambo mengi ya kuthibitisha kwamba Qurani haijakopi bibilia,
Ndugu Shukrani sana.Ndivyo ilivyo mkuu,anajulikana kwa sifa zake kwa mujibu wa rwference ninaypitumia ya Qurani.
Mkuu ni hivi Kama hivi leo mimi nikiambiwa kwamba kuna sayari inaitwa pplut ipo,ntqjua ipo ila sijawahi kufika wala nini
Na nimejua hivyo kwa mujibu wa shule nilivyosoma.
Ndivyo hivyo kwa mungu tunachojua kwamba yupo sehemu fulani,na sehemu fulani hatujui ikoje,na wala hatujawahi kufika,
tunapajua kwa jina tu kama tunavyojua kwamba kuna sehemu huko nje ya dunia inaitwa pluto sayari.
Maoni yangu mkuu ni kuwa tuwe salama kuamini jambo ambalo hupati dhambi kuamini hivyo,na tujitoe katika hatari ya kutoamini jambo ambalo kutokuamini kwake tunapata dhambi.
Sijasema bibilia inazungmza mungu zaidi ya mmoja mkuu,ila nimesema kwamba bibilia inasema tofauti.ok. Na biblia inazungumzia Mungu wapi hao unaowasema ni zaidi ya mmoja ndugu?
Pa1 mkuuNdugu Shukrani sana.
Wanaweza kuwa nazo hoja ila jambo la msingi ziwe zenye kuingia akilini na zenye mashiko.Labda wao wenyewe wanazo hoja zenye kuonesha Qur'an imecopy Biblia, ila sema ndio hivyo ni nje mada.
Wanaweza kuwa nazo hoja ila jambo la msingi ziwe zenye kuingia akilini na zenye mashiko.Labda wao wenyewe wanazo hoja zenye kuonesha Qur'an imecopy Biblia, ila sema ndio hivyo ni nje mada.
Lakini mkuu kuna baadhi ya historria za dini zinaaema k2amba watu wa kale kama vile akina mussa au akina nuhu walikuwa ni mijitu mikubwa sio kama sisi.Kama mabaki ya giants ambao yanasemekana ni ya hao Annunaki yamegunduliwa sehemu mbali mbali duniani na vina saba vyake vinafanana na vya kwetu, na kama inavyosemwa tumetokana na wao, mimi naweza kusema ni viumbe watu kama sisi, isipokuwa kuwa wao ni beyond extraordinary level ukilinganisha na sisi
Nakuuliza kuhusu Annunaki kama walikuwa ni miungu au si miunguUnaniuliza mimi au, na nani hakuwa miungu unayemsema huyo
Ndugu mimi nshazungumzia kuhusu giants sehemu ya 11, ipitie kwa umakini msitari kwa msitari.Lakini mkuu kuna baadhi ya historria za dini zinaaema k2amba watu wa kale kama vile akina mussa au akina nuhu walikuwa ni mijitu mikubwa sio kama sisi.
Hivyo kuonesha kwamba pengine mnaodhani kuwa hao ni anunaki kumbe ni watu tu kama sie ila zamani ndio walikuwa majitu makubwa.
Hili unazungumziaje ?
Miungu (gods & goddesses).Nakuuliza kuhusu Annunaki kama walikuwa ni miungu au si miungu
Mkuu Artificial intelligence naomba ufafanuzi kuhusu hili sualaHivi hizo nyayo zinazokutwa kwenye jiwe ina maana ya kwamba mawe ya zamani walipokanyaga yalikuwa yanabonyea ?
Mbona hakuna nyayo nyingi kuna nyayo moja moja tu ?
Hao watu walikuwa na mguu mmoja ?
Mimi nimetumia "miungu" kwa sababu nachokizungumzia ni zaidi ya kimoja, au hivi je Annunaki walikuwa Miungu?Miungu (gods & goddesses).