ruby garnet
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 2,869
- 3,852
Sometimes your contradicting yourself. Ibrahim alipoitwa kutoka Uru ilikuwa akaanzishe Safari ya dini ya kweri na aache za uongo Soma kitabu Cha Yoshua 24:15Hakuna Elimu uchwara hapa kamanda hiyo Elimu ipo long time before abrahamic Religion,Hizo dini unazojinasibu ni za Mungu wako waanzilishi ni hao Hao Annunak halafu Leo unakuja kunyamba nyamba hapa
Au hujui Abraham na baba yake Terra walitoka Uru ya Ukaldayo Huko Mesopotamia ambako ndio kulikua ustaarabu wa kuabudu Miungu na Mungu wa Abraham anaitwa El Moja ya Miungu Annunak?
Pumbaf kasome historia ndio uje ubishane na Mimi
Eboooo!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[15]Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng’ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia BWANA.
And if it seem evil unto you to serve the LORD, choose you this day whom ye will serve; whether the gods which your fathers served that were on the other side of the flood, or the gods of the Amorites, in whose land ye dwell: but as for me and my house, we will serve the LORD. Kuelewa zaidi Soma Yoshua 24:1-15.
Ni kweri miungu ilikuwepo toka enzi na Ibrahim aliitwa kuiacha ili afate ya kweri.
Mkuu unazungumuziaje hiyo habari???