Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Na cha kukuongezea ni kwamba Annunaki ni uzao wa Anu, Anu ni kutoka Sayari ya Nibiru, kwenye reference zangu hakuna mahali panapo onyesha uumbwaji wa Annunaki. Kinachoandikwa ni viumbe kutoka sayari nyingine waliokuja hapa duniani kwa mission maalamu. Mungu wenu mnayemsema ni Yule ambaye mnasema ameumba dunia na vilivyomo kwahiyo hausiki na uwepo wa sayari nyingine kwenye hii solar system. Na kwa nadharia hii inaonyesha kuna Mungu zaidi ya mmoja(Miungu), Miungu inathibitishwa na kuonekana huyo Mungu mmoja mnayemsema hajawahi kuthibitishwa na hakuna namna unaweza kumthibitisha
Wewe unaijua solar system vizuri? Tuanzie hapa kwanza.
 
Tatizo lenu hampitii andiko Zima hayo maswali kama Yako yameulizwa post za nyuma na yametolewa ufafanuzi,tatizo hampitii andiko Zima kama kawaida ya wabongo wanaosoma kava nduki kuweka maneno Yao!
Mkuu hayo maswali ninayouliza kama unayo majibu yaweke
 
pia utamzungumziaje kiumbe aliowaumba Annunaki yeye pia kaumbwa na nani,mpaka akaumba kiumbe aliyeumba mtu?

infinity chain!
ndio nawauliza nyie mlioleta mada ya kiumbe annunaki, sasa ndio mtujuze huyo kiumbe annunaki katokeaje(formation) alafu mtujuze huyo kiumbe aliowaumba annunaki.
 
mkuu Annunaki Ndio walioleta nadharia za Mungu na miungu duniani na Mungu alianza kutajwa na wao Summerians
ANUNAK wanaongozwa na mkuu wao
ANU huyu ndie Mungu mkuu na chanzo Cha nguvu na maarifa yote akifuatiwa na mkewe KI akiwa kama mother goddess
ANU NA KI
Wana watoto 5
Nao Ni
ENLIL
ENKI
NANNA
UTU
INNANA

Hao ni watoto wa ANNUNAKI na Ndio wamebeba nguvu zote Pamoja na maarifa makubwa na Kila mmoja ana majukumu yake,
Waliokuja duniani kuchimba gold na kumuumba mtu ni watoto zao hasa ENLIL,NANA na ENKI Ndio walikua Ndio waongoza project zote,
Na mpaka Leo ushahidi na mabaki ya Kazi zao upo kuanzia Pyramids zote duniani na mambo mengine mengi Sana!
Kwahiyo unapotaja Mungu elewa wao Ndio viumbe wa Mwanzo kuleta nadharia za miungu na ustaarabu wote unaouona duniani Ndio ingineer!
 
Yeah ndugu mimi sijuhi kabisa mambo ya kutafsiri, naomba wewe bingwa na mtaalamu wa kutafsiri unifundishe na mimi niwe mtaalamu kama wewe ntashukuru sana kwa msaada wako.
Mkuu bado unahangaika kuwaelekeza hao jamaa..achana nao mkuu..unapoteza bando lako tu...

Hiv mtu anashindwa kuhis kwamba kuna jambo fulan kwenye hiz din zetu..

Imagine mitume wa Yesu walikua in the middle of middle east halaf wakawaje na majina ya kizungu..peter..james..john..kwamba bible ndo mana kuna bible versions..zmeandikwa na watu na kupangiliwa na watu..kwamba tuwape hik hik tusiwape...low IQs wanahis et hiv vitab vimeshuka toka juu...hahaha..dah..

Imagine the whole christian world watu wameacha majima yao ya asil na kufata majina ya kizungu..such power of manipulation n convincing ni kubwa mnoooo kuliko watu wanavyofikir...kuna mambo kwenye hiz din zetu na iman ambayo kwa jicho la kubisha bisha tu huwez ona chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tz mbongo
Kisai
Quez

Nyote nyinyi hamueleweki zaidi mswali yenu hayan logic zaidi y udini mtupu
Wewe Kisai ubongo wako umeharibiwa na masimulizi ya waharabu tu, nje na hapo una unachokijua.
Umekomlia udini, yani dini ya Muslim kwako wewe ndiyo kila kitu, dini inayofundisha udini na kuleta matabaka kwa watu, dini ambayo watu wake Iran, Libya, Syria, n.k wanachinjana kama kuku na kumwaga damu, dini inayohimizi kufuga na kuishi na majini, dini inayofundisha nyinyi n bora kulko wengine, nyinyi ndiyo wenye haki wengine makafiri, dini inayofundisha kumpiga mtu mawe hadi kufa, dini inayofundisha kumkata n kumchinja mtu endapo atahama dini, hii kwako ndiyo bora ?na unaimini.
AI mada yake iko open kabisa, kwamba mtu aliumbwa na Annunaki mada haisemi Mungu wenu hakumuumba, inawezekana Annunaki ndiyo Mungu wenu ila nyny hamjuhi, ndiyo mjue kuanzia sasa,
Kisai umekomaa chain chain, mleta mada alikuwa family tree ikionyesha kuanzia kwa Enki kabla hata hao mitume wenu uchwara hawajazaliwa, hukuona?, unataka uonyeshwe video mtu wa sumer akisimulia hayo, ww unaweza kutuonyesha mtu aliyemuhoji Muhammed? , hiyo chain ww uliipataje kama n vitabu huna tofauti n mleta mada naye katumia vitabu, unaleta habar za uhakiki kwa kutumia kitabu chako, mleta mada naye vitabu vyake vimehaliliwa, au unataka afanye time travel akawahoji sumerians mwenyewe?, huo ndiyo uhakiki unataka? Unaamini katik historia iliyo hakikiwa na watu wengine, ila yeye mleta mada akitumia historia hiyo hiyo iliyohakikiwa na wengine kama reference hutaki, why?

Mleta mada amekuuliza uliwahi kumuhoji Muhammed mwenyewe kama njia ya kuhakiki ulichokisoma, umeruka ruka kama maharage, au tuonyeshe kwamba huu hapa n mfupa wake ili tukuamini, hamna unacholeta unaruka ruka na masimulizi ya waharabu hao, ambao hata Allah hakuwaumba, ila hujuhi upo upo tu.

Quez umekazania muumbaj wa anunak, kashakuambia wametoka sayari nyingine siyo hii ya Mungu wenu wa dunia. Mfano akihamua kukujibu anu ndiye Muumbaji na Mungu wao, vip utalizika?

Tz mbongo wewe n egoism zinaksumbua kwa mleta mada, masimuliz ya Qaran ambayo hata Allah hujawahi kuona fuvu lake umekomaa kuyaamini, ila haya hutaki umekomaa uhandishi tatiz, labda umfuatilii AI hapa Jf intelligence, kasome ujipime, mnapomuuliz maswal yasiyokuw n logic na yeye lazima awaulize n kwa mwendo huo hamuwezi kuafikiana kihoja, kila mwamba ngoma anavutia kwake.

Quez unauliza solar system n nini? Sirias kabisa, kwenye dini zenu kuna mahali pameandikwa Mungu aliumba solar system?, imeandikwa ameumba dunia, binadamu na vilivyoma, ktk solar system tuna sayar zaidi ya 13, kwhy kama aliumba dunia tu, kuna waumbaji waliomuzidi akili kwa kuumba sayari nyingine na viumbe wengine, kwahiyo na yeye Mungu aliumbwa.

Kwahiyo kam hutak mleta mada atumia reference za vitabu, basi na ww usitumie reference za vitabu, hivyo bas hili uwe sahihi kuliko yeye huo uhakiki uwe umeufanya ww mwenyewe, yaan umekutana Mungu au mitume na kufanya nao mahojiano, then utuwekee hapa tuone, tofauti n hapo itakuw n yale yale.
 
Nyote nyinyi hamueleweki zaidi mswali yenu hayan logic zaidi y udini mtupu
Wewe Kisai ubongo wako umeharibiwa na masimulizi ya
Inaonekana hata maana ya tamko "logic" huijui japo umekusudia "maana". Msingi wangu umejikita katika kuhakiki habari na kuujua ukweli kama ulivyo. Huwezi kuniambia habari ambayo haijulikani mtu wa mwanzo ni nani ? Kisha ukategemea michoro kuelezea asili ya jambo, mwisho wa siku hao mnao warejea wakaja na dhana.
Umekomlia udini, yani dini ya Muslim kwako wewe ndiyo kila kitu, dini inayofundisha udini na kuleta matabaka kwa watu, dini ambayo watu wake Iran, Libya, Syria, n.k wanachinjana kama kuku na kumwaga damu, dini inayohimizi kufuga na kuishi na majini, dini inayofundisha nyinyi n bora kulko wengine, nyinyi ndiyo wenye haki wengine makafiri, dini inayofundisha kumpiga mtu mawe hadi kufa, dini inayofundisha kumkata n kumchinja mtu endapo atahama dini, hii kwako ndiyo bora ?na unaimini.
Umetoka nje ya mada hapa hatuoengelei hisia na malalamiko, hapa tunajadili uhalisia na elimu.
AI mada yake iko open kabisa, kwamba mtu aliumbwa na Annunaki mada haisemi Mungu wenu hakumuumba, inawezekana Annunaki ndiyo Mungu wenu ila nyny hamjuhi, ndiyo mjue kuanzia sasa,
Hakuna alite tika nje ya mada ndiyo maana tukamuomba atupe uthibitisho wa kuwa Mwanadamu aliumbwa na Annunaki. Matokeo analeta kauli za jumla zisizo kuwa na ushahidi. Nimeuliza swali la msingi nani wa kwanza kuelezea habari za Annunaki ? Mnadai kuwa ni Sumerians, nikasema hapa hujajibu swali unatakiwa uainishe ni nani. Matokeo yake ni sarakasi.

Kuna vyanzo vinasema habari za Annunaki zimemkuta Adamu na kuna vyanzo vingine vinasema wali kuwa Majini.

Mola wetu sisi ni mmoja ila hao Annunaki tunaambiwa walikuwa wengi. Swali nani wa kwanza kuelezea hizi habari ? Msiruke ruke kama bisi.
Kisai umekomaa chain chain, mleta mada alikuwa family tree ikionyesha kuanzia kwa Enki kabla hata hao mitume wenu uchwara hawajazaliwa, hukuona?, unataka uonyeshwe video mtu wa sumer akisimulia hayo, ww unaweza kutuonyesha mtu aliyemuhoji Muhammed? , hiyo chain ww uliipataje kama n vitabu huna tofauti n mleta mada naye katumia vitabu, unaleta habar za uhakiki kwa kutumia kitabu chako, mleta mada naye vitabu vyake vimehaliliwa, au unataka afanye time travel akawahoji sumerians mwenyewe?, huo ndiyo uhakiki unataka? Unaamini katik historia iliyo hakikiwa na watu wengine, ila yeye mleta mada akitumia historia hiyo hiyo iliyohakikiwa na wengine kama reference hutaki, why?
Famili tree haijaja hivi hivi ukisoma vitabu vya Historia vinaonyesha "chain" sasa hao walio tunga habari za Annunaki ndiyo walienda kuiga habari za kwenye vitabu vya Dini.

Kingine ithibati siyo mpaka iwe picha au video, bali ni ile namna madhubuti ya kuhifadhi habari mpaka kufika kwa mtu wa kwanza, hii elimu ipo na imedhibitiwa, na ukifata njia zake lazima uujue ukweli wa mambo.

Ndiyo maana mtoa mada nikampa uhuru mimi natumia kitabu changu akihakiki na mimi nahakiki vitabu alivyo soma ili tujue nani mkweli, lakini ameshindwa kulifanya bali hakuna atakaye weza kulifanya.
 
Mleta mada amekuuliza uliwahi kumuhoji Muhammed mwenyewe kama njia ya kuhakiki ulichokisoma, umeruka ruka kama maharage, au tuonyeshe kwamba huu hapa n mfupa wake ili tukuamini, hamna unacholeta unaruka ruka na masimulizi ya waharabu hao, ambao hata Allah hakuwaumba, ila hujuhi upo upo tu.
Hili swali lilikuwa rahisi sana na nimemjibu kwa ufasaha na ukamilifu ulio tosheleza ndiyo maana hakurudi tena na swali hili, kama kuna kosa katika nilicho jibu onyesha na onyesha wapi nimeruka ruka, hili najua huwezi kulifanya nakupa miaka kumi.

Hilo nimeshalijibu na kulitolea mfano na uzuri nilianza mbali kidogo na nikatoa mfano wa njaa, njaa haionekani ila ina viashiria na ndivyo ilivyo katika mambo mengine, lakini pia mmeshindwa kulijengea hoja.
 
mkuu Annunaki Ndio walioleta nadharia za Mungu na miungu duniani na Mungu alianza kutajwa na wao Summerians
ANUNAK wanaongozwa na mkuu wao
ANU huyu ndie Mungu mkuu na chanzo Cha nguvu na maarifa yote akifuatiwa na mkewe KI akiwa kama mother goddess
ANU NA KI
Wana watoto 5
Nao Ni
ENLIL
ENKI
NANNA
UTU
INNANA

Hao ni watoto wa ANNUNAKI na Ndio wamebeba nguvu zote Pamoja na maarifa makubwa na Kila mmoja ana majukumu yake,
Waliokuja duniani kuchimba gold na kumuumba mtu ni watoto zao hasa ENLIL,NANA na ENKI Ndio walikua Ndio waongoza project zote,
Na mpaka Leo ushahidi na mabaki ya Kazi zao upo kuanzia Pyramids zote duniani na mambo mengine mengi Sana!
Kwahiyo unapotaja Mungu elewa wao Ndio viumbe wa Mwanzo kuleta nadharia za miungu na ustaarabu wote unaouona duniani Ndio ingineer!
Sawa Mkuu, hao viumbe annunaki ni viumbe walio physical in shape kama viumbe wengine. Yaani wana miili na wanazaliana.

Kwanini?
Kwa sababu umesema yupo kiumbe "Me" (Anu) na "Ke" (Ki). Kwa maana hiyo hao viumbe Anu na Ki, wameumbwa na Muumbaji aliewaumba kwanza wao jinsia Me na Ke ndio wakazaa hao watoto.

Hivyo, KILA KIUMBE CHENYE MWILI, KILICHO PHYSICAL IN SHAPE KINA MUUMBAJI WAKE ALIEKIUMBA KIUMBE HICHO.

Kwa Muktadha huo, wewe umewahi kufanya juhudi ya kumjua aliewaumba kiumbe ANU na KI kwanza?
 
Quez umekazania muumbaj wa anunak, kashakuambia wametoka sayari nyingine siyo hii ya Mungu wenu wa dunia. Mfano akihamua kukujibu anu ndiye Muumbaji na Mungu wao, vip utalizika?
Mkuu kama unamjua muumbaji wa kiumbe Anu na Ki tuambie, maana hao ni viumbe wenye mwili kama viumbe wengine lazima wawe wameumbwa na muumbaji.

kabisa, kwenye dini zenu kuna mahali pameandikwa Mungu aliumba solar system?, imeandikwa ameumba dunia, binadamu na vilivyoma, ktk solar system tuna sayar zaidi ya 13, kwhy kama aliumba dunia tu, kuna waumbaji waliomuzidi akili kwa kuumba sayari nyingine na viumbe wengine, kwahiyo na yeye Mungu aliumbwa.
Mungu ndie alieumba ULIMWENGU WOTE kama nyota zote, mwezi , jua na sayari zote, kutoka katika sayari zote alizoziumba akaichagua sayari dunia akaumba vyote vilivyomo ili kuweka mazingira rafiki kwa viumbe hai wote na kutuweka viumbe hai tuishi katika sayari hii DUNIA.

Hao viumbe wa kufikirika anunaki unasema wametoka sayari nyingine, kuja duniani. Bila kujua sayari zote alieziumba ni Mungu. Sasa hao viumbe anunaki wametoka kwenye sayari aliyoiumba Mungu na kuja kwenye sayari aliyoiumba Mungu. Sasa nakuuliza hao viumbe aliewaumba ni nani? Maana wana mwili tu kama viumbe wengine, na kila kiumbe chenye mwili lazima kiwe kimeumbwa na Muumbaji.

Nikuulize kwanza wewe unaijua solar system vizuri? Kabla sijakujibu kukuonesha kwamba Mungu ndie alieumba ulimwengu wote (including hiyo sayari mnayosema wametoka hao viumbe wa kufikirika).
 
Mkuu kama unamjua muumbaji wa kiumbe Anu na Ki tuambie, maana hao ni viumbe wenye mwili kama viumbe wengine lazima wawe wameumbwa na muumbaji.

Mungu ndie alieumba ULIMWENGU WOTE kama nyota zote, mwezi , jua na sayari zote, kutoka katika sayari zote alizoziumba akaichagua sayari dunia akaumba vyote vilivyomo ili kuweka mazingira rafiki kwa viumbe hai wote na kutuweka viumbe hai tuishi katika sayari hii DUNIA.

Hao viumbe wa kufikirika anunaki unasema wametoka sayari nyingine, kuja duniani. Bila kujua sayari zote alieziumba ni Mungu. Sasa hao viumbe anunaki wametoka kwenye sayari aliyoiumba Mungu na kuja kwenye sayari aliyoiumba Mungu. Sasa nakuuliza hao viumbe aliewaumba ni nani? Maana wana mwili tu kama viumbe wengine, na kila kiumbe chenye mwili lazima kiwe kimeumbwa na Muumbaji.

Nikuulize kwanza wewe unaijua solar system vizuri? Kabla sijakujibu kukuonesha kwamba Mungu ndie alieumba ulimwengu wote (including hiyo sayari mnayosema wametoka hao viumbe wa kufikirika).
mim nauliza tu. Hiv riziki kwa wanadamu na viumbe wengine mfumo wake hajakaa tu mtu akafikiria kiumakin kabisa nan anayeendesha mfumo huu complex kabisa?
riziki inakufata hata ukiwa umelala sometime,
hio ni sifa ya mwenyeenzimungu.Yeye ndio mtoa rizk.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Sawa Mkuu, hao viumbe annunaki ni viumbe walio physical in shape kama viumbe wengine. Yaani wana miili na wanazaliana.

Kwanini?
Kwa sababu umesema yupo kiumbe "Me" (Anu) na "Ke" (Ki). Kwa maana hiyo hao viumbe Anu na Ki, wameumbwa na Muumbaji aliewaumba kwanza wao jinsia Me na Ke ndio wakazaa hao watoto.

Hivyo, KILA KIUMBE CHENYE MWILI, KILICHO PHYSICAL IN SHAPE KINA MUUMBAJI WAKE ALIEKIUMBA KIUMBE HICHO.

Kwa Muktadha huo, wewe umewahi kufanya juhudi ya kumjua aliewaumba kiumbe ANU na KI kwanza?
Wewe hiyo nadharia ya Kila kiumbe chenye mwili Physical na kinazaa lazima kiwe na muumbaji wake umeipata wapi?
Kwani inashindikana nini Kwa Hao Viumbe kuwa wao ndio wakuu?
Nadharia ya kuzaa haijabase kama fikra zako zilivyo ukimaaniiasha physical tu Bali Hata kwenye invisible inaaply nikiwa na maana Kila kitu Ulimwenguni kimetokana na muunganiko wa
Nguvu mbili kuu
Hasi na chanya na ndio huzalisha vitu hiyo Ipo kikanuni zaidi
Mwanamke atahitaji mwanaume Ili apandikizwe mbegu,
Pia hii Ipo Kwa viumbe vyote wanyama na mimea japo Kuna baadhi vina Nguvu mbili Kwa pamoja na hujizalisha vyenyewe,

Pili hii kanuni Ipo mpaka kwenye Nguvu na Kani sumaku za ulimwengu ni kama umeme unavyohitaji hasi na chanya Ili ujizalishe Nk

Sasa wewe hiyo nadharia ya Kila kinachozaa lazima kiwe na muumbaji umeipata wapi kama msingi na kanuni za ulimwengu lazima kuwe na Nguvu mbili kuu
Je huyo muumbaji atashindwaje kuzaa na unakili ana Nguvu kuu na hapo hapo unakataa kua hawezi kuzaa Upo seriously kweli huoni kama unamlimit kufanya mambo na ataonekana hawezi Kila kitu kama unavyo jinasibu ni muweza wa yote?
Watu wa Dini hua mnajichanganya Sana!
😁😁😁😁🔥
 
Mkuu bado unahangaika kuwaelekeza hao jamaa..achana nao mkuu..unapoteza bando lako tu...

Hiv mtu anashindwa kuhis kwamba kuna jambo fulan kwenye hiz din zetu..

Imagine mitume wa Yesu walikua in the middle of middle east halaf wakawaje na majina ya kizungu..peter..james..john..kwamba bible ndo mana kuna bible versions..zmeandikwa na watu na kupangiliwa na watu..kwamba tuwape hik hik tusiwape...low IQs wanahis et hiv vitab vimeshuka toka juu...hahaha..dah..

Imagine the whole christian world watu wameacha majima yao ya asil na kufata majina ya kizungu..such power of manipulation n convincing ni kubwa mnoooo kuliko watu wanavyofikir...kuna mambo kwenye hiz din zetu na iman ambayo kwa jicho la kubisha bisha tu huwez ona chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wengi Wana Tatizo la ufahamu nimeona comment ya jamaa anajiita kisai anadai et habari za Annunaki wamezikopy kwenye vitabu vya dini,Hivi mtu kama huyo utamsaidiaje?😁
Pili nadharia ya Mungu kwao ni tofauti Sana Wanadai anaweza Kila kitu hapo hapo wanakata hawezi kuzaa,ukiwauliza atashindwaje kuzaa na wakati anauwezo wa Kila kitu wanakuja na bla bla
Huko wakikariri ujinga tu bila kujua kuzaa Kuna maana Pana ikiwemo na kutoa Nguvu au kitu kutoka katika sehemu ya Nguvu zake na akazalisha kitu kingine chenye Nguvu kukaribia zake ni kuzaa vile vile,
Kwahiyo Hawa ni brain washed kiwango kikubwa Sana dini zimewawekea limit ya kufiria Nje ya box wakiita ni kufuru ni wakuwasamehe bure tumetofautiana uelewa wengine humu ni ngumbaru wanavamia nyuzi za Intelligence zilizozidi Akili zao maana mambo kama Haya wanayaona Kwa mara ya kwanza yakijadiliwa humu jamvini na vile Toka wadogo mpaka wakakua walikua upande ule wenye propaganda wakimeza nzima nzima kuwabadili ni KAZI Bure tu
Ignore!
 
Wewe hiyo nadharia ya Kila kiumbe chenye mwili Physical na kinazaa lazima kiwe na muumbaji wake umeipata wapi?
Kwani inashindikana nini Kwa Hao Viumbe kuwa wao ndio wakuu?
Nadharia ya kuzaa haijabase kama fikra zako zilivyo ukimaaniiasha physical tu Bali Hata kwenye invisible inaaply nikiwa na maana Kila kitu Ulimwenguni kimetokana na muunganiko wa
Nguvu mbili kuu
Hasi na chanya na ndio huzalisha vitu hiyo Ipo kikanuni zaidi
Mwanamke atahitaji mwanaume Ili apandikizwe mbegu,
Pia hii Ipo Kwa viumbe vyote wanyama na mimea japo Kuna baadhi vina Nguvu mbili Kwa pamoja na hujizalisha vyenyewe,

Pili hii kanuni Ipo mpaka kwenye Nguvu na Kani sumaku za ulimwengu ni kama umeme unavyohitaji hasi na chanya Ili ujizalishe Nk

Sasa wewe hiyo nadharia ya Kila kinachozaa lazima kiwe na muumbaji umeipata wapi kama msingi na kanuni za ulimwengu lazima kuwe na Nguvu mbili kuu
Je huyo muumbaji atashindwaje kuzaa na unakili ana Nguvu kuu na hapo hapo unakataa kua hawezi kuzaa Upo seriously kweli huoni kama unamlimit kufanya mambo na ataonekana hawezi Kila kitu kama unavyo jinasibu ni muweza wa yote?
Watu wa Dini hua mnajichanganya Sana!
😁😁😁😁🔥
Asante Mkuu, umejibu kwamba kikanuni kiumbe "KE" kinahitaji kiumbe "ME" ili uzao upatikane baada ya mbegu kupatikana kutoka kwa ME kuingia kwa KE.

Sasa nakuuliza kuna kiumbe chenye mwili kiwe ni kiumbe KE au ME ambacho kinaweza kuwepo chenyewe bila kuwa na muumbaji aliekiumba hicho kiumbe?

Kama kiumbe "ANU" na kiumbe "KI" ni viumbe "ME" na "KE" wenye mwili(physical in shape). Je ni nani aliewaumba viumbe hawa wenye mwili ANU na KI?
 
Umenijibu vizuri mkuu kwamba muumbaji wa kiumbe Annunaki hajulikani/haumjui.

Hivyo basi, kiumbe Annunaki ni kiumbe tu kama viumbe wengine ambao tumeubwa na Muumbaji, tukawekwa mahali ili tuishi. Tupo under control ya Muumbaji.

Nakuuliza hivi:-

(1) Je umewahi kufanya juhudi yoyote ili uweze kujua muumbaji wa viumbe hao Annunaki?

(2) Kiumbe ambae ameumbwa na muumbaji, anawezaje kuumba kiumbe mwingine akampa uhai wa kuishi kama muumbaji wake alivyomuumba kiumbe huyo? (Yaani kiumbe annunaki ambae ameumbwa na muumbaji, amewezaje kuumba kiumbe mwingine akampa uhai kama yeye kiumbe annunaki alivyoumbwa na muumbaji wake)

Kwa jinsi alivyo elezea mtoa mada sizan kama inashindikana kitu. Maana walichokifanya hao annunaki ni kuunganisha gene zao pamoja na viumbe wengne na udongo. hiki hata sasa binadamu wanakifanya wanaonganisha genes za wanyama na binadamu ili kupata kiumbe kipya na nchi kama japan hii issue nilisikia imepitishwa
 
Asante Mkuu, umejibu kwamba kikanuni kiumbe "KE" kinahitaji kiumbe "ME" ili uzao upatikane baada ya mbegu kupatikana kutoka kwa ME kuingia kwa KE.

Sasa nakuuliza kuna kiumbe chenye mwili kiwe ni kiumbe KE au ME ambacho kinaweza kuwepo chenyewe bila kuwa na muumbaji aliekiumba hicho kiumbe?

Kama kiumbe "ANU" na kiumbe "KI" ni viumbe "ME" na "KE" wenye mwili(physical in shape). Je ni nani aliewaumba viumbe hawa wenye mwili ANU na KI?
amekuuliza hiyo dhana umeipata wapi, mjibu kwanza
 
Back
Top Bottom