Anigrain
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 1,680
- 4,204
To make the story short Mkuu hapa tupo Kwa ajili ya kujifunza na kuongeza maarifa na lengo sio kubishana na kujifanya tunajua sanaMkuu badala ya kuuliza,unatakiwa uweke hizo ideas ili uwe na nafasi mzuri ya kujenga hoja zako na sisi tupate kujifunza,isiwe kuuliza tu k2a sababu sio kila mtu yupo katika hizo field za mining.
Mkuu weka wazi hapa hayo mambo na sisi tujifunze,mimi sio mtu wa hizo mambo za mining.
Kama wewe unafahamu basi uelezee hapa mkuu ili na sisi tujifunze kwa sababu mjadala uko hapa haiwezekani unitupie k2a mtu mwingine.
Weka hizo limitations za uchimbaji ili tuzidi kujifunza na kuuliza panapobidi kuulizwa.
Hii technology yetu ya sasa ya uchimbaji inafanana na technolojia ya anunaki wakati ule kabla ya binadamu ?
Elimu ya dini au Imani ni kama elimu zingine, hazina mwisho wa kujifunza na ni ruhusa kuhoji na wakati unajifunza, kwahiyo kama mnapata maswali na hoja za kuuliza Kwa Miungu Annunaki basi sio mbaya mkauliza na Kwa Miungu mingine maana sitaki kuamini Kwamba huko kwingine hamna maswali ya kuuliza
Turudi kwenye point ya kuuliza kama unafahamu au una idea na uchimbaji wa dhahabu, nitaeleza Kwa elimu yangu ndogo kuhusu uchimbaji wa dhahabu, dhahabu ni kama vile ina connection ya Moja Kwa Mojana na binadamu katika upatikanaji wake
Ukiwa unachimba dhahabu Kuna masharti mengi ya kufata ambayo mchimbaji anatakiwa kufata na mengi Yao ni pamojana na usafi wa mwili na nafsi na Ina involve hadi nguvu za giza na hadi viumbe wengine ndomana kupata dhahabu sio rahisi na sio kwa Kila Mtu, na ndomana wengine hufukiwa na vifusi endapo masharti yanakuwa yamekiukwa japokuwa Kuna wachache wanaweza kupata Kwa ndondokela
Watu wanachimba dhahabu kwa kufata Mwamba wake, na Mwamba Waga unahama kadri unavojiskia wenyewe na pia Mwamba unaweza kuhamishwa makusudi kulingana na nguvu ya mchimbaji
kwahiyo hadi hapo utaona kwamba ata iweje huwezi kuingiza vifaa ndani ya tunnel ili uchimbe dhahabu kwakuwa teyari by nature ina connection na binadamu, technology itakuja kusaidia kwenye kuichakata dhahabu,kuosha,kuigrade,kusafirisha ila sio kuichimba
Kwa upande wangu naishia hapa Mkuu na nafunga mjadala wangu na wewe, wengine wataendelea kujibu maswali yako kadri ya uwezo wao