Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
hakuna mwili wameukuta Kwa Pyramid lolote wahuni tu miili yote wamefukua makaburi na mapangoni!Tuanzie hapa kwanza, ni miili ya mafarao wangapi imeisha kutwa kwenye hizo pyramids?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna mwili wameukuta Kwa Pyramid lolote wahuni tu miili yote wamefukua makaburi na mapangoni!Tuanzie hapa kwanza, ni miili ya mafarao wangapi imeisha kutwa kwenye hizo pyramids?
Mithili ndio sahihi.misri
Mkuu kuhusu hii ya kuwa vatican ndio wameunda dini ya uislamu siku ukianzisha uzi naomba nitag ili nipate elimu ya ziada.Vatican ni hatari Kwa mstakabari wa Dunia hao jamaa ni mafia sana sikuamini pale niliposoma ya kwamba kumbe ndio founder wa Islam religion Kupitia ajent wao Father Waraqa na Mohammed Abdulla daaaa nikabaki kujisemea Hawa jamaa ni taasisi hatari sana!
Ila Sasa wenye dini zao ukiwaeleza watakuelewa basi?
🤔🤔🤔
Je mkuu kuna sehemu yoyote ambayo yamegundulika majina waliyokuwa wakiishi annunaki,au ndio hizo pyramid ?hakuna mwili wameukuta Kwa Pyramid lolote wahuni tu miili yote wamefukua makaburi na mapangoni!
Namimi asee mnikumbuke kwenye tagMithili ndio sahihi.
Misri ni nchi.
Mkuu kuhusu hii ya kuwa vatican ndio wameunda dini ya uislamu siku ukianzisha uzi naomba nitag ili nipate elimu ya ziada.
Mkuu kuwa basi mstaharabu.kama unaona wanadanganya na hufai kuipitia acha watu wanaoitaji wasome.si umekwisha sema wanadanganya?shida ipi tena unayo?nadhan unaweza kuendelea na mipango yako unayoamini.itakuwa bora zaidi kwa afya ya ubongo na akili zako.tuwe wastaharabu basiUmedanganya na wewe.
Typing error ndugu, ila asante sana kwa kunikumbusha.Mithili ndio sahihi.
Misri ni nchi.
Mkuu kuhusu hii ya kuwa vatican ndio wameunda dini ya uislamu siku ukianzisha uzi naomba nitag ili nipate elimu ya ziada.
unaendelea lini.?Typing error ndugu, ila asante sana kwa kunikumbusha.
kuna video nilifuatilia youtube mwaka 2011 na nikasoma vitabu vilivyokuwa vimependekezwa humo, ilikua noma. Sema ilishafutwa, ningekuletea link.Mithili ndio sahihi.
Misri ni nchi.
Mkuu kuhusu hii ya kuwa vatican ndio wameunda dini ya uislamu siku ukianzisha uzi naomba nitag ili nipate elimu ya ziada.
Bado sijapata muda mzuri, nkiendelea ntaktag ndugu na itakuwa ndiyo mwisho itanibidi niishie hapo.unaendelea lini.?
usiishie hapo km madini yapo tuleteeBado sijapata muda mzuri, nkiendelea ntaktag ndugu na itakuwa ndiyo mwisho itanibidi niishie hapo.
Mkuu wachunguzi wa mambo kale walipata tablets zenye Lugha za Accient Sumerian Ina Alfabet 500 hivi Lugha ya mule ni ngumu na haieleweki Yaani ni full mauza uza,endapo wakiweza kutafsiri ndio watapata kitu Cha kutuambia maana hata sisi tunawategemea wao watupe update ya kilichoandikwa mule maana ndio Kuna Siri zote za uimwengu ila kuyasoma ndio mbinde!Je mkuu kuna sehemu yoyote ambayo yamegundulika majina waliyokuwa wakiishi annunaki,au ndio hizo pyramid ?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]Baada ya kuchapiwa mke huyo mungu wao alivyokuwa na double standard eti akamwadhibu farao wakati abrahamu kwa uoga wake alisema sarai nindada yake na akamozesha na mahari ya farao akala jamaa alikuwa tapeli
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] juzi nimetoka kumchana mtu kawa mdogo Kama piritonBroo uko deep sana.naomba niwe rafik yako na uni tag kwenye nyuz zote critical kama hiz zenye knowledge..kuna kipind nilikua nasoma sana na kufatilia sana haya mambo ila kuna muda nikaacha manaa kila nikikutana na watu wa home wakiongelea mambo yao ya religion mim nikiwapa nondo wnaasema dogo umeanza kudata..acha hayo mambo unayofatilia[emoji3]
Yaani wewe unshindwa kujadili for fact na badala yake unatoa mahubiri ,,Napoleone unachopaswa kujua ni kwamba huwezi kumuelewa Mungu kwa kutumia hako kaakili ambako afterall ni Yeye kakupa.He is an extremely complex God na akili zake ziko juu mno.To appreciate his complexity kasema hivi:mbingu ni kiti chake na Dunia ni sehemu ya kuweka miguu yake,utamuelewaje Mungu kama huyo?!Na Napoleone,utamuelewaje Mungu aliyeumba the Universe and all the forces which supports it and all that is in it?Halafu kasemaa, akili zake ziko juu mno!Kwa nini usiridhike na kujua tu kwamba yupo?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji457][emoji375]Huna hoja Mkuu ispokuwa maneno yako yamejaa hofu tu as if Kuna mtu alikufa na akarudi akakwambia ni kweli alikutana na mateso ya moto huko jehanam
Wewe hizi mada hazikufai ungeachana nazo tu ndugu yangu, maana hufikilii tena na Kwa Akili ila unaendeshwa na hisia tu, una uhakika Gani kwamba hizo akili za Napoleone amepewa na Mungu unaemfklia wewe? Unaposema akili za God ziko juu mno, first ni God yupi unamuongelea na second umetumia kipimo Gani kujua hilo?
Kama akili ya mtu ambae ana Guts za kuhoji what's behind human creation unaita"Kaakili" je wewe unaeamini Mungu atachoma moto viumbe aliowaumba ye mwenyewe Je utakuwa una Kaakili negative ngapi Mkuu? Awachome moto alafu ye apate faida Gani?
Utanisamee bro, To be honest hii issue ni kubwa sana Kwa uwezo wako wa kufikiri Mkuu,ni kheri ukaipotezea tu maana hutopungukiwa chochote na wapuuze wanaokuita huku maana huna unachochangia kinachofikirisha ili mtu aseme yes mshkaji ana hoja, wenzako wanajadili Kwa facts wewe unaleta hadithi za Imani tu
Mngeanzisha Uzi wenu mkaanza kujadiliana ni maswali gani mtaulizwa kabla ya kuchomwa Moto, ni namna gani unaweza kumshawishi Mungu akakuelewa ata kama umekosea majibu, ni namna gani unaweza kutoroka jehanam,ni namna gani unaweza kupata free pass ya kwenda kumsalimia Mtu alie Peponi, ni nyimbo zipi zitafaa sana kupigwa Peponi ili mzuka wa kusifu usikate nk, huko nadhani ungechangia vingi sana kuliko hapa
Shetani Ni mythology Hakuna shetani Never. Ushetani ni concept tu inayo tokana na matendo yakoMbinu kubwa ya shetani ni kuupamba uongo uonekane kweli na kuupotosha ukweli kuwa uongo.
Inapaswa wasifike kabisa maana huu uongo waliolishwa unawafilisi kifikira (akili) na kiuchumi , It's a trush mother fuckerNinaamini miaka 30-50 ijayo watu wa dini watapungua sana kwenye nyumba za ibada.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hawawezi kuaminiHuu uzi wafungwa wa dini hauwafai.
Mimi mwenyewe ni mtu wa dini, nimewahi mpaka kuwa junior pastor na kufanya some miracles lakini ukweli ni kwamba watu wa imani tumepigwa.
Sio inawezekana wanajua Kuna Mambo mengi Sana yasiri yanaendelea kwaajili ya kuwapumbaza watu , na siku ukija kuyagundua unaweza usipate usingizi, Utachnganyikiwa maana utakuja kugundua kwamba kichwani mwako wewe pamoja na watu wengine mnaishia kwa kuamini uongo Maisha yenu yote ,,Kwakweli hapa tulipo yawezekana mpaka viongozi wazito wa dini wanajua yaliyo sirini hasa wale wa Vatican.
Mungu wa huruma aache watu aliowaumba wauane, wafe kwa njaa, waumwe na kuteseka.
Impossible
Naam China hawataki kabisa kumsikia huo ujinga , kwa sababu ukisha ikaribisha dini Hatua ya kwanza utaanza kuwa under influence na ustaarabu wa nchi ambazo dini hizo zinatokea ,, utabadilisha majina ya watoto wako na kuwaita majina ya Viongozi wa dini wa nchi ambazo dini hizo zinatokea , utajali Sana tende na kuzisifia kuliko embe linalotoka muheza , Yaani uta copy kila Aina ya utamaduni ambao sio wako bila ya kujua kwamba unajivua thamani na utu wako na wa taifa lako , Hautojua kuwa unatumika kutangaza utalii wa hayo Mataifa na kuyafanya yazidi kukua kiuchumi , , China hayo yote Wana yajua that's why hawawezi kuruhusu kuvuruga utamaduni wao na uzalendo uliopo kwa wananchi wao dhidi ya taifa lao ,,Shangaa na wewe Mkuu, ikiwa sie tu binadamu hatuwezi kufanya hayo Kwa watoto wetu ndio ije Kuwa Mungu?
Hizi dini km zingekuja zama hizi wangepata wafuasi wachache sana maana watu saizi wame elimika sana na sio kukubali tu Kila kitu bila kuhoji
Ndomana China hawataki ata kuskia haya mambo na km unafanya basi Ufanye Kwa Siri hawataki watu wao wapumbazwe maana wanajua madhara yake ni makubwa sana