Mkuu iko Hivi, ni Kweli Bible na Quran hazina tofauti kubwa kwenye maandiko Yao na nilichokuja kugundua ata hizo tofauti ambazo Zipo kwenye Quran ni kwa sababu waliona kwenye bible kama hazimake sense so wakawa wanachange, kumbuka Quran/Islam ndo kwanza una miaka 1500 tu
Mfano angalia story ya kuzaliwa Kwa yesu katika Bible na Quran utakuja kuona kwamba kwenye Quran walitwist ili story imake sense, turudi kwenye swali lako la msingi Kwanini reference inatoka sana kwenye bible na sio Quran
1. Dhana ya kwamba bible na Quran ni kitu kimoja, Yani copy and paste pia hupelekea bible kutumika Zaid kama reference, Kwa maana kwamba ukisoma huku ni sawa na huko
2. Fame, Bible ni maarufu kuliko Quran, ata katika maisha ya kawaida we hapo ukiwa una mfanano na Diamond platinum, watu watasema we jamaa umefanana na Diamond na hawatosema s Diamond kafanana na wewe
3. Kusambaa/kuenea, Bible Ina Zaidi ya miaka 100 tangu itafsiriwe kiswahili na ina miaka Zaidi ya 500 tangu itafsiriwe katika lugha zingine, Bible/Christin wamekuwa hawaoni tabu kumrahisishia mtu yoyote yule kujua maandiko ila Quran wamechelewa sana kuja kufanya tafsiri ya kiarabu kwenda lugha zingine
Kuna wakristo wengi sana wanajua vifungu maarufu katika Bible kutokana na wengi wao kupitia mafundisho enzi za utoto maana wanasoma Kwa kiswahili, pamoja na kwamba watoto wa kiislam pia wanaenda madrasa ila wanafanya kukremu tu ila hawaelewi hadi watafsriwe na mwalimu wao Kuwa haya hii Kwa kiswahili Ina maana hii
Hiyo hali inawafanya waislamu wengi Hadi kufkia hatua ya ukubwa hawajui haya nyingi za Quran Zina maana Gani Kwa kiswahili ispokuwa wamemeza tu kiarabu, Muslim walikuwa wanahisi kama ni kuishusha hadhi/Thamani Quran kama ikitafriwa, wamekuja kushtuka Kuwa translation inasaidia kusambaa na kueleweka muda kidogo umeenda
4. Matumizi, Bible inatumika sana kwenye kila jamii, angalia mifano misibani, harusi,sherehe mbali mbali maneno yatakayo ongewa hapo ni kwa kiswahili kwahiyo awepo, budha,muhindi,Muslim,mpagani lazima ataelewa tu kinaongelewa nini, ila issue ya kiislam ata waislamu wenyewe tu wengi hawaelewi kinaongelewa nini hadi ipite tafsiri
5. Urahisi, ili kuisoma bible achilia mbali kuielewa inakubidi uwe umesoma alphabet tu za A-Z ambazo ndio utatumia shule na ata katika maongezi ya Kila siku, ila kuisoma Quran inabidi uwe umesoma symbols/Arabic alphabet ambazo huzitumii shule, Nyumbani Wala katika maongezi ya Kila siku
6. Population, kumbuka christian ni wengi kuliko Muslim katika Dunia, target lazima iwe katika idadi kubwa ya watu then badae ndio katika idadi ndogo ya watu, though mara nyingi ukifanikiwa kueleweka Kwa wengi hao wachache wanaweza kujua kupitia Kwa walio wengi sio lazima nawao uwape kipaumbele
7. Elimu, Kuna mahusiano makubwa sana katika elimu ya mtu na kuhoji juu ya haya mambo ya uumbaji na Uungu, hiyo iko wazi Muslim wengi ambao wanaijua vizuri Quran hawana shule Kichwani, hivo hawana maarifa ya kutosha kuweza kuwaza nje ya box, wao Kila kitu ni laana na hawawezi kubishana Kwa points na facts sana sana utataka upigwe albadir tu
Kwa christian ni tofaut sana, viongozi wa dini ndio asilimia Kubwa wamesoma sana hivo Wana maarifa mengi Kichwani na wanaweza ku argue Kwa fact na kutumia maandiko kama reference, hizi mada zinataka uwe free minded ila pia Kichwa iwe inachaji lasivyo utakuwa unaongea utumbo tu
Kwahiyo Mkuu Kwa mifano hiyo sidhani ata kama ungekuwa ni wewe ungekuwa unatumia Quran kama reference ilhali ni inferior almost kwenye Kila kitu dhidi ya Imani ambayo inafanana nayo, Kwa uelewa wangu me naona hizo ndio sababu Kwanini mara nyingi Quran haitumiki kama reference