Asante sana mleta mada though nilikuhaid tutakuwa wote sema ndo hivyo majukumu
Nipende kusema Kwamba kati ya nyuzi bora kuwah kuziona hapa JF na huu humo.
Artificial intelligence amejitahid sana kuandik uzi wenye facts tupu na ushahidi wa kutosh kiasi Kwamba had na sasa weny ideas kuhusu mada tunashindwa tuongeze nin
Paw kama inawezekana unganisheni sehem zote mziweke mwanzoni, ili mtu akifungua uzi akutane na mkeka mzima, maana huu uzi unaondoa mawaza kwa watu wenye shida kama sisi😂 na kupanua fikra.
Naona watu wengi wameuliza kwa nini annunaki hawakutumia teknologia yao badala yake wakamuumba mtu
Nichangie kdogo kuhusu hilo, unajua kabla ya ujio wa abrahamic religion kila watu walikuwa na Mungu wao. Afrika tulikuwa na mizimu yetu tena kwa majina ambayo jamii mbali mbali ziliabudu na kubarikiwa vizuri tu.
Annunaki walimuumba binadamu ili awe msaidizi katika operation zao, level yao ya teknologia iliishia pale, kuonyesha kwamba kumuumba mtu ni teknologia ya juu na haitafikiwa, mpaka leo hakuna aliyewahi kumrudishia uhai mtu aliyekufa.
Kulikuwepo na miungu na siyo Mungu, ukisoma katika annunaki mutiny, ilitokea uhasi na machafuko baina yao, Amri ya kwamba msiabudu miungu wengine, ni Amri iliyotolewa baada ya ancients kuanza kuabudu hiyo miungu, ukatokea mmoja ukawapa amri, lengo ni kuwafanya wautii.
Mumeambiwa mungu alikuwa na malaika, Enki stand for God na anu for angels.
Mungu muweza wa yote kama dini zinavyosema, atashindwaje kumumaliza shetani kabisaa, Yaani Mungu atende miujiza na uponyaji hapa hapo na miungu itende miujiza na kuponya watu (hebu jiulizeni).
Mnaambiwa Mungu ni roho, hicho kitu hakipo ilikitu ki exist lazima kievolve bila mwili na damu kiumbe akija kamilika, roho itahukumuje mtu siku ya mwisho kama wanavyosema, hicho kitu hakipo.
Hamuoni china na wahindi wanavyoabudu miungu yao inayoonekana kabisa kwa njia ya sanamu na kubarikiwa tena kwa kutoa hadi sadaka ya damu. Kwani nyama na damu mlizokuwa mnaweka kwa ajili ya mizimu yenu, nani alikuwa anazichukua?,
Sisi tumetokana na kiumbe mwenye mwili kama sisi na si roho tu. Annunaki wakati wanatoweka duniani kutokana na kuabudiwa waliweka agano la kurudi tena duniani baada ya muda mrefu, baada ya kuzisoma code zao zilizoachwa kama ishara zao za kukaribia kurudi tena duniani, hawa wataalamu wa dini wakaja na stori za siku ya kihama.
Ni kweli hawa viumbe watarudi tena duniani, wenzetu wameshajua siri zote, ndiyo maana unaona wanaangaika kutafuta makazi mapya nje ya dunia.
Einstein baada ya kusoma weapons of annunaki na kugundua kwamba walikuwa na silaha za nyukilia, yeye na jopo lake ndiyo ukawa mwanzo wa kutafiti na kuunda siraha za maangamizi lengo si kwa binadamu tu bali hata kwa annunaki ikitokea wamerudi ghafla duniani, huku utafiti wa makazi mapya ya badae kwenye sayari nyingine ukiwa kipaumbele kikubwa, NASA na taasisi dini wanajua kila kitu kuhusu hawa viumbe lakini kamwe hawatakaa waseme kamwe.
Wachina mwanzoni walianza wamepuzia hizi habari licha ya kuwa na taarifa nyeti kuhusu ancient civilisation, baada ya kuanza kuzifanyia kazi, kwa sasa teknologia wameiweka kiganjani mwao na sasa wanachanja mbuga na wao.
Taarifa zozote nyeti ambazo hawazijuhi kuhusu sumerians, wakifahamu unazo ni either ufe au wazichukue wao.
Mumeambiwa mumeumbwa kwa mfano wake, kwahiyo kama yeye ni roho tu, ilitakiwa na sisi sasa hivi tuwe roho tu.
Ndiyo maana mafundisho ya dini kuhusu Mungu na shetani yanafundishwa mkiwa wadogo sana ili kuwa manipulate kisaikolojia na kiakili, hizo habari wangezifundisha mumeshafunguka kiakili kama hivi, dhamira yao ingeshindwa,vibaya sana.
Sisi ni mwili na roho na tumeumbwa na mwili na roho, sisi hatuwezi kuwa roho tu na aliyetuumba siyo roho tu bali na mwili.
Wakiristo tunasali kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu, maana yake baba yetu sisi anazaa pia na ana mwili kama sisi (roho haiwezi kuzaa).
Nawatakia majukumu mema members wote wa JF.