Safi kabisa labda huelewi nini maanisha. Nitajie watu kumi tu walioelezea habari za Annunaki kutoka katika hiyo jamii.Ndiyo maana nasema huna majibu yako kichwani.
Eti nisitaje jamii ya watu, really? , yaani unamuamini mtu mmoja kuliko kilichosemwa na wengi?
Mimi ntendelea kutaja hizo jamii kama ndiyo watu wa kwanza kuelezea hizo habari, kabla hata ya mtume Muhammed, yaani huyo kaziliwa kakuta hao wameisha ishi duniani. Kwahiyo kama unataka jina la mtu mmoja, hilo hutalipata kwangu.
Kingine ushahidi wa mtu mmoja unaaminika na kukubaliwa pia ukipimwa katika mizani ya kuhakiki habari.
Unaposema watu wa jamii fulani walisema kadha, huku ni kuficha ukweli sababu katika kusema huwa kuna kauli zinazo onyesha ukweli wa habari hiyo mathalani unaweza kuniletea nukuu ya watu hao ikianza na tamko hili "Sisi Sumerians tuliwaona Annunaki au habari zao tumezitoa sehemu fulani ?"
Zaidi ya nyinyi kutuambia ya kuwa Sumerians ndiyo waliandika habari hizi ? Hivi habari huwa mnazihakiki vipi vijana ?