Nimecheka sana, haijalishi ni kina nani. Nachojua mimi ni viumbe, waliploishi katika Iraqi ya zamani. Sasa mpaka wananukuu hizo habari maana yake wana akili na wanatunza kumbukumbu, swalo langu halikwepeki, na ukisema hawakuwa watu au mfano wake tutakuulzliza je walikuwa miti au wadudu au mbwa na kama ni katika hayawani habari hizo walizitunza vipi.
Ajabu marejeo mengi ya hizi habari yapo katika michoro, sasa unajiuliza michoro mbona kila mtu akoamua kuchora ana chora tu anachojisikia.
Nukuu ulizo ziweka wewe ni nukuu za Watafiti nao wanaanza kwa kusema "Walishuka toka sayari nyingine..." mara "Imesemwa kadha wa kadha..." sasa hili ni tatizo katika kunukuu habari. Usirudie jambo ambalo liko wazi, unapoteza muda.