Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Napata shaka na ufahamu wako Kamanda hivi unajua ni kiwango Gani Cha dhahabu kimechimbwa Duniani Toka kale?Gold is the international currency, unajua America, Europe, Asia especially supper economic country Wana reserve ya gold kiasi gani?. Vipi vifaa ya electronics navyo vinatumia gold, je pia unafahamu vifaa vya ulembo vinagold kiasi?
Hivi unayajua machimbo ya makubwa mno kuwahi chimbwa Duniani yakitokea miaka ya zaidi ya 450,000 BC kiasi ambacho kinashangaza Watafiti mpaka Leo?
Je unajua kiwango hicho Cha dhahabu kilichochimbwa kilipotelea wapi na Watafiti wanasema kama dhahabu ingetumika kama malighafi ya kawaida kama mapambo tu na thamani Leo hii dhahabu isingekua kitu Cha thamani Tena na yangegeuka Mawe na kuwa kama kokoto tu?
Yakhe acha masikhara yaani mataifa makubwa yahifadhi dhahabu nyingi hivyo kwenye reserve Ili inufaike na Nini?
Hujiulizi vifaa vya vinavyohitaji dhahabu ni 10% kati 💯% ya Dhahabu zote zinazochimbwa Kwa maelfu ya Tani Kila mwaka?
Wake up dude Upo kizani sana acha kufikiri vitu Kwa narrow thinking capacity!
Anyway hujachelewa unayo nafasi ya kujifunza!