Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Mithili ndio sahihi.

Misri ni nchi.
Vatican ni hatari Kwa mstakabari wa Dunia hao jamaa ni mafia sana sikuamini pale niliposoma ya kwamba kumbe ndio founder wa Islam religion Kupitia ajent wao Father Waraqa na Mohammed Abdulla daaaa nikabaki kujisemea Hawa jamaa ni taasisi hatari sana!
Ila Sasa wenye dini zao ukiwaeleza watakuelewa basi?
🤔🤔🤔
Mkuu kuhusu hii ya kuwa vatican ndio wameunda dini ya uislamu siku ukianzisha uzi naomba nitag ili nipate elimu ya ziada.
 
Mithili ndio sahihi.

Misri ni nchi.

Mkuu kuhusu hii ya kuwa vatican ndio wameunda dini ya uislamu siku ukianzisha uzi naomba nitag ili nipate elimu ya ziada.
Namimi asee mnikumbuke kwenye tag
 
Umedanganya na wewe.
Mkuu kuwa basi mstaharabu.kama unaona wanadanganya na hufai kuipitia acha watu wanaoitaji wasome.si umekwisha sema wanadanganya?shida ipi tena unayo?nadhan unaweza kuendelea na mipango yako unayoamini.itakuwa bora zaidi kwa afya ya ubongo na akili zako.tuwe wastaharabu basi
Tuheshimu kwa kila imani ya mtu.
 
Mithili ndio sahihi.

Misri ni nchi.

Mkuu kuhusu hii ya kuwa vatican ndio wameunda dini ya uislamu siku ukianzisha uzi naomba nitag ili nipate elimu ya ziada.
kuna video nilifuatilia youtube mwaka 2011 na nikasoma vitabu vilivyokuwa vimependekezwa humo, ilikua noma. Sema ilishafutwa, ningekuletea link.

Mada ikianzishwa, mnistue nichangie kile kilichobaki kichwani kwa uhusiano wa vatcan na uislam.
 
Je mkuu kuna sehemu yoyote ambayo yamegundulika majina waliyokuwa wakiishi annunaki,au ndio hizo pyramid ?
Mkuu wachunguzi wa mambo kale walipata tablets zenye Lugha za Accient Sumerian Ina Alfabet 500 hivi Lugha ya mule ni ngumu na haieleweki Yaani ni full mauza uza,endapo wakiweza kutafsiri ndio watapata kitu Cha kutuambia maana hata sisi tunawategemea wao watupe update ya kilichoandikwa mule maana ndio Kuna Siri zote za uimwengu ila kuyasoma ndio mbinde!
😁😁😁😁🔥🔥
 
Baada ya kuchapiwa mke huyo mungu wao alivyokuwa na double standard eti akamwadhibu farao wakati abrahamu kwa uoga wake alisema sarai nindada yake na akamozesha na mahari ya farao akala jamaa alikuwa tapeli
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
 
Broo uko deep sana.naomba niwe rafik yako na uni tag kwenye nyuz zote critical kama hiz zenye knowledge..kuna kipind nilikua nasoma sana na kufatilia sana haya mambo ila kuna muda nikaacha manaa kila nikikutana na watu wa home wakiongelea mambo yao ya religion mim nikiwapa nondo wnaasema dogo umeanza kudata..acha hayo mambo unayofatilia[emoji3]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] juzi nimetoka kumchana mtu kawa mdogo Kama piriton
 
Napoleone unachopaswa kujua ni kwamba huwezi kumuelewa Mungu kwa kutumia hako kaakili ambako afterall ni Yeye kakupa.He is an extremely complex God na akili zake ziko juu mno.To appreciate his complexity kasema hivi:mbingu ni kiti chake na Dunia ni sehemu ya kuweka miguu yake,utamuelewaje Mungu kama huyo?!Na Napoleone,utamuelewaje Mungu aliyeumba the Universe and all the forces which supports it and all that is in it?Halafu kasemaa, akili zake ziko juu mno!Kwa nini usiridhike na kujua tu kwamba yupo?
Yaani wewe unshindwa kujadili for fact na badala yake unatoa mahubiri ,,

Inawezekanaje Mungu mjuzi wa yote ashindwe kujua kuwa shetani aliyemuomba ipo siku 1 atakuja kumsaliti ?? Kama alikuwa anajua kwanini alimuumba , Na baada ya huyo shetani kumsaliti huyo mungu muweza wa yote kwanini alishindwa kumu eliminate!?

Najua jibu lako litakuwa alimuacha pasipo kumu eliminate ili amfanye kuwa kipimo. Cha kuwapima binaadamu Imani zao kwa kuwapa mitihani, Na Mimi nitakuuliza Tena Hivi Mungu mjuzi wa yote ana sababu gani za kumpa mtu mitihani ili apate kujua Uaminifu wake wakati yeye tayari Ni mjuzi wa yote , so kama mtu hatukuwa mtiifu na mtenda mabaya Basi huyo mungu wenu kwakuwa ana ujuzi wa yote tayari itakuwa amesha ijua tabia ya mtu huyo pasipo hata kumjaribu kwa kutumia nguvu ya uweza wake wa yote ,,!??

Aiseee mbona mungu wenu huyo ana contradiction nyingi Sana hamuoni kuwa Ni mungu wa mchongo ,,

Finaly you have to know that Dini Ni zao la siasa Ni propaganda inayo tumika kuwatawala watu nothing much , that's why huwa unaona when inapo fika wakati wa uchaguzi dini hizi hizo ndio huwa zinatumiwa na Wana siasa kuwa brain washe watu wapate kufuata mamlaka cuz serikali inajua kuwa viongozi wadini Wana nguvu ya ushawishi kwa wananchi wao kwa sababu ya ujinga walio wapandikiza waumini wao tangu wakiwa wadogo , so Wana wa control kwa kutumia Imani hizo,

Yaaani mpaka Leo haujui kuwa mnatumika kwaajili ya kukamilisha mission za watu hapa duniani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Pole Sana , Yaani mtu umesoma lakini umeshindwa kuelimika be critical bhana
 
Huna hoja Mkuu ispokuwa maneno yako yamejaa hofu tu as if Kuna mtu alikufa na akarudi akakwambia ni kweli alikutana na mateso ya moto huko jehanam

Wewe hizi mada hazikufai ungeachana nazo tu ndugu yangu, maana hufikilii tena na Kwa Akili ila unaendeshwa na hisia tu, una uhakika Gani kwamba hizo akili za Napoleone amepewa na Mungu unaemfklia wewe? Unaposema akili za God ziko juu mno, first ni God yupi unamuongelea na second umetumia kipimo Gani kujua hilo?

Kama akili ya mtu ambae ana Guts za kuhoji what's behind human creation unaita"Kaakili" je wewe unaeamini Mungu atachoma moto viumbe aliowaumba ye mwenyewe Je utakuwa una Kaakili negative ngapi Mkuu? Awachome moto alafu ye apate faida Gani?

Utanisamee bro, To be honest hii issue ni kubwa sana Kwa uwezo wako wa kufikiri Mkuu,ni kheri ukaipotezea tu maana hutopungukiwa chochote na wapuuze wanaokuita huku maana huna unachochangia kinachofikirisha ili mtu aseme yes mshkaji ana hoja, wenzako wanajadili Kwa facts wewe unaleta hadithi za Imani tu

Mngeanzisha Uzi wenu mkaanza kujadiliana ni maswali gani mtaulizwa kabla ya kuchomwa Moto, ni namna gani unaweza kumshawishi Mungu akakuelewa ata kama umekosea majibu, ni namna gani unaweza kutoroka jehanam,ni namna gani unaweza kupata free pass ya kwenda kumsalimia Mtu alie Peponi, ni nyimbo zipi zitafaa sana kupigwa Peponi ili mzuka wa kusifu usikate nk, huko nadhani ungechangia vingi sana kuliko hapa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji457][emoji375]
 
Mbinu kubwa ya shetani ni kuupamba uongo uonekane kweli na kuupotosha ukweli kuwa uongo.
Shetani Ni mythology Hakuna shetani Never. Ushetani ni concept tu inayo tokana na matendo yako

Ngoja nikuulize swali , wote tunajua kuwa Mapenzi ya jinsia 1 Ni moja ya matendo yanayo chochewa na shetani na shetani yupo kwaajili ya kupotosha binaadamu sindio !? N a sio wanyama ,

Katika maisha yangu nimewahi kushudia jogoo akimpanda jogoo mwenzie it means walikuwa wanafanya Mapenzi ya jinsia 1

Swali langu lipo hapa , ----- Je Kama ufanyaji wa Mapenzi ya jinsia 1 Ni kitendo Cha kishetani na shetani ndio humchochea mtu kufanya kila Aina ya ubaya,, Huyu kuku (jogoo) kumpanda jogoo mwenzie hicho kitendo kafundishwa na Nani !? Na huyo shetani !?
 
Huu uzi wafungwa wa dini hauwafai.
Mimi mwenyewe ni mtu wa dini, nimewahi mpaka kuwa junior pastor na kufanya some miracles lakini ukweli ni kwamba watu wa imani tumepigwa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hawawezi kuamini

Wao wanahadaika na hizo miracles , wakati hizo miracles ni nguvu ya Asili na ipo ktika kila taifa na makabila Ni suala la kujifunza tu na kufuata some of the rules Basi na wewe unaweza kufanya miracles ,

Imagine watu na akili zao timamu wanaongopewa Kuna mtu alimezwa na samaki halafu samaki akamcheua na mtu huyo akatoka akiwa hai ,, what a stupid people's [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Ina kera kwa kweli , mbaya zaidi unakuta mama yako au baba yko ndio kajaza hayo maimani kichwani na haumwambii kitu akakuelewa kuhusu dini za waarabu na wazungu ,,, period
 
Kwakweli hapa tulipo yawezekana mpaka viongozi wazito wa dini wanajua yaliyo sirini hasa wale wa Vatican.
Mungu wa huruma aache watu aliowaumba wauane, wafe kwa njaa, waumwe na kuteseka.
Impossible
Sio inawezekana wanajua Kuna Mambo mengi Sana yasiri yanaendelea kwaajili ya kuwapumbaza watu , na siku ukija kuyagundua unaweza usipate usingizi, Utachnganyikiwa maana utakuja kugundua kwamba kichwani mwako wewe pamoja na watu wengine mnaishia kwa kuamini uongo Maisha yenu yote ,,

Utajiri mkubwa katika hii dunia upo katika kuwapumbaza watu na kuwatumia,, na propaganda ndio platform husika ,, dunia imejaa ushenzi sana
 
Shangaa na wewe Mkuu, ikiwa sie tu binadamu hatuwezi kufanya hayo Kwa watoto wetu ndio ije Kuwa Mungu?

Hizi dini km zingekuja zama hizi wangepata wafuasi wachache sana maana watu saizi wame elimika sana na sio kukubali tu Kila kitu bila kuhoji

Ndomana China hawataki ata kuskia haya mambo na km unafanya basi Ufanye Kwa Siri hawataki watu wao wapumbazwe maana wanajua madhara yake ni makubwa sana
Naam China hawataki kabisa kumsikia huo ujinga , kwa sababu ukisha ikaribisha dini Hatua ya kwanza utaanza kuwa under influence na ustaarabu wa nchi ambazo dini hizo zinatokea ,, utabadilisha majina ya watoto wako na kuwaita majina ya Viongozi wa dini wa nchi ambazo dini hizo zinatokea , utajali Sana tende na kuzisifia kuliko embe linalotoka muheza , Yaani uta copy kila Aina ya utamaduni ambao sio wako bila ya kujua kwamba unajivua thamani na utu wako na wa taifa lako , Hautojua kuwa unatumika kutangaza utalii wa hayo Mataifa na kuyafanya yazidi kukua kiuchumi , , China hayo yote Wana yajua that's why hawawezi kuruhusu kuvuruga utamaduni wao na uzalendo uliopo kwa wananchi wao dhidi ya taifa lao ,,
 
Back
Top Bottom