Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Hapana Mkuu, hakuna sehemu ambayo nimeku-accuse kwamba maswali yako au majibu yako ni ya kibishi, nimekua calm katika mjadala naomba sana tuendelee kwenye hoja kwa kurelax. Ukiniambia maswali yangu ya kibishi huko ni kuninyima haki ya kuhoji. Katika mjadala huu nimejikita kujadili kiimani(Spiritual) na kisayansi (Physical). Unasema umeelezea "MTU ALIVYOUMBWA KISAYANSI" na kiumbe annunaki.Maswali yako ni ya kiubishi zaidi, nimeelezea jinsi alivyoumbwa mtu scientifically zaidi kuliko nadharia ya kiimani, kama hukuona sayansi iliyotumika siyo kosa, sijuhi neno Sayansi kwako wewe lina maana ipi.
Kwa mujibu wa (Science Methodology), ni kwamba Science haiamini katika imani inaamini katika facts and proving. nilikuuliza kuna kiumbe chenye mwili na uhai kinachoweza kujiumba chenyewe na kuumba kiumbe mwingine? Ukanijibu "HAKUNA".
Sasa, kama unasema umeeleza kiumbe annunaki alivyomuumba binadamu kisayansi, HUONI UNAJICHANGANYA? KAMA KISAYANSI HAKUNA KIUMBE CHENYE MWILI NA UHAI KINACHOWEZA KUUMBA KIUMBE MWINGINE MWENYE MWILI NA KUMPA UHAI, SASA KIUMBE ANNUNAKI MWENYE MWILI NA UHAI AMEWEZAJE KUUMBA KIUMBE MWENYE MWILI NA KUMPA UHAI?
Unajitetea kwa kusema kiumbe annunaki alikua ni EXTRAORDINARY, HUONI KAMA UKISEMA HIVYO UNAKUA UMEINGIA KWENYE IMANI/MIUJIZA? PIA UNAKUA UNAJICHANGANYA KWA KUMVISHA HUYO KIUMBE ANNUNAKI KWAMBA ANA UWEZO WA EXTRAORDINARY (IMANI/MIUJIZA) IKIWA HUYO KIUMBE ANNUNAKI KAUMBWA NA MUUMBAJI, ANA MWILI NA UHAI, ANAZALIANA NA ANAKUFA NA MABAKI YAKE YA MIFUPA YAPO, NA KISAYANSI HAKUNA KIUMBE MWENYE MWILI ANAYEWEZA KUUMBA KIUMBE MWINGINE MWENYE MWILI NA KUMPA UHAI.
Hiyo unasema wewe, mimi sipo katika misingi ya kukukamata. Nipo katika misingi ya HOJA (kiimani/Spiritual/Miujiza na Science/Physical) kwa sababu MUNGU ndiye muasisi na muumbaji wa (Spiritual&Physical Universe).Unaweza kuona labda maswali yako ni magunu sana kwamba umenikamata, lakini sivyo maswali yako ni mazuri sana na yenye logic ila majibu uliyokusidia kuyapata ni ya kiimani zaidi katika misingi ya kiimani hatuwezi kupata hitimisho la pamoja kihoja
Hapa sasa ndipo unapojichanganya, unaingia katika imani/miujiza. Hii ina maana huna tofauti na mimi ambae hoja yangu ipo katika imani na sayansi (Spiritual&Physical).Mwisho niseme hao viumbe uwezo wao ni extraordinary level siyo kama sisi, kwa uwezo huo waliweza kumuumba mtu.
Pia ukisema kiumbe annunaki yupo extraordinary, kisayansi yeye ni kiumbe tu chenye mwili na uhai amewezaje kuumba kiumbe mwingine (binadamu) mwenye mwili na kumpa uhai? ikiwa tumeshakubaliana kisayansi yeye hawezi kujiumba mwenyewe na kuumba kiumbe mwingine.
Mungu ni Extraordinary kwa sababu yeye MUNGU NDIYE MUUMBAJI WA ULIMWENGU USIOONEKANA KWA MACHO (SPIRITUAL) NA ULIMWENGU UNAOONEKANA KWA MACHO (Physical)Kama Mungu amemuumba mtu kwa mfano wake, ila yeye unakubali kwamba ni extraordinary na hafananishwi na chochote, kwa nini nisiamini kwamba mtu ameumbwa na Anu & Anu is extraordinary level than his creature?
Nakuambia usiamini annunaki ameumba kiumbe binadamu. Kwa sababu:-
(i) kwa mujibu wa maelezo yako, kiumbe annunaki ni kiumbe tu kama viumbe wengine wenye mwili na uhai. Hivyo annunaki ameumbwa na hawezi kuumba kiumbe mwingine mwenye mwili na kumpa uhai. Hii ni (Scientifically Proved)
(ii) Mabaki ya mifupa yao yanathibitisha kwamba wao annunaki ni viumbe wenye mwili, wameumbwa, wamezaliana na wamekufa. Kisayansi hakuna kiumbe chenye mwili kinachoweza kuumba kiumbe mwingine mwenye mwili wa nyama na kumpa uhai.
(iii) ukisema annunaki ni extraordinary, unakua unakua umeingia kwenye (imani/miujiza) na kwamba annunaki wameumba binadamu kimiujiza, ikiwa wao annunaki wana mwili kama viumbe wengine. Hivyo kisayansi haikubaliki kwamba kiumbe chenye mwili na uhai kinachozaliana na kufa kiumbe kiumbe kingine chenye mwili na kumpa uhai.
Mkuu, haukuniuliza swali hili lakini kwa kuwa umeliuliza sasa nakujibu kama ifuatavyo:-Nilikuuliza can you prove how God/Allah created man scientifically?, Ukashindwa umeishia kujibu mambo ya nadharia kwamba hana mwanzo, alikuwepo, atakuwepo na hafananishwi na kitu chochote.
Kwahiyo hiyo Sayansi unayoitaka zaidi ya nilichokiandika, hiyo Sayansi sina.
(Scientific Methodologically on how GOD created man)
Baada ya Mungu kufanya uumbaji wa vitu vyote katika ulimwengu unaoonekana kwa macho (Physical Universe) vitu kama jua, nyota, mwezi na sayari zote. Akaichagua sayari DUNIA na kuumba ardhi yenye rutuba, mimea na mazao ya kila aina, miti ya matunda ya kila aina, mito, maziwa na bahari, madini, mafuta, gas ardhini, upepo, vipindi vya majira mbalimbali ya mvua, joto n.k viumbe hai wa kila aina kama samaki, ndege, wanyama na mwisho kabisa MUNGU AKAMUUMBA MTU(BINADAMU)
How God created Man(human being)
Mungu alianza kwa kuumba mwili na organs zake zote na mifumo mbali mbali ya mwili wa kiumbe MTU(Binadamu) mwanaume kwa udongo na kumpulizia pumzi ya uhai, mtu huyo mwanaume akawa "NAFSI HAI" kisha akaumba kiumbe binadamu mwanamke pia.
Kwa pamoja akawa ameumba kiumbe binadamu wa "KIUME" na wa "KIKE". Kisha viumbe hao binadamu wa kiume na kike wakazaliana(REPRODUCTION)na kuijaza sayari dunia.
HIVYO NDIVYO MUNGU ALIVYOUMBA SAYANSI NA VIUMBE HAI WOTE KATIKA ULIMWENGU HUU UNAOONEKANA KWA MACHO (Physical Universese)