Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Sometimes your contradicting yourself. Ibrahim alipoitwa kutoka Uru ilikuwa akaanzishe Safari ya dini ya kweri na aache za uongo Soma kitabu Cha Yoshua 24:15
[15]Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng’ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA.
And if it seem evil unto you to serve the LORD, choose you this day whom ye will serve; whether the gods which your fathers served that were on the other side of the flood, or the gods of the Amorites, in whose land ye dwell: but as for me and my house, we will serve the LORD. Kuelewa zaidi Soma Yoshua 24:1-15.
Ni kweri miungu ilikuwepo toka enzi na Ibrahim aliitwa kuiacha ili afate ya kweri.
Mkuu unazungumuziaje hiyo habari???
 
Siyo huku mkuuu, kumbuka dini ya kikristo imetokana na dini za sehemu ulizozitaja. Swali no kwamba ni juhudi ya Nani aliyeifanya kutengeneza story kutoka kwa Ibrahim Hadi kwa Yesu?. Alikuwa mzungu?, Au hao hao wa mashariki walikuwa wanapingana kuanzia ashuru, bablion, uajemi, etc . Kila jamii ya mashariki ya Kati ilikuwa na miungu yake. Je dini ya annuaki ya ukweri ni ippi? Ya bablion?, Ashuru?, Umedi??, Uajemi??? Hao wote ni mashariki ya Kati.
 
Gold is the international currency, unajua America, Europe, Asia especially supper economic country Wana reserve ya gold kiasi gani?. Vipi vifaa ya electronics navyo vinatumia gold, je pia unafahamu vifaa vya ulembo vinagold kiasi?
 
amekuuliza hiyo dhana umeipata wapi, mjibu kwanza
Mbona ameshajijibu mwenyewe kwenye maelezo yake. Kwamba ili kiumbe chenye mwili kiwepo lazima kuwe na muunganiko wa kiumbe "Me" na "Ke" ili mbegu ipatikane.

Uwepo wa kiumbe ME na Ke ni viumbe wenye mwili, hawawezi kuwepo bila kuwa na muumbaji alieumba kwanza hicho kiumbe "Me" na "Ke" ili vizaliane.

Kwa mujibu wa maelezo yake. Kiumbe "ANU" ni "Me" na kiumbe "KI" ni "Ke". Viumbe hawa annunaki wana mwili.

Sasa, Je ni nani aliewaumba hawa viumbe ANU na KI ili wazaliane?
 
Mbona gold reserve zipo tu. Gold ni pesa. Swali lako ni sawa na kuuliza pesa zinazofyatuliwa mfano za Tanzania huwa zinaenda wapi?
 
Unaweza kuonesha uthibitisho (Scientifically) kwamba kiumbe chenye mwili, kilichoumbwa na muumbaji kimeumba kiumbe mwingine mwenye mwili na kumpa uhai wa kuishi?
 
Usichokijua ni kwamba sayansi ya zamani ya theory tu toka 400BC Hadi Sasa inathibitishwa na technology ya Sasa. Hivyo ukisoma habari za Socrates,pythogrus, pilato etc hawa jamaaa wa before Yesu lakini theory zao zinafanya kazi Hadi leo. Hivyo maswala ya miungu na Mungu pia ya zamani swali Mungu wa kweri ni yupi???. Ukisema binadamu aliumbwa na annuanaki swali linabaki je annuanaki ndiyo Mungu??
 
Hapa hatuingizi udini bali tuna hakiki habari tujue ukweli wa mambo uko vipi.

Kingine je kama ukweli wa mambo upo kwenye dini unataka, tuache dini tufate visasili ? Huu ni mfano tu.

Tujifunze kuhoji kwa usahihi haya mambo.

Una hakika kama unaweza kuhakiki mambo yaliyopita na ukajua ukweli.?

Hivi unaweza kuthibitisha Muhammad unayemuamini kawahi kuishi duniani.?

Na wala isiwe hila za wafanya biashara waarabu kusambaza utamaduni wao kwa wapumbavu.!
 
Unaweza kuonesha uthibitisho (Scientifically) kwamba kiumbe chenye mwili, kilichoumbwa na muumbaji kimeumba kiumbe mwingine mwenye mwili na kumpa uhai wa kuishi?

Mm nimejibu kuendana na nilivyo muelewa mtoa mada.

Swali lako mm sina jibu lake maana jibu lake litakuwa na mkanganyiko ambao scientifically sizan kama unauthibitisho mfano: maandiko yanasema Mungu aliumba binadamu na wanyama, na binadamu na wanyama nao pia wakiunfanisha sperm na yai la mwanamke/jike wanapata kiumbe chao(mtoto) hapo Mungu hausiki labda kwa mara chache(miujiza) na anaweza hasihusike pia(miujiza). Nahis had happ umeisha ona contradiction zinavyoweza kutokea (sio mara zote) unapohusisha sayansi na iman
 
Dini ya kweli unaipimaje Kamanda,kipimo Gani kinatumika kwamba Dini ya Abraham ilikua ya kweli kuliko zile nyingine alizoacha huko Ashuru?
 
Kwanini usile majani kama ng'ombe unacho uliza unajibiwa ila unakazana kuuliza tena
 
Mtume Muhammad wala sijamuona wala kukutana naye ila yapo masimulizi yaliyo hakikiwa mpaka kufika bila kukatila kwa "chain".

Sasa ikiwa hujawahi kumuona wala kukutananaye unapataje ujasiri wa kutunishia watu kifua kwa uhakiki wa washiba futari waliojiita wanazuoni na kuja kutamba hapa.!?

Uhakiki wa mtoa mada unatokana na wataalam wa kisasa wenye elimu ya uhakiki wa vitu vya kale kwa teknolojia za kisasa kusaidia hayo

Na sio vigano na visasili vya waarabu wenye mtazamo fulani walioamua kuviweka kwenye maandishi kama hadithi za sungura na fisi...SAWA
 
Shukrani.
 
Tatizo lako unaangalia historia ya Abraham Kwa jicho la kawaida Sana Kumbuka yeye alitoka Mesopotamia ilikozaliwa nadharia ya Mungu/Miungu hivyo hata yeye alikua kwenye chain Ile Ile hakuna maajabu yoyote nae alimwabudu Mungu El/YWH/JEHOVAH
Moja ya Miungu ya Summerians ila yeye ndie alitoka kwao na nadharia ya Mungu El Mpaka Kaanan kitendo kilichowafanya wenyeji wa nchi aliyoifikia kumshangaa maana alikua ni Mtu mkuu na tajiri wa Mali na dhahabu vile vile alikua ni Mzee mwenye hekima kiasi kwamba aliweza shawishi jamii nyingi zikamuelewa na kumsikiliza ndio maana Kila alipoenda alipokelewa vizuri kitendo ambacho ni kigumu Sana hasa Kwa jamii zile na maeneo aliyopita walikua Barbarian ila Kwa Abraham walimheshimu Sana mpaka kumruhusu apite nchi zao bila kikwazo maana aliacha Neema Kwa wenyeji,

Hicho kitendo kiliwafanya watu wengi waanze kufuata hekima zake maana alionesha matendo mengi Civilized maana alitokea jamii za Mesopotamian zenye ustaarabu wa Annunak Toka hapo kale,

Kingine Kipindi ambacho Abraham anazaliwa ANNUNAK walikua wameshaondoka miaka zaidi ya elfu Moja nyuma yake Hata yeye aliona ustaarabu wa kujenga Pyramids umeshapita miaka mingi mno kama tuonavyo Mimi na wewe Leo,

Haya Kamanda kuhusu kutengeneza story za Ibrahimu ni yeye na kizazi chake walikua na ujuzi wa kutunza kumbukumbu maana huo ndio ustaarabu wao na Wajukuu yake ambao ni Israelites waliendelea na utamaduni huo mpaka Leo hii kumbukumbu zao zipo kuanzia walipotokea mpaka idadi ya wafalme wao wote,
Hiyobilichagizwa na Asili Yao ambapo watu wa Mesopotamia na jamii nyingi zilizopitia utamaduni wa ANNUNAK hua wanahifadhi kumbukumbu kwenye tablets
Kuanzia kule
Sumerian, Babylon, Egyptian, Mexico, Aztec, Maya, Peru, Indus valley, china, India,Dogon wote Hao walipitia Accient civilization za kale Kwa kupewa na ANNUNAK Wana kumbu kumbu hizo na still Hata ukienda Leo Unaona KAZI za mikono Yao Kwa ushahidi na idhibati,

Kwahiyo Haya mambo hayapo kama unavyofikiria Soma historia wewe acha kukariri Aya za vitabu vya kiyahudu kama chanzo kikuu utapotea na kuona Malue Lue!
😁🔥
 
Una hakika kama unaweza kuhakiki mambo yaliyopita na ukajua ukweli.?

Hivi unaweza kuthibitisha Muhammad unayemuamini kawahi kuishi duniani.?

Na wala isiwe hila za wafanya biashara waarabu kusambaza utamaduni wao kwa wapumbavu.!
Sina uhakika.

Siwezi kuthibitisha.

Shukrani.
 
Dini ya kweli unaipimaje Kamanda,kipimo Gani kinatumika kwamba Dini ya Abraham ilikua ya kweli kuliko zile nyingine alizoacha huko Ashuru?
Kama ndiyo hivyo kwa Nini unasema dini ya kikristo ni ya uongo? Na ndini annuanaki ndiyo ya kweri??. Tena unaendambali kwa kusema wakrito na waisilamu wanadanganywa tu?. Unatoa wapi kigezo Cha kusema hivyo???. Maana Kama ukristo ni wa kufikrika tu je hiyo annuanaki siyo ya kufikrika tu???. Kunawakati binadamu tunasubuliwa na Tamaa ya kujitafasilia wenyewe.
 
Acha uongo, hakuna sanyansi inayozungumuzia binadamu aliumbwa na annuanaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…