Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Baadhi ya maandiko kuhusu dini za kale yamebakia kama yalivyokuwa na baadhi yamechakachuliwa.

Yeah kuna tofauti katika imani, dini zote za kale waliabudu miungu kama Mungu wao, dini za sasa zinazungumzia Mungu alfa na omega, ambaye katika dini za kale ambazo ni chimbuko la dini za sasa, Miungu ndiyo ilikuwa Mungu.

Yeah walitumia loop ya watu kutokuwa na ufahamu juu ya hizo dini, ndiyo maana hata sisi Afrika tuliletewa na wamisionari, kabla ya hapo hakuna aliyekuwa na ufahamu juu ya dini.
 
Sasa mkuu ukisema scientifically, ukiambiwa uonyeshe Mungu alivyojiumba scientifically utaweza kweli, kumbuka kila kitu ambacho kina manifest force ya kutengeneza kitu kingine ni lazima na hicho kitu kiwe kimeumbwa pia.
Umeshasema "Kila kitu ambacho kina manifest" sasa Mungu sio "KITU". Mungu yupo beyond physical Universe, Mungu hayupo 'physical in shape' huwezi kumgusa wala kumuona kwa macho katika ulimwengu huu unaoonekana kwa macho. Mungu yupo katika ulimwengu usioonekana kwa macho (Spiritual World).
 

Huko sahihi kwa imani yako, lakini mimi hii nadharia ya kwamba Mungu si kitu siikubali kabisa, how comes kitu kiwe na manifest force ya kuumba then kisi exist katika physical form, kwahiyo mimi na wewe tofauti yetu ni hapo.
 
Huko sahihi kwa imani yako, lakini mimi hii nadharia ya kwamba Mungu si kitu siikubali kabisa, how comes kitu kiwe na manifest force ya kuumba then kisi exist katika physical form, kwahiyo mimi na wewe tofauti yetu ni hapo.
Mkuu, Mungu alianza kuumba kwanza ulimwengu usioonekana kwa macho (Spiritual Word) kama malaika n.k, kisha akaumba ulimwengu wetu huu unaoonekana kwa macho (Physical World) Kama sayari, jua, nyota na viumbe hai vyote n.k

Katika ulimwengu wetu huu unaoonekana kwa macho (Physical World) ni kama mfano wa computer.

Computer ndani yake kuna vitu vingi vilivyoundwa na muundaji wa computer kama memory card, processor, hard disk n.k lakini aliyeiunda computer hakai ndani ya computer (yupo nje ya computer)

Hivyo aliyeunda computer ni beyond computer yenyewe haishi ndani ya computer bali nje ya computer.

Kwahiyo, Mungu ameumba ulimwengu huu tunaoishi unaoonekana kwa macho (Physical World) yeye ni beyond Physical World. Sisi tulioumbwa na Mungu tulio kwenye Physical World, kulazimisha Mungu aexist physically katika ulimwengu huu ni impossible scientifically Kwa sababu yeye Mungu yupo katika ulimwengu usioonekana kwa macho (Spiritual World) /ulimwengu wa kiroho.
 
Huko sahihi kwa imani yako, lakini mimi hii nadharia ya kwamba Mungu si kitu siikubali kabisa, how comes kitu kiwe na manifest force ya kuumba then kisi exist katika physical form, kwahiyo mimi na wewe tofauti yetu ni hapo.
Na huo ndio uwezo wake yeye Mungu ulivyo mkubwa mnoo kushinda kiumbe yoyote aliyemuumba.
 

Some of the information hapo nilizisoma kwenye kitabu cha the holy tablets cha dr malaki c yorks Kama umeweza kusoma hicho kitabu mkuu na unakijua kunywa soda hapo nalipia.
 

Naunga mkono hoja yako mkuu tupo wawili mungu wa hivo hayupo atheist maana yake umeweza kufikiria nje ya group mentality na kujitoa kuwa miongoni mwa blind followers though kuna swali nakuuliza . Je kuna ultimate force ambayo unaikubali kuwa inanguvu juu ya kila kitu?
 
Nguvu kuu ipo Ndio chanzo Cha Kila kitu kwenye ulimwengu,nguvu Kani hasi na chanya iliyozalisha Kila kitu katika mahesabu yaliyo katika mpangilio maalum na codes,
Ila kusema hiyo nguvu Ndio Mungu kama yule wa kwenye masimulizi ya Wayahudi yaani kiumbe aliyeketi kwenye kiti Cha enzi,Mzee wa siku aliyezungukwa na wazee 24 pamoja na malaika,maserafi na wenye uhai wangapi sijui ni Uongo mkuu kuwahi buniwa na Wayahudi wa kale waliokua ignorant kuhusu Sheria na kanuni za ulimwengu na huyo Ndio tunayepinga uwepo wake!
😁😁😁😁😁πŸ”₯
 
Umeelezea vizuri sana lakini bado mimi sijakubaliana na wewe, either ni katika physical/spiritual worlds yeye awe na uwezo wa kuumba ila yeye hajaumbwa hiyo manifest force ya kuumba yeye ametoa wapi?, If unasema ni beyond physical world , kwa nini wanaosema Anu naye ni beyond physical world mkatae na mtake scientific prove wakati nyinyi scientifically hamuwezi kuprove katika both physical & spiritual forms the existence of God/Allah.
 
Na huo ndio uwezo wake yeye Mungu ulivyo mkubwa mnoo kushinda kiumbe yoyote aliyemuumba.
Nguvu zipo, yeye aliumba but yeye aliwezaje kujiumba? Hiyo nguvu alitoa wapi?, Jaribu kuyafikiria haya maswali beyond your faith.
 
Some of the information hapo nilizisoma kwenye kitabu cha the holy tablets cha dr malaki c yorks Kama umeweza kusoma hicho kitabu mkuu na unakijua kunywa soda hapo nalipia.
Hicho sijakisoma mkuu, ila nilikutana nazo kwenye the ends of days cha Zecharia Sitchin.
 

Umenena vema mkuu ninekuelewa sana
 
bila kuwa physical basi hakuna nguvu, ili nguvu iwepo lazima kuwepo na ile physical force. Ama sivyo mkuu!?
 
Hapana. Inasikitisha sana mtu anatumia habari zako, lakini hata accreditation hatoi. Mimi najua huu uzi watauchukua wengi kwenda kuutumia. Kwa sababu mumechangia na kujadili kwa kina sana.
hahahaha kwahiyo ni wazee wa fursa au sio?
Ndio watu tulivyo mkuu take easy!
😁😁😁😁πŸ”₯πŸ”₯
 
Sawa Mkuu tuendelee,

(MOJA),
Unasema haujakubaliana na mimi either ni katika (Physical/Spiritual) . Unahoji kwanini Mungu awe na uwezo wa kuumba na yeye asiumbwe?

Hivyo hoja yako imejikita kutaka kujua kwanini Mungu asiumbwe.

Jibu,
(1) Mungu ndio chanzo cha ulimwengu usioonekana kwa macho(Spiritual) na ulimwengu unaoonekana kwa macho(Physical). Mungu alianza kwanza kuumba ulimwengu usioonekana kwa macho(Spiritual) kisha akaumba ulimwengu unaoonekana kwa macho (Physical)

Hivyo basi, Mungu hana chanzo bali YEYE MUNGU NDIYE CHANZO CHA ULIMWENGU WOTE USIOONEKANA KWA MACHO (SPIRITUAL) NA ULIMWENGU WOTE UNAOONEKANA KWA MACHO (PHYSICAL)

Kwa muktadha huo,
Ikiwa Mungu ndiye chanzo cha uhai na uwepo wote wa ulimwengu usioonekana kwa macho na ulimwengu unaoonekana kwa macho, YEYE MUNGU ANAWEZAJE KUWA NA CHANZO IKIWA YEYE NDIYE CHANZO?

Hivyo, Mungu hana chanzo bali yeye ndiye chanzo.

(2) Nakukumbusha Mungu hayupo physical in shape, huwezi kumuona wala kumgusa katika ulimwengu huu unaoonekana kwa macho (Physical). Chochote chenye mwili wa nyama lazima kiwe kimeumbwa na muumbaji (Scientifically). Hivyo Mungu yeye ndiye Muumbaji wa viumbe vyenye mwili katika ulimwengu huu unaoonekana kwa macho.

(MBILI),
Manifest ya yeye kuumba ametoa wapi?

Jibu, Huo ni uweza wake Mungu yeye pekeee mwenye uwezo huo wa kuumba. Hivyo ni uweza ambao anao yeye mwenyewe.

(TATU),
Unahoji kwanini wanaosema "ANU" na "KI" ni Beyond physical world tunakataa na tunataka science proof?

Jibu,
Nakataa kwa sababu kwa mujibu ya maelezo yako viumbe "ANU" na "KI" NI VIUMBE WENYE MWILI. hivyo:-

(i) Kiumbe chochote chenye mwili ni lazima kiwe kimeumbwa na MUUMBAJI wa kiumbe hicho. (Scientifically) hakuna kiumbe chenye mwili kinachoweza kujiumba chenyewe. Hivyo "ANU" na "KI" ni viumbe walioumbwa na MUUMBAJI.

(ii) Viumbe hao "ANU" na "KI" kwa mujibu wa maelezo yako ni wanafanana vina saba na binadamu, kwa maana wanazaliana. Kiumbe ambacho kina mwili, kimeumbwa na kinazaliana KINAWEZAJE KUWA MUNGU? KINAWEZAJE KUUMBA KIUMBE MWINGINE?(Scientifically)

(iii) Kwa mijibu wa maelezo yako ni kwamba viumbe hao "ANU" na "KI" ni viumbe waliotoka katika sayari nyingine. Hata utoke Sayari gani Sayari zote zipo kwenye ulimwengu unaoonekana kwa macho (Physical) ulioumbwa na MUNGU. Ndio maana vimeundwa vyombo ambavyo vimeweza kwenda sayari zingine na kuona yaliyomo kwenye sayari zingine na kuendelea kufanya utafiti. Sasa kama Sayari nyingine zingekua hazionekani vyombo vingeweza kufika na kucapture pictures? Inamaanisha kinachotofautisha kufikika na kuona yaliyomo kwenye sayari zingine ni UMBALI TU na NAMNA YA KUFIKA kwenye sayari hizo. Hivyo sayari zote zipo ulimwengu unaoonekana kwa macho. Kwa maana hiyo kwa mujibu wa maelezo yako hao viumbe Anu na Ki ni viumbe wa kufikirika. Hakuna ushahidi wa KISAYANSI unaokubali kwamba wao wameumba kiumbe BINADAMU. Kwa sababu kiumbe chenye mwili wa nyama na uhai hakiwezi kuumba kiumbe mwingine mwenye uhai na mwili wa nyama na pia kiumbe chenye mwili wa nyama na uhai hakiwezi KUJIUMBA chenyewe, (This is pure scietifically).

(NNE) MUNGU YUPO BEYOND (SPIRITUAL&PHYSICAL) HIVYO MUNGU NI MKUU, MWENYE UWEZA YEYE PEKEE WA KUUMBA VIUMBE WOTE KWENYE ULIMWENGU USIOONEKANA NA UNAOONEKANA KWA MACHO.

KUSHINDWA KUMPROVE KISAYANSI, HII NDIO INADHIHIRISHA UKUU WAKE KWAMBA YEYE NI ZAIDI YA KILA CHENYE UHAI NA MWILI.

Kwanini?
Kwa sababu yeye ni MUNGU. Ndio maana hata hao viumbe wa kufikirika Anu na ki nimewaprove tu kwa urahisi kisayansi ni kwa mujibu wa maelezo yako annunaki ni viumbe wenye mwili na HATA MABAKI YAO YA MIFUPA IPO, hivyo hao viumbe annunaki ni lazima wawe wameumbwa na hawawezi kuumba kiumbe chenye mwili. (Scietifically Proved)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…