safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Hii kauli sio kweli,nimeiona sana humu ila nikaheshimu mjadala maana sio mada husika,ila kimsingi qurani ni kitabu kinajitegemea.Wanasema hivyo vitabu vyengine vimecopy kwenye biblia ndio maana hapa reference ni kutoka kwenye biblia tu.
Qurani inazungumzia Mungu mmoja wakati huo bibilia inasema tofauti,ingeku2a imekopi basi ingesema kama ilivyosema bibilia.
Kuna mambo mengi ya kuthibitisha kwamba Qurani haijakopi bibilia,