Kama unaziamini stori za dini, kwa nini hizi usiziamini?
Annunaki walikuwepo na hilo limethibitishwa kutoka sumerian tablets, na hao hao giants ni family of Annunaki, haya yote yame elezewa na epic of creation from Sumerian.
Chimbuko la hizo stori za dini unajua ni wapi?, Ukweli wote juu ya huu ulimwengu unapatikana sumerian tablets, civilization ya mwanadamu imeanzia sumer, hebu fikria unayoayajua leo kuhusu hii dunia ni 20%, 80% tablets hazitafsiriwa kutokana na ugumu wa code ya lugha.
Hivyo basi kama huyaamini haya ila unayaamini ya dini, well ni utashi na maamuzi pia ndugu.