smaki
JF-Expert Member
- Jan 23, 2019
- 4,976
- 3,098
Dunia inabadirika kila leo kulingana na majira mkuu!! ndo maana watu wanafanya uchunguzi/vumbuzi kila leo!! haya tunayo yajua ni theluthi ya theluthi tu!!....kwa kulijua hili!Hivi hizo nyayo zinazokutwa kwenye jiwe ina maana ya kwamba mawe ya zamani walipokanyaga yalikuwa yanabonyea ?
Mbona hakuna nyayo nyingi kuna nyayo moja moja tu ?
Hao watu walikuwa na mguu mmoja ?
sehemu niliyo zaliwa miaka 25 ilopita imebadirika sana! hata uoto wa asili hakuna tena!! Uyoga Uliojiotea wenyewe kule kwetu mfano; nyasanka, Moghuu,iryobha nk, havipo tena!!
ndege wengi wa bure km kong'ai, sorokobhwe!! iri huntuntuu (huyu ndege nimweusi ni mkubwa hatare)!! na fisi nilio wazoea kulia lia wamekwisha kabisaaaa!! kifupi leo hii kule kwetu ni mjini!
Dunia inabadirika kwa kasi, robo ya mji mkuu wa Misri ya kale ulimezwa na maji, sasa huko chini ya bahari nako pia ulimezwa na tope ila wataalamu wanachimba na kujua meengi sana!
Mfano giant of the old walichimba chini futi kadhaa!! waka pata mifupa yao ikaunganishwaaa!! ikawa!! imo humu itafute...ebi jiulize tu ile mijusi mikubwaaa kama ghorofa saba, yaani Dynasour ilopatikana bonde la iringa ikapelekwa ujermani mpaka leo! tunaitaka!
kwa nini ilipatikana hiyo tuu !!! kwingine kote hakn tena Tanzania hihihiiiii! lkn nchi nyingine ilipatikana pia! huo unyayo wa soth siyo huko tuu bali na kwingine pia!