Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Ndio maana nikakuuliza kwambw tukubaliane kilw mtu aamini maandiko yake ?

Kwa sababu hata wewe huna ushahidi wowote zaidi ya maandiko uliyoyaleta hapa kama ambavyo watu wa dini wanayaamini maandiko na wewe umepita mule mule kuyaamini maandiko ambayo ndio hayo hayo unayaona kama ushahidi.

Hivyo mjadala wetu tumekibaliana kwwmba umeishia hapa kila mtu achukue maandiko yake ayaamini,habari ya kujw na maandiko ukwyapamba kwamba sijui ni fact sijui ni ukweli basi imekatika hapa.

Kila la heri
Naomba utuonyeshe nyayo za Yesu/Mungu.
 
Ndugu zanguni Wana JF na great Thinkers mnakubaliana na Huyu bwana kwamba ustaarabu uliletwa na mitume?

Mimi nimemshindwa na na surrender Mpaka hapa Sina msaada nae maana Naona ustaarabu kwake ni kwenda na kopo la maji chooni,kuvaa kanzu na kilemba,kula tende na biryani na kusoma vitabu vya kiarabu na kuswali ijumaa,

"Sipo hapa kukashifu dini au ustaarabu wa jamii Fulani ila nataka tu nimtoe mtu shimoni asiwe brain washed ila atambue maana ya ustaarabu kiujumla!

Elimu Haina mwisho tuendelee kuelimishana!
😁😁😁😁🔥🔥🔥
Hili kawaambie na wenzako, shida yenu mnafikiri ustaarabu ni kupanda ndege au kuruka angani ? Ukirejea asili ya tamko "Ustaarabu" ni "Mstarabu" kwa jina hili waliitwa baadhi ya waarabu wa kale kwa kuwa na tabia nzuri na ukarimu na kuwafanyia wema Wanawake.

Sasa mnatakiwa msome na msome hasa na muhoji.
 
Nimecheka sana, haijalishi ni kina nani. Nachojua mimi ni viumbe, waliploishi katika Iraqi ya zamani. Sasa mpaka wananukuu hizo habari maana yake wana akili na wanatunza kumbukumbu, swalo langu halikwepeki, na ukisema hawakuwa watu au mfano wake tutakuulzliza je walikuwa miti au wadudu au mbwa na kama ni katika hayawani habari hizo walizitunza vipi.

Ajabu marejeo mengi ya hizi habari yapo katika michoro, sasa unajiuliza michoro mbona kila mtu akoamua kuchora ana chora tu anachojisikia.

Nukuu ulizo ziweka wewe ni nukuu za Watafiti nao wanaanza kwa kusema "Walishuka toka sayari nyingine..." mara "Imesemwa kadha wa kadha..." sasa hili ni tatizo katika kunukuu habari. Usirudie jambo ambalo liko wazi, unapoteza muda.
Safi kabisa hapa ndiyo penyewe, ilo jambo ambalo liko wazi ni lipi?
 
Sasa wewe huwa unatumia njia gani kujia ukweli wa mambo ya kae au hata mambo yaliyopita hivi karibuni. Unafikiri kwanini huwa kuna mashahidi na wanaulizwa kwamba je ulimuoja fulani akifanya kadha wa kadha au umesikia kwa nani hizi habari ? Mpaka zinarudi kwa mtu wa kwanza.
Watu waliohojiwa hujaona majina, hujaona links zao. Nahisi hujuhi hata unabishania nini.
 
Hili kawaambie na wenzako, shida yenu mnafikiri ustaarabu ni kupanda ndege au kuruka angani ? Ukirejea asili ya tamko "Ustaarabu" ni "Mstarabu" kwa jina hili waliitwa baadhi ya waarabu wa kale kwa kuwa na tabia nzuri na ukarimu na kuwafanyia wema Wanawake.

Sasa mnatakiwa msome na msome hasa na muhoji.
Mimi nikwambie Bwana Kisai ,kwamba ukiingiza udini sana kwenye mada kama hizi, kamwe hakuna chochote tutakubaliana kwa pamoja.
 
Bwana Kisai hivi unayaelewa kweli unayoyaandika, aliyesema ni kupanda ndege n.k ni nani. Ndiyo maana wanakushangaa wewe unayesema civilization imeletwa na mitume.
 
Ni kweli waafrika waliumbwa na anunnaki? Na vipi kuhusu Sumerians kwamba walikua blacks kuna ukweli wowote hapa? Watafiti wa anunnaki naomba msaada wenu please
 
Safi kabisa hapa ndiyo penyewe, ilo jambo ambalo liko wazi ni lipi?
Jambo liko wazi ya kuwa hakuna walipo ainisha kwa jina fulani ndiyo amewaona na akasimulia na yeye akawasimulia wengine. Hili hamjafanya. Huu ndiyo uwazi wenyewe sababu mnadai ni jamii fulani nimekuomba unitajie watu watano tu au kumi katika hiyo jamii walio elezea hizo habari.
 
Mungu mwenyewe ndiyo nini?, sijakielewa ulichojibu.
Hii ni maana ya kwamba hana mfano yaani huwezi kumfananisha na kitu chochote kile...kwasababu haonekani hivyo basi na ndio maana akasema tusiabudu kitu chochote ispokuwa yeye tu...

Amesema tuwaheshimu wazazi wetu..

Na hii inamaana kubwa sana leo hii mtoto anayemdharau mazazi wake lazima apate mabalaa tu na hilo unalifahamu mkuu haitaji kocha.
 
Mimi nikwambie Bwana Kisai ,kwamba ukiingiza udini sana kwenye mada kama hizi, kamwe hakuna chochote tutakubaliana kwa pamoja.
Hapa hatuingizi udini bali tuna hakiki habari tujue ukweli wa mambo uko vipi.

Kingine je kama ukweli wa mambo upo kwenye dini unataka, tuache dini tufate visasili ? Huu ni mfano tu.

Tujifunze kuhoji kwa usahihi haya mambo.
 
Bwana Kisai hivi unayaelewa kweli unayoyaandika, aliyesema ni kupanda ndege n.k ni nani. Ndiyo maana wanakushangaa wewe unayesema civilization imeletwa na mitume.
Huo ni mfano nimetoa, niambie sasa ustaarabu kwa mujibu wako wewe ni upi ? Sababu wapo wanao amini ya kuwa ustaarabu unaenda sawa na maendeleo ya Sayansi na teknolojia hawa hawajuo asili ya hili neno, ustaarabu unaendana na utu na tabia njema. Lakini leo hii watu wanaamini ya kuwa kula kwa uma au kijicho au kupanda ndege au kuvaa vimini ni katika ustaarabu. Hii ndiyo maana ninayo ikusudia mimi.

Sasa kama mna maana kinyume na maana ya asili ya Ustaarabu mtuambie na mtupe marejeo ya asili ya tamko hilo.
 
Watu waliohojiwa hujaona majina, hujaona links zao. Nahisi hujuhi hata unabishania nini.
Ndiyo maana unasema umejibu maswali wakati hata maswali yenyewe hujayaelewa. Ninacho kielezea mimi hao walio hojiwa wamewaona hao Annunaki ? Kama hawajawaona lazima watuelezee wamezipata wapi hizo habari mpaka kwa yule wa kwanza.

Sasa elewa maneno yangu, usikurupuke.
 
Wewe tuthibitishie bila kutumia reference yeyote kwamba uliletwa na mitume. Naona hata unachotaka kiaminike kwetu wewe mwenyewe hukijuhi.
Sasa nitathibitisha vipi bila kuwa na marejeo wakati haya mambo yapo na yameshadhibitiwa katika vitabu ? Hapa hoja si "reference" hoja ni hizo reference zina ukweli gani.

Ukiniambia kwamba niandike jambo bila "reference" maana yake niote au ni buni.

Kuna kitabi kimoja nakirejea sana hicho kitabu kinaitwa "Al-Bidayat wa al-Nihayat(Mwanzo na Mwisho" hiki kitabu kimeelezea habari kuanzia mwanzo wa kuumbwa dunia mpaka mwisho wake, hiki kitabu kimeandika katika mtindo wa "Chain" yaani habari imetoka kwa fulani fulani ametoa kwa fulani mpaka kwa mtu wa mwanzo.

Elimu ni amana na kila amana hurudishwa kwa watu wake.
 
Jambo liko wazi ya kuwa hakuna walipo ainisha kwa jina fulani ndiyo amewaona na akasimulia na yeye akawasimulia wengine. Hili hamjafanya. Huu ndiyo uwazi wenyewe sababu mnadai ni jamii fulani nimekuomba unitajie watu watano tu au kumi katika hiyo jamii walio elezea hizo habari.
Kwahiyo watu wanaothibitisha uwepo wa hao viumbe, hujawaona kwenye sehemu ya Annunaki, CIA & NASA, mabaki yao na nyayo zao zilizogunduliwa hujaviona. Wewe unaweza kuonyesha uthibitisho gani wa kuonekana kwamba Mungu huyu hapa yupo au alikuwepo duniani.
 
Hapa hatuingizi udini bali tuna hakiki habari tujue ukweli wa mambo uko vipi.

Kingine je kama ukweli wa mambo upo kwenye dini unataka, tuache dini tufate visasili ? Huu ni mfano tu.

Tujifunze kuhoji kwa usahihi haya mambo.
Ukweli haupo kwenye dini, dini ni utapeli na ulaghai.
 
Ndiyo maana unasema umejibu maswali wakati hata maswali yenyewe hujayaelewa. Ninacho kielezea mimi hao walio hojiwa wamewaona hao Annunaki ? Kama hawajawaona lazima watuelezee wamezipata wapi hizo habari mpaka kwa yule wa kwanza.

Sasa elewa maneno yangu, usikurupuke.
Ndiyo uwepo wao hapa duniani umethibitishwa si kwa maandiko tu bali hata ushahidi wa kuonekana.
 
Wametoka sayari nyingine, Kwahiyo haijulikani ni walijiumba/wamejiumba na hakuna sehemu palipoandikwa wameumbwa na huyo Mungu wenu wa kwenye vitabu vya dini.

Na mimi nikuulize kama una amini hakuna kiumbe anayeweza kujitengeneza, je Mungu ni kiumbe/siyo kiumbe? . Mungu alijiumba mwenyewe au hakujiumba mwenyewe?
Nakuomba sana Mkuu urelax alafu twende taratibu Mkuu, wala usiwe katika hali ya kujibu huku ukiwa umekasirika. Kuwa kama mimi (Open Minded)

Tuendelee, "Wametoka sayari nyingine, kwahiyo haijulikani ni walijiumba/wamejiumba"

Nukuu ya Quote yako hiyo, unasema haijulikani kama wamejiunda. Huoni kama unajichanganya?

Mwanzo nilikuuliza kuna kiumbe ambae yupo physical in shape ambae anaweza kujiunda? Ukanijibu na tukakubaliana kwamba HAKUNA.

Sasa, Kama kiumbe Annunaki ni kiumbe kama sisi binadamu yupo physical in shape unaweza kumuona na kumshika, ina maana (1) Hawezi kujiunda mwenyewe (2) Ana muundaji.

Nakuuliza,
UNAWEZA KUNITAJIA MUUNDAJI/CHANZO CHA KIUMBE ANNUNAKI?

NB: Naomba sana unijibu swali hilo kama jibu unalo, pia kama haujui pia niambie.
 
Kwahiyo watu wanaothibitisha uwepo wa hao viumbe, hujawaona kwenye it
Kwahiyo watu wanaothibitisha uwepo wa hao viumbe, hujawaona kwenye sehemu ya Annunaki, CIA & NASA, mabaki yao na nyayo zao zilizogunduliwa hujaviona. Wewe unaweza kuonyesha uthibitisho gani wa kuonekana kwamba Mungu huyu hapa yupo au alikuwepo duniani.
Kwahiyo watu wanaothibitisha uwepo wa hao viumbe, hujawaona kwenye sehemu ya Annunaki, CIA & NASA, mabaki yao na nyayo zao zilizogunduliwa hujaviona. Wewe unaweza kuonyesha uthibitisho gani wa kuonekana kwamba Mungu huyu hapa yupo au alikuwepo duniani.

sehemu ya Annunaki, CIA & NASA, mabaki yao na nyayo zao zilizogunduliwa hujaviona. Wewe unaweza kuonyesha uthibitisho gani wa kuonekana kwamba Mungu huyu hapa yupo au alikuwepo duniani.
Mkuu Hiyo I'd ya huyo bwana inajulikana ni mhafidhina wa dini ya jangwani,mwandiko wake haujifichi mara nyingi kwenye mijadala na mada kama hizi ambazo zimemzidi Kwa kimo Cha ufahamu wake hua anakuja na mashairi mareefu ila ni non sense Hana alijualo ana undugu na @Jurjan au I'd yake ni kinyonga ila mwandiko humuumbua!
 
Sasa nitathibitisha vipi bila kuwa na marejeo wakati haya mambo yapo na yameshadhibitiwa katika vitabu ? Hapa hoja si "reference" hoja ni hizo reference zina ukweli gani.

Ukiniambia kwamba niandike jambo bila "reference" maana yake niote au ni buni.

Kuna kitabi kimoja nakirejea sana hicho kitabu kinaitwa "Al-Bidayat wa al-Nihayat(Mwanzo na Mwisho" hiki kitabu kimeelezea habari kuanzia mwanzo wa kuumbwa dunia mpaka mwisho wake, hiki kitabu kimeandika katika mtindo wa "Chain" yaani habari imetoka kwa fulani fulani ametoa kwa fulani mpaka kwa mtu wa mwanzo.

Elimu ni amana na kila amana hurudishwa kwa watu wake.
Kwahiyo wewe references zako za ukweli, mimi za kwako hazina ukweli na sote tunatumia vitabu kama reference?

Alafu mimi situmii kitabu kimoja kama wewe. Mimi nimetumia the 12th planet (ninachokiamini kama wewe na hicho kitabu chako), vitabu vy dini, Annunki Genesisi, The end of days, Stairway to heaven, immortality of the Gods, Epic of Summer&Babylonian etc.

Kwahiyo kama ishu ni reference kila mtu ataamini kile anachokiona ni sahihi, kama wewe unavyoamini hicho kitabu chako.
 
Back
Top Bottom