Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Wanasema hivyo vitabu vyengine vimecopy kwenye biblia ndio maana hapa reference ni kutoka kwenye biblia tu.
Hii kauli sio kweli,nimeiona sana humu ila nikaheshimu mjadala maana sio mada husika,ila kimsingi qurani ni kitabu kinajitegemea.

Qurani inazungumzia Mungu mmoja wakati huo bibilia inasema tofauti,ingeku2a imekopi basi ingesema kama ilivyosema bibilia.

Kuna mambo mengi ya kuthibitisha kwamba Qurani haijakopi bibilia,
 
Labda wao wenyewe wanazo hoja zenye kuonesha Qur'an imecopy Biblia, ila sema ndio hivyo ni nje mada.
 
Hiyo ni maana yako mkuu sio maana ya yangu ya mwisho.

Labda unaposema hajulikani unakusudia nini ?

Hajulikani kwa sifa zake ?

Hajulikani alipo mpaka sasa ?

Au hajulikani kivipi,maana kwuli yako iko pana mkuu
Anaweza kuwa anajulikana kwa sifa zake, ila hatujuhi alipo na hajawahi kuonekana. Je ni yapi maoni yako wewe juu ya kauli hii.
 
Mungu hakutaka jamii ya watu weusi iingiliane na jamii za Asia na Ulaya
Mungu akitaka jambo halishindikani.

Kwa ninavyojua mkuu Mwenye sifa ya kutaka jambo alafu likashindikana huyo sio Mungu.

Huyu Mungu ambaye hakutaka jamii ya weusi isiingiliane na watu weusi iina maana alishindwa kudhibiti suala hili la muingiliano lisitokee ?
 
Anaweza kuwa anajulikana kwa sifa zake
Ndivyo ilivyo mkuu,anajulikana kwa sifa zake kwa mujibu wa rwference ninaypitumia ya Qurani.
ila hatujuhi alipo na hajawahi kuonekana

Mkuu ni hivi Kama hivi leo mimi nikiambiwa kwamba kuna sayari inaitwa pplut ipo,ntqjua ipo ila sijawahi kufika wala nini

Na nimejua hivyo kwa mujibu wa shule nilivyosoma.

Ndivyo hivyo kwa mungu tunachojua kwamba yupo sehemu fulani,na sehemu fulani hatujui ikoje,na wala hatujawahi kufika,
tunapajua kwa jina tu kama tunavyojua kwamba kuna sehemu huko nje ya dunia inaitwa pluto sayari.
Je ni yapi maoni yako wewe juu ya kauli hii.
Maoni yangu mkuu ni kuwa tuwe salama kuamini jambo ambalo hupati dhambi kuamini hivyo,na tujitoe katika hatari ya kutoamini jambo ambalo kutokuamini kwake tunapata dhambi.
 
OK. Kwa mujibu wa maelezo yako kwamba hao Annunaki ni (WATU), vina saba vyao vinafanana na vyetu. kwa maana hiyo wanafanana na sisi (Mimi, wewe na binadamu wengine).

Kwa muktadha huo, Je hao viumbe Annunaki wanazaliana kama sisi?
Kama walitoka sayari nyingine na kufika hapa duniani, nakmtengeneza binadamu wa sasa kwa vinasaba vyao na udongo, jibu ni kwamba watakuwa wanazaliana kama sisi.

Baada ya hapa najua utauliza kama wanazaliana kwa nini hawakuzaliana wao kwa wao ili wachimbe hizo dhahabu wenyewe?

Ntakjibu kwamba uenda wwnyewe waliona hawastahili kufanya hiyo kazi, ikabidi wamtumie mwanadamu, kama ilivyokuwa kwa mkoloni na mtumwa. Wakoloni wangeweza kufanya zile kazi, ila waliona kutokana na sifa zao hawastahili, wakaamua wawafanye binadamu wenzao watumwa.
 
Hii kauli sio kweli,nimeiona sana humu ila nikaheshimu mjadala maana sio mada husika,ila kimsingi qurani ni kitabu kinajitegemea.

Qurani inazungumzia Mungu mmoja wakati huo bibilia inasema tofauti,ingeku2a imekopi basi ingesema kama ilivyosema bibilia.

Kuna mambo mengi ya kuthibitisha kwamba Qurani haijakopi bibilia,
ok. Na biblia inazungumzia Mungu wapi hao unaowasema ni zaidi ya mmoja ndugu?
 
Ndivyo ilivyo mkuu,anajulikana kwa sifa zake kwa mujibu wa rwference ninaypitumia ya Qurani.

Mkuu ni hivi Kama hivi leo mimi nikiambiwa kwamba kuna sayari inaitwa pplut ipo,ntqjua ipo ila sijawahi kufika wala nini

Na nimejua hivyo kwa mujibu wa shule nilivyosoma.

Ndivyo hivyo kwa mungu tunachojua kwamba yupo sehemu fulani,na sehemu fulani hatujui ikoje,na wala hatujawahi kufika,
tunapajua kwa jina tu kama tunavyojua kwamba kuna sehemu huko nje ya dunia inaitwa pluto sayari.

Maoni yangu mkuu ni kuwa tuwe salama kuamini jambo ambalo hupati dhambi kuamini hivyo,na tujitoe katika hatari ya kutoamini jambo ambalo kutokuamini kwake tunapata dhambi.
Ndugu Shukrani sana.
 
ok. Na biblia inazungumzia Mungu wapi hao unaowasema ni zaidi ya mmoja ndugu?
Sijasema bibilia inazungmza mungu zaidi ya mmoja mkuu,ila nimesema kwamba bibilia inasema tofauti.

Bibilia inaelezea mambo ya Mungu baba,mwana na roho ,jambo ambalo wakristo wamekuwa na kauli tofauti na maelezo tofauti juu ya ufafanuzi wake.

Sijui umenipata kdg mkuu
 
Labda wao wenyewe wanazo hoja zenye kuonesha Qur'an imecopy Biblia, ila sema ndio hivyo ni nje mada.
Wanaweza kuwa nazo hoja ila jambo la msingi ziwe zenye kuingia akilini na zenye mashiko.
 
Kama mabaki ya giants ambao yanasemekana ni ya hao Annunaki yamegunduliwa sehemu mbali mbali duniani na vina saba vyake vinafanana na vya kwetu, na kama inavyosemwa tumetokana na wao, mimi naweza kusema ni viumbe watu kama sisi, isipokuwa kuwa wao ni beyond extraordinary level ukilinganisha na sisi
Lakini mkuu kuna baadhi ya historria za dini zinaaema k2amba watu wa kale kama vile akina mussa au akina nuhu walikuwa ni mijitu mikubwa sio kama sisi.

Hivyo kuonesha kwamba pengine mnaodhani kuwa hao ni anunaki kumbe ni watu tu kama sie ila zamani ndio walikuwa majitu makubwa.

Hili unazungumziaje ?
 
Ndugu mimi nshazungumzia kuhusu giants sehemu ya 11, ipitie kwa umakini msitari kwa msitari.
 
Back
Top Bottom