Artificial intelligence
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 1,265
- 2,252
- Thread starter
-
- #1,161
Kwahiyo uwepo wa mtume Mohammed uliuhakiki wewe, tena kwa kumuhoji yeye wewe mwenyewe, najua huna ubavu huo kwahiyo endelea kukariri Quran hiyo, ambayo umeletewa.Ndiyo maana tunahitaji vyanzo yaani marejeo ili tuvihakiki vyanzo hivyo.
Ok. Kwahiyo wewe unapoyaamini hayo masimulizi ya Allah, wewe umewahi kumuona na kumuhoji ili uhakiki hiyo habari?,Maigizo ya CIA na NASA yanajulikana, anzia kwenye tukio la kwenda mwezini na safari za masafa marefu.
NASA si katika marejeo ya kweli zaidi kutaka sifa na mengineyo.
Wewe ukionyeshwa mabaki haya ni ya Annunaki, mathalani unahakiki vipi habari hii ? Je utaridhika tu kisa wamesema CIA au NASA ?
Kuhusu uwepo wa Mola muumba ithibati yake au utambuzi wake unaanzia katika maumbile na hatua zake ni tatu, kisha ufunuo unakuja kithibitisha. Hatua ni hizi zifuatazo :
1. Fitrah (Innate disposition)
2. Maarifa ( Acquaintance)
3. Establishment of the proof, hapa tunakuja kuhitimisha kwa ufunuo toka kwake, baada ya kupitia hizo hatua mbili za mwanzo, kwa ufupi hatua ya kwanza ni kila mwanadamu ameumbwa kwa umbile la kukubali uwepo wwa Mola, ila wazazi wake au walezi wake huja kumbadilisha aidha akawa myahudi au mkristo au mkana Mungu na mfano wake, kwenye kipengele cha pili ule utambuzi baada ya kuona viumbe vya Allah na kuhoji kwa usahihi na kipengele cha tatu ndiyo hicho kinachothibitisha sasa uwepo wake ambacho ufunuo.
Anasema Allah aliye juu :
35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji? (at-Turi : 35)
Hiyo aya inathibitisha juu ya uwepo wa Allah, kwa kuwauliza wale wote wanao kataa juu ya uwepo wake, kwamba je wao wamejiumba au wao wametokana pasi na chochote ? Basi leteni masimulizi kinyume na haya kama nyinyi mnasema ukweli.

Unapoelekea siyo kuzuri, mada inahusu annunaki kumtengeneza mtu, mada haihusiani na itikadi za dini kabisa, sipo/sijaanzisha mada ya kujadili dini japo hili ni jukwaa huru, kama unataka kujadili Uislam tafadhali, uanzishe uzi tujadili.Haswaa ndiyo sisi, na hakuna yeyote anaye weza kupinga haya kwa elimu na hoja zaidi ya dhihaka na mfano wa hayo.
Shukrani.
Kivipi kwa Mungu iwezekane kuwafanyia fujo viumbe wake ?Kwao haiwezikan ila.kwa Mungu inawezekana kwann?
Dini zimetufunga akili sana
Mimi simjui yesu na sijawahi kumtaja yesu.Naomba utuonyeshe nyayo za Yesu/Mungu.
Mkuu maandishi yako uliyotoa yanategemea mifupa na nyayo.Hatukubaliani, maandishi ambayo hayana physical aspects evidence kwangu mimi siyaamini.
Sijui kama Mungu analo fuvu au hana.unaweza kuteletea nyayo, fuvu la Mungu, Yesu au Muhammed
Kivipi kwa Mungu iwezekane kuwafanyia fujo viumbe wake ?
Wao ndio walimuumba binadadamu(kwa mujibu wa mada)
Hivyo hawawezi kuja kumfanyia ubaya kiumbe waliyemuumba wao wenyewe,kiumbe aliyetokana na wao wenyewe.
Kiakili tu haiwezekani wajw dunia i kufanya fujo hata siku moja,pengine na sisi binaadamu tutapata vibarua vya kuchimba dhahabu tukapata viajira na kuendesha maisha yetu.
Siju watapewa nini, ila watakuwa bora kuwazidi hao mabikra tutakao pewa.dhihaka iko wapi hapo so ndo Hadith zenu zinavyosema haya na wanawake watapewa nin peponi
Mtume Muhammad wala sijamuona wala kukutana naye ila yapo masimulizi yaliyo hakikiwa mpaka kufika bila kukatila kwa "chain".Mabikra utawakuta kweli una uhakika? Unamfahamu Muhammed umewahi kumuona? Huu ndiyo ulaghai wa kwanza.
Hujaonyesha popote ya kuwa hao Sumerians kwamba waliwaona Annunako zaidi ya kudai wamesema au kusimulia. Nataka uniwekee masimulizi yaliyo hakikiwa yakianza na tamko "Sisi sumerians tumewaona au tumewasikia Annunaki" sasa unatakiwa usome maswali na uyaelewe usijiandikie tu na kudai kwamba umejibu maswali wakati hata kuyalewa kwenyewe hujayaelewa.Mbona nshakujibu au hayo majibu huyataki.
Safi kabisa sasa tuanze kuvihakiki vyanzo vyako 50 na mimi chanzo changu kimoja.Na mimi hivyo hivyo tena ni zaidi ya vyanzo mia 50 na marejeo juu. Kwahiyo kama unakiamini hicho na mimi nakiamini cha kwangu, na nazani hapa tumeelewana.
Mimi niko kielimu, mimi sijamdiriki Mtume sasa vipi uniulize kama nilimujoji ? Bali ninazo "chain" za masimulizi zilizo hakikiwa mpaka kufikia kwa Mtume na mpaka kutufikia sisi.Kwahiyo uwepo wa mtume Mohammed uliuhakiki wewe, tena kwa kumuhoji yeye wewe mwenyewe, najua huna ubavu huo kwahiyo endelea kukariri Quran hiyo, ambayo umeletewa.
Swali zuri. Mola wetu haonekani ila baada ya kutuumba aliweka ishara zinazo onyesha uwepo wake kuanzia katika umbile lako, kupitia katika mazingira yaani maumbile ya ulimwengu na vilivyomo, kadhalika akili yaani kutafakari na ufunuo. Ndiyo maana nikaweka aya ya Qur'aan, ukifikiria kwa usahihi lazima utafikia katika hitimisho ya kuwa Huu ulimwengu lazima umeumbwa na aliye uumba ni mkamilifu. Mfano wake ni kama ilivyo njaa, hakuna aliye iona njaa ila vipo viashiria vinavyo onyesha uwepo wa njaa.Ok. Kwahiyo wewe unapoyaamini hayo masimulizi ya Allah, wewe umewahi kumuona na kumuhoji ili uhakiki hiyo habari?,
Ongeza umakini, kwanini hujamkataza aliye niuliza swali hilo ? Naona kijana unaleta habari za "Kunya anye kuku akinya bata ameharisha". Hapo nimemjibu aliye niuliza swali.Unapoelekea siyo kuzuri, mada inahusu annunaki kumtengeneza mtu, mada haihusiani na itikadi za dini kabisa, sipo/sijaanzisha mada ya kujadili dini japo hili ni jukwaa huru, kama unataka kujadili Uislam tafadhali, uanzishe uzi tujadili.
Mimi sina cha kujadili zaidi na wewe, hebu endelea kujikita kwenye dini zaidi.
Dhana ya Mungu kuadhibu viumbe inatokana na Mungu huyo kuweka sheria ambazo ukizikeuka ama ukifanya unakuwa umefanya dhambi.Kwann wao washindwe kuja kuangamiza viumbe waliowaumba wao lakin kwa Mungu hatujiulizi kwann yeye wanasema siku ya mwisho atachoma watu moto aliowaumba yeye mwenyewe?
Umenijibu vizuri mkuu kwamba muumbaji wa kiumbe Annunaki hajulikani/haumjui.Nakujibu kwa ufupi sana kwamba muumbaji wa Annunaki hajulikani
Tunajadili hapa jf so if possible weka hapa uthibitisho wa ulichosoma kiwe uthibitisho kwa msomaji wa sasa na future!.Reference ya mtu au kitabu ndugu? Alafu vitu kama hivi vipo hata mitandaoni pia.
pia utamzungumziaje kiumbe aliowaumba Annunaki yeye pia kaumbwa na nani,mpaka akaumba kiumbe aliyeumba mtu?Umenijibu vizuri mkuu kwamba muumbaji wa kiumbe Annunaki hajulikani/haumjui.
Hivyo basi, kiumbe Annunaki ni kiumbe tu kama viumbe wengine ambao tumeubwa na Muumbaji, tukawekwa mahali ili tuishi. Tupo under control ya Muumbaji.
Nakuuliza hivi:-
(1) Je umewahi kufanya juhudi yoyote ili uweze kujua muumbaji wa viumbe hao Annunaki?
(2) Kiumbe ambae ameumbwa na muumbaji, anawezaje kuumba kiumbe mwingine akampa uhai wa kuishi kama muumbaji wake alivyomuumba kiumbe huyo? (Yaani kiumbe annunaki ambae ameumbwa na muumbaji, amewezaje kuumba kiumbe mwingine akampa uhai kama yeye kiumbe annunaki alivyoumbwa na muumbaji wake)