Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntakujibu nkimaliza sehemu ya mwisho, ila endelea kufuatilia unaweza kupata jibu kabla hata sijakujibu mimi.Nijibu Kuna swali langu nyuma huko
Jina lako tu la kimtandao linaonyesha kwamba una shida:wewe ni moron wa Shetani.Mswahili unajiita Napoleone,shameful indeed.So unataka na sisi tuamini au tuhusudu ujinga ulioaminishwa na morons wenzio,no way.Your attempts to make me Satans' moron kama ulivyo wewe has miserably failed,mimi ni Mwana wa Mungu!Hahah.mlokole katika ubora...yaam hata kufikir kivingne anaona kama dhambi atachomwa moto....bwana duma huyu jamaa usingemuita hapa..naona ni akil ndogo hiz za kina shila.hahahahah
I am glad you know who I am and that I hate Satan and this Satanic World.Mimi sio wa Dunia hii kama wewe,napita tu,how can I love the World and what is in it.Na si ajabu unanichukia,kwa kuwa hata Baba yangu unamchukia.hahahahaha huyu jamaa hua tuna tifuana kweli kweli kwenye maswala ya dini ni mlokole flani brain washed sana,
Kiasi kwamba hua aninifurahisia sana kwenye baadhi ya maada yeye Kila kitu kizuri Duniani huita ni mpango wa Lucifer Hata kama ni vumbuzi yenye faida huishia kuiponda hua ananishangaza sana kuponda technologies mbali mbali huko akitumia vifaa na device za tech kama simu yake iliyotengenezwa na maajent anaodai ni wa Lucifer kutype Pumba za kumponda huyo huyo Lucifer
What a joke
😁😁😁😁😁🔥
You Sound like ProphetI am glad you know who I am and that I hate Satan and the Satanic World.Mimi sio wa Dunia hii kama wewe,napita tu,how can I love the World and what is in it.Na sia ajabu unanichukia,kwa kuwa hata Baba yangu unamchukia.
Mkuu ngoja nikujibu hiviNnimesoma uzi wote wa mtoa mada,ni uzi mzuri sana huu,najiifunza vitu vipya japokuwa mimi ni muislamu ila naendele akusoma.
Ila nina swali moja kwa mtoa mada ndugu Artificial intelligence
Kama hao annunaki walikuwa na technolojia kubwa sana ya mpaka kupasua mawe kwa miale ya moto,vipi teknolojia haikuweza kuwasaidia kuchimba dhahabu hapa duniani ?
Why wamtengeneze mtu wakati huyu mtu ni dhaifu hata kupasua kokoto hawezi sembuse hizo dhahabu ambazo zinapatikana kwa shida ?
Why waliona mtu ndio atawasaidia kuchimba dhahabu wakati huyu mtu hana teknolojia yoyote.
Why wasitumie technolojia yao hiyo hiyo kubwa kuchimba dhahabu badala yake wamuumbe mtu ati aje kusaidia kuchimba ?
I am indeed a Prophet,God has sent me to tell you that He loves you and He wants you to change your ways,receive Jesus Christ as your personal Saviour and be saved.Brother, there is no other way to eternal life except through Jesus. Yeye ndiye njia,kweli na uzima.Wengine wote wanakudanganya.You Sound like Prophet
Mathanzua but uko na ujinga Sana kichwani hahaha
Who is Satan?
Wapi unaweza kutupeleka tukaonane nae maana unamponda Sana,natamani nikamwone niuone ubaya wake Ili ni prove wrong isije kua one side story kumchukia kiumbe asiye na ugomvi na wewe!
Show me the way to Satan I promise nitakupa malipo ya udalali ukinifikisha kwake!
😁😁😁
nakuelewa vzr sana mkuuMkuu ngoja nikujibu hivi
Ushakiri Annunak Wana ujuzi na Teknolojia kubwa Kwanini wasiitumie kuchimba Dhahabu Hapo Hapo unasahau wametumia Teknolojia hiyo hiyo kubwa kuunda mtu kama man power wa kuchimba Dhahabu,huoni Teknolojia Yao kubwa ya kuumba mtu Ndio imerahisisha kazi?
Yaani watu nao walikua sehemu ya Teknolojia kwao
Ni SAWA Leo tuunde robots zitusaidie kuchimba Dhahabu halafu baadae tukatowekaz ghafla na kuziacha zikijiendesha zenyewe halafu ziwe zinatusoma kama hivi halafu zijue kumbe Binadamu Alikua na technolojia kubwa Kwanini asingeitumia kuchimba Dhahabu badala ya kuziunda zenyewe,
Huoni contradiction Hapo?
Binadamu nae Alikua sehemu ya tech kamanda Kumbuka wao walikua wachache wasingeweza kuiendesha Kila kitu lazima walihitaji robots ambao Ndie kina sie kuiendesha mambo kiurahisi!
😁😁😁😁😁
Basi tulikuwa tulidanganywa sana kuhusu haya ma pyramids.Hongera Mkuu Kwa kufika huko, ila kiuhalisia yale madubwasha ni makubwa sana, haiingii akilini kuwa yalijengwa Kwa main purpose ya kuhifazia pharaohs tu peke yake, hebu we uliefika Kwa jinsi ulivojionea na Kwa Akili ya kawaida ya teknolojia ya zamani unahisi ingewachukua miaka mingapi ili kujenga pyramid 1 ili lije kutumika kama kaburi?
Maana tukisema main purpose ilikuwa yatumike kama makaburi inawezekana huyo pharaoh alie madarakani akazaliwa na hadi akafa na asije kulitumia kaburi lake maana litakuwa bado halijakamilika na linaendelea na ujenzi
ila nachoamini pharaoh wamekuja kuyatumia kama makaburi Yao baada ya kuyakuta tu yana exist na watu hawajui Yana kazi Gani na ataka kama walikuwa wanajua yalikuwa na kazi gani basi wakajua hayana kazi tena, Sasa Kwa uzuri wa hizo pyramid na uspecial wake pharaoh wakaamua kuongezea Thamani maiti zao Kwa kuzikwa mle ndani
ila ukweli ni kwamba Yale madubwana ni makubwa sana kiasi kwamba watafiti hawajui ata yanaishia wapi na yanaelekea wapi, ila watalii ndio wanaishia kwenye maeneo ambayo yanafikika kirahisi then zoezi la utalii linaishia hapo
Na Kumbuka pyramid hazipo Egypt pake yake yapo hadi huko America kusini na huko kulikuwa hakuna ma pharaoh, je na huko yalikuwa yanatumika kama makaburi? Maana huko hakuna mummies/mabaki ya watu ambao unaweza kusema hapa lilikuwa kaburi
Nimeuliza hivi mkuu..Yaani watu nao walikua sehemu ya Teknolojia kwao
Mkuu mimi sihoji kuhusu anunnaki kuumba dhahabu,nahoji kuhusu ufanisi wa binadamu aliyeumbwa kuwa na ufanisi zaidi wa kuchimba dhababu kuliko hyo technolojia yaokuchimba Dhahabu badala ya kuziunda zenyewe,
Roboti maana yake arahisishe kazi,awapunguzie mzigo.Ni SAWA Leo tuunde robots zitusaidie kuchimba Dhahabu
Contradiction ipo kwenye hoja yako kwa sababu haiwezekani tuambiwe kwamba annunaki alikuwa anataka dhahabu,alafu alikuwa na technolojia kubwa,kisha hapo hapo wamuumbe mtu ambaye atakuwa hana technolojia yoyote ya kuchijimba dhahabu.Huoni contradiction Hapo?
Una swali zuri Mkuu na una logic katika swali lako, labda niulize unafahamu namna vile dhahabu inachimbwa au ata idea tu vile inachimbwa katika migodi popote pale duniani?Nimeuliza hivi mkuu..
Kwa nini wasitumie technolojia kubwa waliyonauo kuchimba dhahabu kwa urahisi badala yake wamuumbe binadamu ambaye iliwachukua miaka ?
Kumbuka kuwa walikuwa hawajashindwa kuchimba,ila walitaka msaidizi wa kuichimba.
So huyu binadamu aliyeumbwa alikuwa na ufundi gani,na uharaka gani wa kuchimba dhahanu kuliko ile technolojia yao kubwa ambayo walikuwa nayo ?
Mkuu mimi sihoji kuhusu anunnaki kuumba dhahabu,nahoji kuhusu ufanisi wa binadamu aliyeumbwa kuwa na ufanisi zaidi wa kuchimba dhababu kuliko hyo technolojia yao
Roboti maana yake arahisishe kazi,awapunguzie mzigo.
Why anunnaki waliona kama binadamu atarahisisha kazi kwao wakati walitumia miaka tele kupata toleo walilopendezwa nalo ?
Miaka ambayo wameipoteza kumuumba mtu walikuwa wamwsitisha zoezi la kuchimba dhahabu au lilikuwa likiendelea kwa kasi yao ya kawaida ?
Contradiction ipo kwenye hoja yako kwa sababu haiwezekani tuambiwe kwamba annunaki alikuwa anataka dhahabu,alafu alikuwa na technolojia kubwa,kisha hapo hapo wamuumbe mtu ambaye atakuwa hana technolojia yoyote ya kuchijimba dhahabu.
Jibu zuri na Mimi nilitaka nimjibu Kwa style Hii Hii,Kila kitu kina limitations mfano Kwa hiyo Teknolojia kubwa walionao Kuna mdau alihoji kwanini wasingetengeneza Dhahabu huko huko kwao kiufupi Kuna limit ya kufanya baadhi ya vitu Hata ukiwa na technology kubwa Ndio maana Hata kwenye dhana ya Mungu tunaambiwa ni muweza wa Kila kitu ila aliumba baadhi ya viumbe kama Malaika,maserafi mpaka kina Lucifer Ili wawe wasaidizi wa kazi zake japo ni mwenye ujuzi Wote na maarifa yote ambayo yasingemlazimu kufanya Hivyo,Una swali zuri Mkuu na una logic katika swali lako, labda niulize unafahamu namna vile dhahabu inachimbwa au ata idea tu vile inachimbwa katika migodi popote pale duniani?
Kama unajua nadhani kwa namna Moja au ingine unaweza kupata logic au mwanga Kwanini labda watu waliumbwa ili kusaidia hilo zoezi
Na kama hufahamu tafuta mtu ambae anajihusisha na uchimbaji alafu muulize vile wanachimba na atakwambia limitations za any advanced technology katika uchimbaji
Maana ata leo hii kuna Advanced technology pia ambazo zingeweza kuchimba zenyewe, ila jiulize Kwanini ata kwetu katika migodi mikubwa nguvu kazi ya kuchimba dhahabu bado wanatumika binadamu na process zingine ndio technology inatumika
Hili swali hawatakujibu zaidi ya bla blaNimeuliza hivi mkuu..
Kwa nini wasitumie technolojia kubwa waliyonauo kuchimba dhahabu kwa urahisi badala yake wamuumbe binadamu ambaye iliwachukua miaka ?
Kumbuka kuwa walikuwa hawajashindwa kuchimba,ila walitaka msaidizi wa kuichimba.
So huyu binadamu aliyeumbwa alikuwa na ufundi gani,na uharaka gani wa kuchimba dhahanu kuliko ile technolojia yao kubwa ambayo walikuwa nayo ?
Mkuu mimi sihoji kuhusu anunnaki kuumba dhahabu,nahoji kuhusu ufanisi wa binadamu aliyeumbwa kuwa na ufanisi zaidi wa kuchimba dhababu kuliko hyo technolojia yao
Roboti maana yake arahisishe kazi,awapunguzie mzigo.
Why anunnaki waliona kama binadamu atarahisisha kazi kwao wakati walitumia miaka tele kupata toleo walilopendezwa nalo ?
Miaka ambayo wameipoteza kumuumba mtu walikuwa wamwsitisha zoezi la kuchimba dhahabu au lilikuwa likiendelea kwa kasi yao ya kawaida ?
Contradiction ipo kwenye hoja yako kwa sababu haiwezekani tuambiwe kwamba annunaki alikuwa anataka dhahabu,alafu alikuwa na technolojia kubwa,kisha hapo hapo wamuumbe mtu ambaye atakuwa hana technolojia yoyote ya kuchijimba dhahabu.
Tatizo hamtaki kujifunza vitu vipya na mnakuja kwenye mada mmejiandaa kubisha tu, hulazimwishi kuamini kinachoongelewa hapa ila unaweza kusoma na kuongeza kitu kipya katika Ubongo wako then ukapuuzia na usipungukiwe chochoteHili swali hawatakujibu zaidi ya bla bla
Yaani Annunaki waunde mtu ambaye ni dhaifu kuliko wao wawafanyie kazi ya uchimbaji dhahabu [emoji1787]
Waulize kabla ya kuumba huyo mtu walikua wanaipataje hiyo dhahabu?
Ngoja nikazie kidogo kwenye swala la Pyramid maana wengi hudhani yalikua makaburi kumbe sivyo mfano hizo za Giza zimejengwa miaka Pre human civilization yaani kipindi ambacho kina Pharao Bado hawajaexist Wala misri kuwa kama falme kubwa ila na wao waliyakuta yashajengwa miaka mingi kama Mimi na wewe tuonavyo Leo na tunavyoshangaa ni jinsi Gani ya muda mrefu,Hongera Mkuu Kwa kufika huko, ila kiuhalisia yale madubwasha ni makubwa sana, haiingii akilini kuwa yalijengwa Kwa main purpose ya kuhifazia pharaohs tu peke yake, hebu we uliefika Kwa jinsi ulivojionea na Kwa Akili ya kawaida ya teknolojia ya zamani unahisi ingewachukua miaka mingapi ili kujenga pyramid 1 ili lije kutumika kama kaburi?
Maana tukisema main purpose ilikuwa yatumike kama makaburi inawezekana huyo pharaoh alie madarakani akazaliwa na hadi akafa na asije kulitumia kaburi lake maana litakuwa bado halijakamilika na linaendelea na ujenzi
ila nachoamini pharaoh wamekuja kuyatumia kama makaburi Yao baada ya kuyakuta tu yana exist na watu hawajui Yana kazi Gani na ataka kama walikuwa wanajua yalikuwa na kazi gani basi wakajua hayana kazi tena, Sasa Kwa uzuri wa hizo pyramid na uspecial wake pharaoh wakaamua kuongezea Thamani maiti zao Kwa kuzikwa mle ndani
ila ukweli ni kwamba Yale madubwana ni makubwa sana kiasi kwamba watafiti hawajui ata yanaishia wapi na yanaelekea wapi, ila watalii ndio wanaishia kwenye maeneo ambayo yanafikika kirahisi then zoezi la utalii linaishia hapo
Na Kumbuka pyramid hazipo Egypt pake yake yapo hadi huko America kusini na huko kulikuwa hakuna ma pharaoh, je na huko yalikuwa yanatumika kama makaburi? Maana huko hakuna mummies/mabaki ya watu ambao unaweza kusema hapa lilikuwa kaburi
Huna ulijualo kumhusu huyo Mungu wako na unaelimu nyepesi Sana kumhusu believe me,ungekua umesoma theolojia angalau,usingekua na akili hizoI am indeed a Prophet,God has sent me to tell you that He loves you and He wants you to change your ways,receive Jesus Christ as your personal Saviour and be saved.Brother, there is no other way to Heaven except through Jesus. Yeye ndiye njia,kweli na uzima.Wengine wote wanakudanganya.
Theology ni mpango muovu wa Ibilisi kuchakachua the true knowledge of God,wala siihitaji.Ni mjinga tu na aliyechakachuliwa na Shetani anayeweza kudhani kwamba Theology ni true spiritual knowledge.Huna ulijualo kumhusu huyo Mungu wako na unaelimu nyepesi Sana kumhusu believe me,ungekua umesoma theolojia angalau,usingekua na akili hizo
Ulipo hapo
Hujui historia kumhusu El/YWH/Elohim/Jehovah/Jesus
Hujui pia kumhusu mwanzilishi wa hiyo Imani unayoitumiania upo upo tu Hata
Abrahamic Religion Huna historia nayo
Unaonekana kituko tu hapa jamvini
Umekazana namtumainia Mungu sijui Yesu na nani sijui ila hujui Hata hao unaoabudu walianzia kuabudiwa wapi kabla Wakoloni hawajakuletea through Babu zako
Hahahahaah!
Mkuu badala ya kuuliza,unatakiwa uweke hizo ideas ili uwe na nafasi mzuri ya kujenga hoja zako na sisi tupate kujifunza,isiwe kuuliza tu k2a sababu sio kila mtu yupo katika hizo field za mining.Una swali zuri Mkuu na una logic katika swali lako, labda niulize unafahamu namna vile dhahabu inachimbwa au ata idea tu vile inachimbwa katika migodi popote pale duniani
Mkuu weka wazi hapa hayo mambo na sisi tujifunze,mimi sio mtu wa hizo mambo za mining.Kama unajua nadhani kwa namna Moja au ingine unaweza kupata logic au mwanga Kwanini labda watu waliumbwa ili kusaidia hilo zoezi
Kama wewe unafahamu basi uelezee hapa mkuu ili na sisi tujifunze kwa sababu mjadala uko hapa haiwezekani unitupie k2a mtu mwingine.Na kama hufahamu tafuta mtu ambae anajihusisha na uchimbaji alafu muulize vile wanachimba na atakwambia limitations za any advanced technology
Hii technology yetu ya sasa ya uchimbaji inafanana na technolojia ya anunaki wakati ule kabla ya binadamu ?Maana ata leo hii kuna Advanced technology pia ambazo zingeweza kuchimba zenyewe, ila jiulize Kwanini ata kwetu katika migodi mikubwa nguvu kazi ya kuchimba dhahabu bado wanatumika binadamu na process zingine ndio technology inatumika