Hayo machapisho ya waharabu yatakuua bure kwa itakadi wewe, alafu uruhusu akili kuelewa mengine ya dunia.
Sumerians,akkadians,kush, n.k waliwaona kwa macho wakaach rekodi, ambazo zinatumik had leo, funga safar uende Mari kabila la dogon wakusimulie hili ulizike, wew uliwah kumuon Mungu?, mitume wako wote unaowasujud hakun aliwah kumuona Mungu , ila umekazan hapa et niambie mtu mmoja aliyewaona, yaani utajiwe jina la mtu mmoja?, elimu ya anga inaendelea kuthibtish uwepo wa hao viumbe, et uwaamini, lakini walivyokufundisha mfumo wa nyota n sayar ukawaamini, hv unajielew kwl ww mzee?
Neno Mungu na kuabud yameanzia sumer Mungu=Miungu , walitumia almighty of sky chamber ambaye ni miungu anu, badae lugha ilivyozidi kukua n kubadilika wakaanza kutumia neno God=Mungu=Miungu, dini zenu mnaabudu miungu ila hamjitambuhi kabisa, Miungu ndiyo Mungu wenu, na hiyo miungu ilijiumba hakuumbwa n mtu, ndiyo maana huwez kuta wanasema Mungu aliumba anu, never?
Fuatilia kuanzishw kw dini zenu hizo, zote zimetokana na kuabudu Miungu, Mungu=Miungu, akili umezibana na uhakiki ndiyo maana, umekazana tu, mitume wenu Yesu/Muhammed hawajawah kutokewa na Mungu pamoja n usafi wao wote wa roho, walitokew n miungu (watchers/angels nk), hao wote ni miungu, lakin mumekazn Mungu Mungu, yaan had mnafundishwa kufuga majini sirias?, amkeni kifikra hachen kuzubaa kiakili na uhakiki wako uchwara huo.